Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Nimelike lakini sijaelewa "kwayo" ni nini mkuu ...Mpinge kwa anayoongea kutukana sio hoja huu ni udhaifu wakutoweza kumjibu.
Sasa yeye ameainisha wewe mpinge kwayo.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kulko kutukana ungetoa point kama unazo, watu wenye iQ ndogo siku zote ni rahisi kutukana kulko kutoa pontCjawah kuona kichwaa maji kama hii mtu inaitwaa t14..yaan ni maji maji...
Kama ni kwa siri we umejuaje wanafanya kwa Siri???North Korea ni nchi ambayo mambo yao mengi wanafanya kwa siri siri kitu ambacho hata NATO wana struggle kupata info zake.
Kwa sababu hakuna taarifa za moja kwa mojaKama ni kwa siri we umejuaje wanafanya kwa Siri???
Wakishindwa kujitawala no way out sie Waafrika tutapaswa kwenda kuchukua nchi zao hadi amani irejee.Aisee kuna nini Tena huko?
Bundi yupo yurop
Hata sufuria Zina makalio lakini hazivai chupi.... Eti silaha sio tegemeo Kwa Marekani.... Anasikika mndamba Mmoja. Putin sio Mandonga .....Siraha kama
Juveline apo mwanzo, na hizi HIMARS wala sio tegemeo za jeshi la marekani afu zimekiwasha kule balaa, yani ni kama Siraha ambazo Marekani kafungulia kwa kuwa sio tegemezi ila kwa Mrusi ni Jini lililoachiwa, na zinachakaza hatari
Leo hii ndo useme Urusi apigane na Marekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aya bna
Huyo alikuwa askari wa Mr Kiduku. Alipoona hawezi kupakia makombora ya ICBM, aka-defectKama ni kwa siri we umejuaje wanafanya kwa Siri???
[emoji1212]The Serbs oppose NATO and the introduction of anti-Russian sanctions.Mkuu huwa unaniharibia sana siku kwa comment zako...yaan unakera ile mbaya....sasa unavyosema raia wa serbia wanakubali eu...ww uliingia mioyoni mwao? Ulikusanya sample ngapi ukajua...kuna mijitu ni mipuuz mno..had keroo
Mwaka huu Mmarekani ameamuliwa. Hii ni ishara kwamba ameshachokwa kitambo. Anang'atwa kila upande as if swala aliyezungukwa na wild dogs kibao wenye ubao.🇮🇷⚡Iran Promises to create nuclear warheads and warns that it has the ability to turn New York into "hellish ruins".
The Islamic Revolutionary Guards Corps released a statement promising to quickly begin production of nuclear bombs if "the American or Zionist regime makes any stupid mistakes."
[emoji1212]The Serbs oppose NATO and the introduction of anti-Russian sanctions.Serbia inamtishia Kosovo ambayo ni breakaway region. Kosovo kuna vikosi vya NATO na Serbia somehow Rais wao ni pro Russia ingawa raia wanaipenda EU zaidi. Nchi zote former Yugoslavia na former USSR zinauadui au urafiki wa mashaka
Acha matani yako mkuu, Kama hujui semaSerbia inamtishia Kosovo ambayo ni breakaway region. Kosovo kuna vikosi vya NATO na Serbia somehow Rais wao ni pro Russia ingawa raia wanaipenda EU zaidi. Nchi zote former Yugoslavia na former USSR zinauadui au urafiki wa mashaka
Huyo mk254 hawezi kuwa na busara na uelewa hata 5% ya @T14Amata.Huyo jamaa nadhani amebadili ID...nahisi ni MK254
Yule jamaa wa ewura akiwa anaelezea utofaut wa ufanis wa vifaa unaweza dhan urus ni mdebwedo mbele ya us.Kuna watu hapa ukiwasikia wanavyo izungumzia United "Shit" of America akilini unaweza fikiri ni a country from another planet, the Superior of all by very far... Kwamba untouchable kwa kila kitu.
Lakini huwezi amini ndio hao hao walio tumia dolla trillion 8 kwa miaka 20 kuondoa "watalebani" kuweka "watalebani" pale Afghanistan kwa wazee wa makobazi.
Vile na "taizi" zao huwezi amini kama huwa wanapewa lift anga za juu [emoji23].
Mara ooh budget ya Uncle Sam kubwa kuliko wote, mara sijui nyambizi hii imeenda ikarudi he he he!
Helloooo wamarekani wa manzese, there z no room for propaganda kwenye aw modern world. We know each and everything mazee. Ile picha ya "Simba wa Nyika" ishakojolewa imeharibika. Rudini studio mkachore nyingine. Naona ka mnajichoresha hiviiii [emoji848].
wanaona gharama zinepanda za usafiri ulaya walivyompiga vikwazo kutotumia anga la ulaya Russia alizichukua ndege zao zaid ya 400+ zipo mahali salama zimekaa walilalamika wehhh wakachoka na putin akasema izi ndege azitoki apaTaratiiibu watu wanaachia wenyewe na kula matapishi yao
[emoji635][emoji636]The UK has eased anti-Russian sanctions in the field of aviation insurance.
According to the document, it will now be possible to insure counterparties associated with Russia.
For example, companies that purchase aircraft engines and their components.
The easing of restrictions does not affect military goods and technologies.
Subscribe to @Sputnik
Kulko kutukana ungetoa point kama unazo, watu wenye iQ ndogo siku zote ni rahisi kutukana kulko kutoa pont
Unajua we mgese unaweza kuignore na ukavaa chupi zako za maua ukaondoka? Umeshikwa kalio kulazimishwa kusoma? Mbona una ufala mwingiMkuu huwa unaniharibia sana siku kwa comment zako...yaan unakera ile mbaya....sasa unavyosema raia wa serbia wanakubali eu...ww uliingia mioyoni mwao? Ulikusanya sample ngapi ukajua...kuna mijitu ni mipuuz mno..had keroo
Sikia nikwambie. Acha kujipendekeza kwangu unaweza jipanga barabarani au uende club maarufu itakusaidia kushughulikiwa. Usiniletee stress zako na nyege. Stink cuntCjawah kuona kichwaa maji kama hii mtu inaitwaa t14..yaan ni maji maji...