lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Habari hii ni ya uongo.Raisi Joe Baden wa Marekani kapata CORONA tena kwa mara yapili.
Biden mwenye miaka 79, kachomwa dozi mbili na boost mbili za Corona ila alipata Corona wiki iliyo pita na kupewa matibabu na kupona na kutangazwa pia kuwa vipimo vinaonyesha negative.
Siku 3 mbele, kapata tena Corona. Na sasa ame quarantine na kuendelea na matibabu.
Mtazamo wangu: Huyu mzee anavuta muda si mrefu. Kiafya hayupo poa kabisa, pressure za uchumi, Russia-Ukraine, China - Taiwan - Pelosi, kuchukiwa na wananchi wake, hana muda mrefu.
Hali tete.
Wamekwisha,well done Russia.A Multipolar World is here already.Representatives of the parliaments of 16 countries, including the European Union and North America, have already expressed their intention to act as observers at the planned referendum in the Zaporozhye region on the issue of joining the Russian Federation, said Vladimir Rogov, a member of the main council of the Zaporozhye Regional State Administration.
Mwaka huu Marekani kakutana na wanaume. Urusi na chinaIt's official, Marekani imeiogopa China.
Nancy Pelosi haendi Taiwan. Cheki tweet yake. Atapenda Singapore, Malaysia, South Korea na Japan tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2309661
Nimependa sentence ya mwisho ya huu mchango wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia yale makombora China alikuwa anarusha, Ahh si masihara.
Hawawezi peleka silaha kote Taiwan na Ukraine.
Kama ishu ya kuwekea vikwazo Russia imepelekea recession Marekani na nchi zote za EU, wakiwekea vikwazo na China pia si watakuwa masikini kuliko [emoji1241] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamegundua mwisho wa nguvu zao.
Kweli kabisaUsa wanajiaibisha Bora tu wangetulia hamna mtu angejua udhaifu wao
Ntaitolea ufafanuzi baadaye. Ila kwa sasa, we are closely watching & monitoring the provocative movements of the US House Speaker Nancy Pelosi regarding the political situation in Taiwan.Asante
Ila hii TACTICAL RESONANCE inazidi kunivurugaπππππππ¨π±
Uchambuzi murua kabisa huu.ππππWali kurupuka. Na Russia anaitumia hii fursa vizuri mno.
Anaipeleka vita taratibu, ichukue muda mrefu. Anachotaka siyo kushinda Ukraine tu, bali US na EU waombe poo.
Kwa hiyo, hii vita itaenda mpaka mwakani ili aone EU wata fanya nini winter.
Na pia, ana zivuruga sanctions zote za Marekani zionekane hazina kazi tena na nchi zisi ziogope. Mfano mzuri ni kualika makampuni ya North Korea kuchukua tenda Donbas. Kwa Sanction za Marekani, North Korea alikuwa hawezi kufanya kazi popote nje ya nchi yao.
Na kuingia makubaliano pia na Iran na Venezuela.
Na Marekani hawana cha kumfanya kwa kuwa sanctions zote walizo kuwa wana mtishia nazo hapo kabla washampa. Hakuna jipya.
Kipute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo ku-intervene ila ni ku-observe? Kweli yametimia.Representatives of the parliaments of 16 countries, including the European Union and North America, have already expressed their intention to act as observers at the planned referendum in the Zaporozhye region on the issue of joining the Russian Federation, said Vladimir Rogov, a member of the main council of the Zaporozhye Regional State Administration.
It exactly means what you have heard,watakwenda kushuhudia hiyo referendum!! Mkuu Dunia inakwenda mbio sana.Unajua wanalofikiri sasa,they have had enough of the Ukraine issue,after all haiwahusu.So they want to appease Russia,waachane na issue ya Ukraine,after all it will be assimilated to Russia,halafu waendelee na maisha yao.Very wise decision indeed.Putin noma aisee,duh!EU representatives to participate in the referendum? What does that mean?
ata kiev ikimegwa watakuwa tu hapo kama wapenzi watazamaji na waseme kura was free and fair with no cases of fraudulents and malpractices.yetu macho tuRepresentatives of the parliaments of 16 countries, including the European Union and North America, have already expressed their intention to act as observers at the planned referendum in the Zaporozhye region on the issue of joining the Russian Federation, said Vladimir Rogov, a member of the main council of the Zaporozhye Regional State Administration.
