Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni wazi hawa jamaa wanatafuta kwa juhudi zote direct confrontation na Russia. Hizo long-range missiles wakipewa (and, as far as I'm concerned, I think wapewe tu), ndipo wataona ubaya halisi wa vita.

The problem ni kwamba wafanya-maamuzi wengi kwenye vita hivi hawajali watu wangapi wanaangamia, alimradi malengo yao ya ubinafsi yanatimia. Pathetic!
 
Ukraine usiku wa jana ilishambulia daraja la Antonovsky na kulifanya lisitumike.
Your browser is not able to display this video.
Vikosi vya Russia vilivyopo Kherson kazi itakuwa ngumu kuvuka mto ambao ni wide kwa kutumia pontoon au njia nyingine. Na matokeo ya pontoon yanakuwa ni kama haya
 
Kwahiyo Ukraine Yuko anamchapa Russia?Kama uwezo wa Russia ni duni,NATO Iko Kwa ajili gani?
 
Taarifa nyingi anazoleta Mr Tyang huwa ni zakweli namfwatiliaga sana huyu jamaa.
 
Wewe na DW nani tumuamini
Wewe unasema lisitumike wenzako wanasema litatumika ila kutakua nauzito wakulitumia sababu yamashimo mashimo kidogo yaliopatikana humo
Mkiachá mahabba munakua watu wamaana sanaaaa !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na DW nani tumuamini
Wewe unasema lisitumike wenzako wanasema litatumika ila kutakua nauzito wakulitumia sababu yamashimo mashimo kidogo yaliopatikana humo
Mkiachá mahabba munakua watu wamaana sanaaaa !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nimesema halitumiki? Hilo daraja hupitishi kifaru cha tani 60 au heavy truck ya ammunition lilivyo hivyo, litapitisha malori na magari ya tani chache. Sasa silaha nzito zitapita wapi hapo ndio usubiri matengenezo au njia mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…