Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Watakuja hapa waseme ni propaganda za NATO. Tunaomba na picha tujiridhishe mkuu T14 ArmataIle treni yetu tuliyoona hivi karibuniView attachment 2310755
Hizi HIMARS balaa lake sio dogo, naona hazikosei ktk kile kilichotumwa.Ile treni yetu tuliyoona hivi karibuniView attachment 2310755
Hii kimedani katika masuala ya vita inaitwa TACTICAL ABSOLUTE DELIVERY. Kwa ufupi sana, mbinu hii ni pale ambapo ukipanda punje moja ya nafaka unavuna upto 1,000 kernels!Hizi HIMARS balaa lake sio dogo, naona hazikosei ktk kile kilichotumwa.
Huku wapi tena jamani? Hivi nyie hamtuchoki tu?Mlizani mmetukomoa.labda mbomoe na nguzo zenyewe.soon watu wataanza kutumia tenaView attachment 2310801
Ni kweli kabisa....mitandaoni hizi sijui Himars ni balaa tupu....zinapiga kweli kweli...Javelin nazo ni kiboko...hahahhhahaHizi HIMARS balaa lake sio dogo, naona hazikosei ktk kile kilichotumwa.
Huyo jamaa ana ubishi wa ajabu kabisa...ni zaidi ya ubishi wa kitoto..Yaani bado anadhani aircraft carriers ni deal....Fikiria Ndugu yangu li-Aircraft carrier kama Nimitz Lina Askari zaidi ya 4000 halafu linadunguliwa kiulaini na hypersonic missile moja..just imagine....hizo ni sitting ducks....hata zilindwe namna gani zinadunguliwa tu...
Ni hasara kwa wanaoziunda nakuzimiliki au kwa wasionazo?Carriers kwa sasa ni hasara. Hypersonic missile 1 ya Russia ina angamiza ndege 130. Nani anataka huo ujinga.
Ile habari ya askari 2000 wa urusi ambao chanzo ni propaganda hazisikiki tenaAll units of the Armed Forces of Ukraine in the Lisichansk-Severodonetsk agglomeration found themselves in an operational encirclement. In total (including the cauldron Gorskoye - Zolotoe), up to 10,000 fighters were cut off from the supply, including a considerable number of foreign mercenaries.
Ile habari ya askari 2000 wa urusi ambao chanzo ni propaganda hazisikiki tena
Inamaanisha nin mnama
Mpinge kwa anayoongea kutukana sio hoja huu ni udhaifu wakutoweza kumjibu.Ushapiga nyeto wewe sio akili yako kalale mkuu
Huku wapi tena jamani? Hivi nyie hamtuchoki tu?
Huo moshi vipi? Hapo imepigwa bomu au?Sasa hawa Warusi vipi naoView attachment 2310308 Sio mara ya kwanza kufanya hivi kwenye maadhimisho yao kuweka silaha zisizo zao. Huyu graphics designer kwenye maadhimisho ya Russian Navy day kaweka USS George H.W Bush kama aircraft carrier ya Urusi wakati hiyo ni American tenth Nimitz class aircraft carrier na ya mwisho kwenye series kabla ya Ford classView attachment 2310312 Alitakiwa aweke hii Admiral Kuznetsov, the sole Russian carrier ambayo haiwezi hata tembea bila tug boat. Kutoka pale kwenda Syria kilomita chache tu ilipata breakdownView attachment 2310315