^Marekani hawana cha kumfanya kwa kuwa sanctions zote walizo kuwa wana mtishia nazo hapo kabla washampa. Hakuna jipya.^Wali kurupuka. Na Russia anaitumia hii fursa vizuri mno.
Anaipeleka vita taratibu, ichukue muda mrefu. Anachotaka siyo kushinda Ukraine tu, bali US na EU waombe poo.
Kwa hiyo, hii vita itaenda mpaka mwakani ili aone EU wata fanya nini winter.
Na pia, ana zivuruga sanctions zote za Marekani zionekane hazina kazi tena na nchi zisi ziogope. Mfano mzuri ni kualika makampuni ya North Korea kuchukua tenda Donbas. Kwa Sanction za Marekani, North Korea alikuwa hawezi kufanya kazi popote nje ya nchi yao.
Na kuingia makubaliano pia na Iran na Venezuela.
Na Marekani hawana cha kumfanya kwa kuwa sanctions zote walizo kuwa wana mtishia nazo hapo kabla washampa. Hakuna jipya.
Kipute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ulisoma History hapo ndio ujinga wako ulipomezeshewa mi nilisoma History ilichokificha,Samahani mkuu,hiyo simu ulishika ni yako,au ni mama yako? Alafu uliishia darasa la ngapi? Ili nisije nikabishana na kilaza!?
Nashauri matokeo yatangazwe public (US vs Russia) wakati wa uzinduzi wa Kombe la Dunia Qatar.It exactly means what you have heard,watakwenda kushuhudia hiyo referendum!! Mkuu Dunia inakwenda mbio sana.Unajua wanalofikiri sasa,they have had enough of the Ukraine issue,after all haiwahusu.So they want to appease Russia,waachane na issue ya Ukraine,after all it will be assimilated to Russia,halafu waendelee na maisha yao.Very wise decision indeed.Putin noma aisee,duh!
Thanks. C/O Imenichukua muda mrefu sana kutafakari na kuandika huo uchambuzi. π π πUchambuzi murua kabisa huu.ππππ
ππππππππππππππππππππππππππππππππππNashauri matokeo yatangazwe public (US vs Russia) wakati wa uzinduzi wa Kombe la Dunia Qatar.
Usikute wewe ndiye hauko Tanzania ama hata duniani.Nyie jamaa humu mnachekesha sana,
Yani jf ukiwa unachart humu maisha ya humu ni tofauti kabisa na uhalisia,
Yani mfano ukiwa humu unachart kuhusu Tanzania unaweza zani Tz haina mwelekeo ukitoka nje mtaani maisha kama kawaida nilisha shindwa kuelewa nahisi jf ni away from planet Earth.
Wewe huwa nakuona empty( buree) kabisa toka nilipokusoma kwenye thread fulani baada ya kushindwa hoja ukajinasibu kuwa wewe ni tajiri sana na una elimu kubwa sana na ukiwa na umri mdogo sana hivyo huwezi kubishana na hoja na wasiosoma na ambao ni maskini. Kubwa zaidi na leo umejidai kuwa unajua silaha tulizonazo kwa kuwa uliwahi kupitia jeshini as if wewe ndo boharia mkuu wa jeshi letuUnavyomaanisha watu wengi ni wangapi,
Au unaongea kama mtu asiesoma na asie na uelewa
Umri wa Marekani ni wa hivi karibuni. Huyo ni mtoto mdogo aliyekuwa anaanza kujifunza habari za utumwa na ukatili almost kama wengine, kukacha akingali bado hajafaidi vya kutosha ujahili wake.Siku zote za maisha yangu nitakuwa upande wa Marekani sababu,
Ni nchi pekee iliyobaki na waafrika ingawaji ubaguzi hauwezi isha lakini utu kwao ulikuwepo kiasi,
Watumwa wa Africa walisambaa karibu dunia nzima lakini hapo bara Asia kwa nini hakuna hata weusi waliobaki huko..!?
Hao tunaowatetea ni watu wa hovyo kabisa kuanzia China hao ni hatari mno,