Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Ndio nini maana yake?
Akina Nani?Sijawahi kuelewa maana yake, ndio huwa mnabwatuka kabla kujilipua mabomu.
We've always been telling people that the United Snakes of Arms fit in every whichway the description of a deadly venomous conglomeration of monstrosity.Russia haitamani Ukraine ili iwe koloni lake,Hapana mkuu.Nia ni kutaka Urusi iwe salama.Naomba ujue kwamba Marekani na nchi za Ulaya zilikuwa zinapanga kuishambulia Urusi kwa kutumia Ukraine kama staging ground kwa kutumia bio-weapons na conventional weapons.Superpower gani ingekubali upuuzi huo?Russia hawana njia,except to annihilate Ukraine,and they will do it!Ushahidi huu hapa!👇
Russia To Capture Kiev and Odessa over U.S. Biological Laboratories!
WORLD HAL TURNER 05
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov stunned the collective West today when he declared that Russia "Has information that the US built two additional bio warfare labs; one in Kiev, the other in Odessa. They have developed pathogens in those labs.
We will have to capture those cities to dismantle those labs to save the world from another pandemic."
This stunning statement makes clear Kiev and Odessa are now officially targets of the Russian special military operation (SMO).
It also makes clear that Russia flatly believes it was the US through its foreign biolabs, that caused the COVID-19 pandemic, and may also be to blame for the outbreak of Monkeypox.
Now that Russia's intention to take Kiev and Odessa is public and clear, one wonders if there will even be any country called "Ukraine" after this conflict is done
Hivi hii siyo sawa kweli na ile kauli ya Mnazareti Mwana wa Seremala kwamba ^HAKIKA NAWAAMBIENI WAKINYAMAZA HAWA, MAWE YATAPIGA KELELE^?North Korea wanafanya alichopaswa kufanya China siku nyingi. US anafahamu China muoga sana
Tumia akili kiazi wewe kama hauna cha kuchangia usilete udiniSijawahi kuelewa maana yake, ndio huwa mnabwatuka kabla kujilipua mabomu.
Tuna mods wapumbavu, huyu jamaa Kwa sababu nchi yake imejaa ukabila anatulete udini halafu wanamleaTumia akili kiazi wewe kama hauna cha kuchangia usilete udini
A Senior Taiwan missile development official has been found dead in his hotel room.
Tumia akili kiazi wewe kama hauna cha kuchangia usilete udini
Ukisikia akili za kuvukia Barabara basi ndio hiziUdini upo ndani ya damu yenu, hamuwezi kujitoa, mlidanganywa eti mnamkomoa Marekani, leo mnahangaika na hasira...ha ha ha
Udini upo ndani ya damu yenu, hamuwezi kujitoa, mlidanganywa eti mnamkomoa Marekani, leo mnahangaika na hasira...ha ha ha
Aiseee asiguswe mtu hapo!Ukisikia akili za kuvukia Barabara basi ndio hizi
Mkuu umeshuka madesa mengi sana lakini hayana mantiki kulingana na hoja ya mtoa comment HIMARSMkuu kasome Serpukhov-15, Kumbuka Russia ndio taifa la kwanza duniani kurusha ile
international space station, wao ndio waasisi, wana kituo maalumu cha missile warning system, wana satellite zenye powerful sensors kama Infrared zinaitazama US na Europe usiku na mchana.
Hio system inaitwa Oko, kombora lolote likiwa deployed US wao wanaliona na wana anti missile inaitwa A135 ambayo ni part ya system nzima ikiwa kazi ni kuilinda Moscow pekee dhidi ya makombora ya adui.
Oko system ina zaidi ya satelite 100 angani.
Inshort siwezi elezea how complex hio system yao lakini huwezi mtishia mtu kama huyo na lori la mchanga linaitwa HIMARS.
Kwanza Amnesty international wametoa report kuhusu mbinu chafu za Zelsnsky kutumia raia kama ngao, na huko ndiko anafichia hayo malori ya mchanga halafu mnadanganyana eti ni high mobility😂😂😂, eti yanapiga na kuhama, hizo HIMARS wanaziweka mashuleni, hospitalini na kwenye makazi ya watu ndio useme ni hatari?
Kumbuka wana powerful sensors angani kuona missile na uchafu mwingine.
B2 zile bomber za US ukitizama zina exhaust juu ya mbawa, unajua kwa nini? Kwa sababu sensors ardhini zinaona joto litokanalo na hizo engine.
Sasa HIMARS kwenye sensors zinaonekana angani vyema tu, mnalipua lori linakimbilia hosptali kuji cover.
Yaani hizo ISUZU za mchanga ziwasumbue Russia, Russia ipo vizuri jombaa..
Ukideploy missile sensors za anga zinaona source, HIMARS ni lori lenye missile hakuna maajabu.
Hawa watu hawana technology na ndo maana juzi wamerusha missiles zao 8 zenye thamani ya 100+mil usd, 7 zikadakwa na defence systems za Ukraine, 1 ndo ikapenya.Mkuu umeshuka madesa mengi sana lakini hayana mantiki kulingana na hoja ya mtoa comment HIMARS
Yeye amesema siku wakipiga sasa unaanza kuleta siasa kama wanaziona si wapige ziishe? Ni wanaogopa au wanaziacha makusudi?
Ukitumia akili kidogo utapata jibu ni bado hawajaweza kupata dawa yake full stop hizo nyingine ni porojo tu.
Ndege zenu vp jombaaHawa watu hawana technology na ndo maana juzi wamerusha missiles zao 8 zenye thamani ya 100+mil usd, 7 zikadakwa na defence systems za Ukraine, 1 ndo ikapenya.
Hapo hapo Himars juzi zikiwa 4 zimefyatua 24 strikes kwa pamoja kwa gharama ya 3.6mil usd
Na zikazaa matunda.....
Kila siku Ukraine anaonesha drone footage ya milipiko iliyofanyika...
Urusi haoneshi.
Na ndo maana nikasema siku wakiotea himars 1 na wakawa na video yake tutajuta, maana watasema wamelipua zote