2,000 USD /1,000 m3 = 2 USD /litre ~ 4,700 TZS per litreBei iendelee kusonga mbele ,mtoto akililia wembe mpe.
🇷🇺🇪🇺⚡The price of gas in Europe exceeded $2,000 per thousand cubic meters for the first time since the beginning of March
Tutakoma Kwa lipj?Kwa maneno Yako ya mipasho?Unajisumbua bure,watu makini wanakuona hamnazo!
Huyu jamaa si Mkenya kama wengi wanavyofikiri humu. Ni wa hapohapo tzDah...wewe Mkenya nadhani umetumwa humu kuwavuruga watanzania...una vitu vingi mno vya kuudhi...matusi, kejeli na sumu ya udini na ukabila...ni mtu hatari mno kwa jamii ya watanzania...nashangaa inakuwaje mpaka Sasa unaendelea kudumu humu...
Basi vile vilio vyenu vya mchana kutwa na usiku kucha huko Ulaya & Marekani ngoja tuviite tu TACTICAL EVASIVE CRIES--mbinu mojawapo katika medani za kivita ambapo unajifanya unaumia sana almost sawa na adui yako unayezipiga naye ili ionekane katika ugomvi huo baina yenu, wote mnapoteza na wala hakuna anayefaidika.
Hii humfanya adui atulie na kuridhika na kipigo anachopata bila kufikiria wazo la ku-react too negatively kwenu ama suicidal kwake yeye mwenyewe.
Anyways, tukutane kwenye winta.
#More Sanctions to Russia!
Nan a
Ndugu zetu? Umerogwa ww,tangu lini Al Shabbab wakawa jirani,au ukaribu na Al Shabbab!? Alafu,nani kasema mnapigana na Somalia,mm nimesema mnapigwa na panya rodi 🤣🤣
Hv warusi ndo wa Mongol?Huyo Napoleon na hiltler wote kiama chao kilikuja baada ya kuivamia russia......be aware of russian curse.
Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
HamnaHv warusi ndo wa Mongol?
Muda mrefu sioni ndege ama helicopter iliyodondoshwa.Au zimeishaPata taarifa ya maendeleo ya vita leo
[emoji298]️Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine
[emoji3503]The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.
[emoji95]High-precision air-based missiles struck temporary deployment point of Foreign Legion units near Kostantinovka, Donetsk People's Republic and destroyed over 40 foreign mercenaries, most of them Poles.
[emoji95]As a result of high-precision weaponry strikes by the Russian Aerospace Forces near Nikolaev, 1 artillery battalion of 59th AFU Motorized Infantry Brigade has been eliminated with more than 70 per cent of its personnel and weapons losses.
[emoji3575][emoji95]As a result of operational-tactical aviation of the Russian Aerospace Forces strike on battalion combat positions of 72nd Mechanized Brigade of AFU in Zaitsevo of Donetsk People's Republic, over 70 nationalists and 1 ammunition depot have been destroyed.
[emoji95]Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery strikes continue against military facilities in Ukraine.
[emoji95]During the day, 8 command posts have been destroyed, including units of 14th Mechanized Brigade near Sol', Donetsk People's Republic, 28th Mechanized and 79th Airborne Assault Brigades near Nikolaev, and 61st Infantry Brigade near Polygon in Nikolaev Region.
[emoji95]1 OSA-AKM anti-aircraft missile launcher near Bereznevatoye, Nikolaev Region, 1 US-made AN/TPQ-37 counter-battery radar near Yagodnoye, Donetsk People's Republic, and 8 ammunition depots near Kulbakino, Yavkino, Bakhmutskoye, Yakovlevka and Zaitsevo, Donetsk People's Republic.
[emoji95]Within counter-battery warfare 1 battery of Uragan multiple-launch rocket systems, 1 Giatsint-B howitzer artillery battery have been suppressed near Dzerzhinsk, Donetsk People's Republic, as well as 6 platoons of Grad multiple-launch rocket systems near Shirokoye, Bereznevatoye, Nikolaev Region, Ternovatoye, Yulievka, Zaporozhye Region, Paraskovievka, Krasnoye, Donetsk People's Republic.
