kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hiyo Photoshop kiboko,kwa hiyo huyo asikari alipigwa kichwa kikadondoka yeye akabaki amesimama[emoji848] ...,pro Russia nawashauri kwamba; sawa propaganda zipo vitani lakini tumien akili basi,unapoleta picha hambayo Haina uhalisia kama hiyo wenye akili tunakushangaa, ushabiki usiwafanye muwa mazombi..,huu ni upumbavu kiukweliView attachment 2313523
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]2 HIMARS THAT WERE DEMILITARISED[emoji95][emoji95][emoji95]
It seems that these are the ones who were struck near Kharkov. Judging by the photo, they were tracked down and struck when they were already in hiding[emoji91][emoji91][emoji91]
Yeah,China wameonyesha weakness sana.Kumbe maneno yote prior to Pelosi's visit could not be followed through by action!!!Naamini Marekani wamewadharau sana.Ni kweli Marekani walichokuwa wanataka ni vita,na wao China hawakutaka vita,basi wange-maintain a NO FLY ZONE ili Pelosi asiweze kuingia Taiwan!Dah,shame to China.All battles are first made in mind.
Vita ingeanza jana China angelose big time.
US wamempelekea Vita nyumbani. China hakuwa na intel ya ujio wa Pelos jana hapo tayari alishashindwa.
Au hukuona, eti jana ndo anapeleka vifaa vita.
Ilitakiwa wiki nzima wamefunga Taiwan strait, live fire exercise, angepitisha ICBM juu ya Taiwan alarm zikalia kama North Korea alivyowafanyia Japan.
Jeshi lingeingia Taiwan 24 hrs. Wangeshika tower Polosi akija wangemuongoza na bomber zao kwenda Beijing anatua halafu wangemuongoza tena kuingia Taiwan.
Soma hii hapa ww mkunya 👇👇
🇨🇳🇺🇦🇷🇺 - Interesting article by Hongkong newspaper SCMP saying Ukrainian president Zelensky is seeking to talk with Chinese president Xi in order to get his help in ending the war in Ukraine
Ivi nyie mnakaa kabisa mkidhani kiduku ana uwezo wa kutishaXi JinMandonga ametufelisha sana BRICS, ilibidi akaze amlipue huyo bibi halafu tuone US atafanya nini! Angelianzisha tungemualika kiduku ili akinukishe wakati wao wanashambulia China. Urusi nae angewasha tambo lake "Satan"
Mbna hii picha tangu enzi na enzi mnatumaView attachment 2313523
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]2 HIMARS THAT WERE DEMILITARISED[emoji95][emoji95][emoji95]
It seems that these are the ones who were struck near Kharkov. Judging by the photo, they were tracked down and struck when they were already in hiding[emoji91][emoji91][emoji91]
Mbona asbuhi akili hua inafanya kazi vizuri Sana! Kwa nini sasa unasema Russia inabidi amtegemee China kwa kila kitu? How?Mbona unakua mpumbavu, Mchina kwa sasa hawezi kusaidia kusitisha mapigano maana ndiye amenufaika pakubwa, amemfyonza Urusi hadi damu, anguko la Urusi ni faraja kwa Mchina maana kwa sasa hivi Urusi hana pakukimbilia, inambidi amtegemee Mchina kwenye kila kitu.
Ijapokuwa si mtu wa siasa Ila nchi yangu naipenda na nipo tayari kuipigania. Pia, nafurahi kuona kama akina ninyi Bw. James Comey mpo tayari kuipigania nchi yako. Operation ya Russia nchini Ukraine imenifungua mengi sana.Umenikumbusha mshkaji mmoja. Yeye alienda kwa mujibu. Kipindi kile cha sintofahamu ya Kibiti. Alitamani jeshi lifanye recruiting ili aende. Nikamuuliza kwanini akasema anafeel yuko responsible. Haikuwa sababu ya ajira.
Nafkiri hii ya Kagame wengi wata volunteer including myself.
Ama Muite Galip Lee Xi Jinping Mao Don Ga 😂😂😂, kuna dogo akisoma hapa atanuna.Anaonekana tu! Galip Vrl ni kama mashaolin. Akitembea anaweka mikono nyuma.
Marekani yaripoti kuwa nchi za Ulaya ikiwemo Ufaransa zinaisoma namba kwa kulazimika kuoga maji ya baridi na kuishi gizani baada ya Urusi kuwanyima gesi
Tutaelewana tu, ngoja majira ya winter yaingie ndio wazungu watajua kuwa hawajui
View attachment 2313740View attachment 2313741
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.Ijapokuwa si mtu wa siasa Ila nchi yangu naipenda na nipo tayari kuipigania. Pia, nafurahi kuona kama akina ninyi Bw. James Comey mpo tayari kuipigania nchi yako. Operation ya Russia nchini Ukraine imenifungua mengi sana.
Kwa hiyo Wewe ndio unajua nini anachotakiwa kufanya?Mbona unakua mpumbavu, Mchina kwa sasa hawezi kusaidia kusitisha mapigano maana ndiye amenufaika pakubwa, amemfyonza Urusi hadi damu, anguko la Urusi ni faraja kwa Mchina maana kwa sasa hivi Urusi hana pakukimbilia, inambidi amtegemee Mchina kwenye kila kitu.
Ww ni mjinga,Kwa hiyo Ww ndio unajua nini anachotakiwa kufanya?
Usikute ndivyo HIMARS zinakuwaga zikibutuliwa kwa missiles za Russia, because wenyewe wanasema ni mashine zenye akili si ya kitoto zinazoweza kutambua hadi njama za adui way before hata hajazipanga.Mbna hii picha tangu enzi na enzi mnatuma
West Block Vs East block.Mkuu wanaweza vipi kuungana wakati hawana umoja wa kujihami kama NATO
Mimi Russia ikianguka, nipewe japo kishikio kimoja tu cha Isander ili PK akilisanusha huku iwe rahisi sana asubuhi na mapema tunajichukulia pointi zetu kama nchi.Hakuna mtu mwenye akili timamu ataacha kujitolewa ikiwa nchi yake inashumbuliwa,.
Russia anachofanya ni Ukoloni kabisa.
Ana eneo kubwa Sana lakini bado tamaa inamponza anataka kuchukua Ukraine.
Awe makini asije anguka.
Ivi nyie mnakaa kabisa mkidhani kiduku ana uwezo wa kutisha
Hahaha!Hahaa anafaa kua rafiki yangu huyu, nahisi ana attitude kama zangu 😂🤗