Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa wagner huwa wanaajir wamatumb km wapiganaj???
 
Panya rodi ambavyo huwaliza wanaume nyie wanaume wa Dar ni tofauti na wale waislamu wa alshabaab ambao hujilipua mazima mazima ili wakapate mabikira.

Hahahaha,Acha kisingizio cha kujilipua,tangu lini Al Shabbab aljilipua kwa KDF? Mmeshindwa miaka yote hiyo mnatolewa jasho na vibaka wa Al Shabbab. Uwezo wenu imeisha julikana hapa EAC. Msiiongelee Ukraine kabisa.
 

Baba tawala milele kelele za Bob wyne ziishie studio mwamba baki ikulu 👍👍👍ivi kuna kura za east africa nimuongezee mzee wetu😂😂😂😂😂.
 


@Yoda,njoo utoe neno kwa Wana democracy wenzako wa West,Sisi tunabaki na dikteta wetu Putin.😆😆
 
WEwe usilete story za vijiwe vya kahawa yaani Russia imeachwa mbali kwenye technolojia! Utamaduni wa Russia technolojia zao hawaziweki kwenye bao za matangazo kama Marekani. Kuna mifumo mingi tu ya warussia ambayo inatumika iliyouzwa kwa kwenye ulimwengu wa teknolojia ila vilaza ndiyo wanaona Marekani ndiyo kila kitu
 
Ona mfano wa propaganda ya Kirusi kijinga sana (kutoka vyanzo vilevile tunavyolishwa hata hapa..)

Bwana Russian Bear anataka kutuaminisha kwamba wananchi katika Ulaya wanapinga usaidizi kwa Ukraine. Kushoto anaonyesha kibao kilekile kimoja mara mbili "No war with Russia", kulia ni tangazokwenye nyumba nchini Ujerumani inayotangaza " Warusi si maadui zetu, maadui wako Washington, Berlin n.k."
Upande wa Poland anataka kutuaminisha: “Watu wa kawaida hawataki kuvutwa katika vita dhidi ya Urusi kwa maslahi ya wtu wengine. Serikali haijali maoni ya ananchi inatakakupendeza tu tu mbwana wa Magharibi"
Hali halisi vibao hivi ni uthibitisho wa hali ya uhuru ambao haupo Urusi! Dola linakinga wananchi wenye mawazo kinyume cha watu wengi, ila Mrusi wetu anataka kupumbaza wasomaji wake eti hao wachache ni raia wengi.

Maana huko Poland
97 % za Wapoland wanaona Urusi hasi (91 % hasi sana)
91 % za Wapoland wanpendelea Marekani
89% za Wapoland wanasimama upande wa NATO
84% za Wapoland wanakubali kutuma silaha Ukraine.
 
Mwaka huu ni kazikazi tu kwa mzungu, atakoma kulinga. EU wanasema Putin anatumia energy Kama silaha anasahau na yeye anatumia vikwazo Kama silaha🤔🤔🤔

🇬🇧The number of pages in British newspapers is declining due to rising paper prices.

Production costs have increased by as much as 200% since the beginning of the year, Bloomberg reports.

Reach, which owns the Daily Mirror and Daily Express newspapers, has already announced a sharp drop in profits.

The main reasons are the situation in Ukraine and the coronavirus pandemic.

Beer was the first to rise in price, then pubs began to close, then fish and chips disappeared, and now newspapers, for how long!?

Subscribe to @Sputnik
 
Mwaka huu ukrean kazi wanayo

Naftogaz of Ukraine officially announces a default on Eurobonds as the Kiev regime instructed it against fulfilling its obligations due to lack of funds and the inability to defer payments.


Naftogaz of Ukraine is the largest national oil and gas company of Ukraine. It is a state-owned company subordinated to the Government of Ukraine
 
Siku zote mwizi akikosa cha kuiba anajiibia...
 
Hakuna Cha maana hapo ulichoandika ...wewe unadhani hiyo kura ya maoni iliyofanywa na Poland au West ndiyo sahihi?! Duh...kwanini unasema hiyo ya Russia siyo sahihi?! Who conducted the research hiyo ya West?! Ni. Nani alikuambia kuwa huko Russia Hakuna uhuru?! Je huko West Kuna uhuru?! Nenda kapinge hadharani ushoga kule Washington Kama hutawekwa gerezani...kule UK mwandishi aliyekwenda Donbass amekuwa sanctioned...there is no absolute freedom in this world..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…