[emoji95]In addition, 4 artillery platoons of D-20 howitzers, 7 platoons of Gvozdika self-propelled artillery units and 9 platoons of D-30 guns at firing positions in Seversk, Dzerzhinsk, Georhievka, Vodyanoye, Razdolnoye, Pereyezdnoye, Podgornoye, Severnoye, Donetsk People's Republic, Pershe Travnya, Dnipropetrovsk Region, Novopavlovka, Zatishye, Zaporozhye Region, Visunsk, Kalinovka, Nikolaev Region, Pyatigorskoye, Skripai and Petrovka, Kharkov Region.
[emoji95] Russian air defence means have shot down 2 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Dmitrovka, Kharkov Region, and Vavilovo, Nikolaev Region.
[emoji408]In total, 260 Ukrainian airplanes and 144 helicopters, 1,613 unmanned aerial vehicles, 358 anti-aircraft missile systems, 4,162 tanks and other armored combat vehicles, 763 multiple launch rocket systems, 3,201 field artillery and mortars, as well as 4,481 units of special military vehicles were destroyed during the operation.
#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Endelea kujipa faraja,bila hivyo maumivu ni makali kwako!Tayari mumekoma maana Kyev ilishindakana na mtaendelea kelialia
Mkenya wa buzaHuyu jamaa si Mkenya kama wengi wanavyofikiri humu. Ni wa hapohapo tz
😂😂😂 Zitakuwa zimeisha , chezea Mrusi wewe.Muda mrefu sioni ndege ama helicopter iliyodondoshwa.Au zimeisha
China kupeleka silaha Urusi.Marekanai hajawahi kuwa na athari ya kiuchumi namna gani?? Ni nchi inayofungua milango kwa watu wote wa nje wenye vipaji bila kujali utaifa au rangi hivyo ni mahali pa utafiti wa hali ya juu.
Marekani ni nchi iliyo na hataza nyingi hasa hataza katika tekinolojia ya kisasa kabisa. hadi sasa Marekani inaongoza katika idadi ya hataza, ikifuatwa na China, Japani, Korea Kusini, zote zenye zaidi ya milioni ya hataza. Urusi iko mbali sana katika orodha hii, hata baada ya Italia.
Hataza ni pesa moja kwa moja: kila mmoja anayetumia tekinolojia iliyopo chini ya hataza analipa kwa mwenye hataza anapaswa kufuata mashariti yake.
Hapo pia sababu China haipeleki silaha za kisasa au vipuli vyake Urusi, maana tekinbolojia ya juu inayotengenezwa China hadi sasa inatumia hataza za Marekani hivyo makampuni ya China wanapaswa kuangalia vikwazo vya Marekani
Ingekuwa vikwazo vinalimwa USA angefyeka mashamba mapya maa angekuwa kamaliza mashamba yoteWakuu wa vikwazo wameishiwa vikwazo huku Russia akisema tunahitaji vikwazo zaidi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1099]The EU has stated that it has exhausted the possibilities of sanctions against Russia.
This is reported by Le Monde with reference to an unnamed European diplomat.
It is noted that the seventh package of sanctions adopted by the European Union, unlike the previous six, does not involve any serious measures.
So 27 European countries do not intend to voluntarily deprive themselves of Russian gas.
"They are already trying to cope with disruptions in Gazprom's supplies. And although Poland and the Baltic states would like to take this step, they are not going to subject themselves to such punishment," the newspaper writes.
Subscribe to @Sputnik
Kweli linaonekana ^kujichokea^ hadi Ulaya yote & Marekani wameungana kuomboleza sababu yake.Ukraine lazima walie maana unapambana na lijitu ambalo umeliogopa miaka yote, hivyo huna uhakika kama kweli ndio lenyewe au lina siri nyingine maana kwa ambavyo limeboronga hauamini, unaoopa labda litakuja kivingine, ila kwa tunaoshuhudia huku nje halina jipya, limejichokea.