Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Hapa ni oil tu bado gas, mbolea, Dhahabu, ngano.
 

Hao binadamu wenye utu ni kina nani?

Alafu waliosababisha uhohehae wetu si ndio haohao unaowatetea kutupa-

1- mitaala isiyo relevant na mazingira yetu,

2- kuintafia internal affairs zetu kwa misaada yao,

3-kutubebesha tamaduni zao zisizofit na asili yetu,

4-kuhodhi njia kuu za kiuchumi na kifedha pamoja na

5-maradhi ya kimaabara

hiyo ndio minyororo wanayotakiwa kutufungulia kama kweli Wana utu sio kukimbilia slesi ya mkate kwa jirani.
 
Duuh nipo kampala hapa ngoja nifatilie hili la maandamano, hapa nilipo zinapita gari za askari kila baada ya dakika 20_25
 
View attachment 2306648

Russian soldiers have begun replacing their patches with the Soviet Union flag, instead of the Russian flag.
Hii hatari sana, yaani inaongeza Morale Kwa wanajeshi wa Russia mara mbili zaidi wakikumbuka damu iliomwagika katika Vita ya pili ya Dunia .... Tuendelee kuwaombea wanajeshi wa Ukraine maana yajayo yanafurahisha.
 
kwa majirani kama kazkhstan wako busy kudiversify kuongeza mahusiano na washirikawengine km china na turkey, kinachoendelea ukraine imekua wake up call kwa central asia
kazakhstan imeanza kuchukua hatua ikiwemo kujenga bomba jipya la mafuta ilikuondo utegemezi kwa hili la sasa linapotia kwe ardhi ya urusi rais wa kazakhstan alizema
lakn pia kazakhstan imevutiwa na ufanisi drones za ututuki huko ukraine hivyo imeingia makubaliano na ukraine na yenyew ianze kuzitengeneza unde licence
kazakhstan pia imekua ikifanya juhudi kuzshawish kampun za wamagharibi zilizopo urusi kuhamishia makao yao kazakhstan
lakin pia rais wa kazakhstan alisema kuwa nchi yake haitoyatambua uhuru majimbo ya donetsk na luhansk
 
Hii Region ni kubwa kuliko Rwanda


Area
• Total28,461 km2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…