Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ngoja nikuache kwanzaKwa sasa naona uhuru wa Taiwan upo. Unatishiwa. Unaonaje?
Inashangaza saanaPR ya west iko njema, wana control media hivo kwao ni rahisi pia ku'control kile wafuasi wao wanachowaza.
Kingine ni lugha, Lugha imefanya taarifa nyingi za East kuishia huko huko kwao isipokua kwa wachache wenye shauku ya kujua yanayoendelea kutoka huko.
He he he hii nayo kali... Hii taarifa ya 2020. Miaka miwili baadae wanasema wamemchapa drone [emoji23] US kama US huyo.
Mkuu ufafanuzi wa dola (state) niNgoja nikuache kwanza
Taiwan ina uhuru gani au inatofauti gani na danganyika na zenj
Nyie vijana bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Andiko bora kabisa ndani ya wiki hii, Mkuu lee van cliff hakika umeupiga mwingi..Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.
Ilikua inaitishia kuivamia.
Urusi ikapeleka kibabe silahaza nyukilia kuilinda Cuba.
Ndege ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia maeneo ya Cuba,USSR ikaona kua inaweza kutambua zilipo silaha za nyukilia.
Wala Warusi hawakujadili sana,wakaipiga na kuua rubani wake.
Miaka ya sabini ndege nyingine ya upelelezi ya USA aina ya U2 ikaingia anga la Urusi,Urusi haikujadili sana ikaipiga ndege na rubani akatekwa.
KILE ALICHOSHINDWA CHINA KWA PElOS,URUSI ASINGEONGEA MARA MBILI
Miaka ya themanini (1984) ndege ya Korea kusini ikiwa na raia wa USA ambao inaelezwa kulilikua na watu muhimu,wataalamu ama majasusi wa Marekani ndani yake,ilipita eneo Mkoa wa Urusi wenye silaha Kali na za Siri ambalo hakuna ndege ya kigeni ingeruhusiwa kupita eneo like.
Urusi iliionya ndege hiyo isipite eneo hili lkn ikakaidi.
Iliionya zaidi na zaidi ikaleta kiburi.
viongozi wa jeshi la anga la Urusi waliamuru kwa marubani wa jeshi la Urusi waipige ndege Ile
Ndege ya jeshi la Urusi ikaruka juu na kwenda kuitungua ndege Ile.
Mwaka 2007 Putin akiwa uwanja wa michezo ya Olympic mjini Beijing.
Alikatisha starehe ya kutazama michezo na kurudi Moscow haraka,baada ya majeshi ya Georgia kuwapiga kijeshi majimbo yake mawili yaliyokua yanadai haki sawa yenye wakazi wenye asili ya Urusi.Sothern Ossetia na Abkhazia.
Putin aliamiru jeshi lake kwenda kuwasaidia majimbo hayo.
Huku Georgia akitiwa kiburi na NATO,Urusi ilitembeza kichapo na kuyapa Uhuru majimbo hayo.
USA wakiwa wamekula njama na kusababisha maandamano nchini Ukraine yaliyopelekea Rais wa Ukraine kukimbia,makomando wa Urusi aina ya Spetsnaz wakiingia kimyakimya Crimea na kuitwaa na kuirejesha Urusi.
Ikumbukwe Crimea ilikua ni sehemu ya Ukraine.
Haya yote yamefanyika huku Marekani akibweka bila kuuma.
Kabla Urusi hajaivaimia Ukraine,USA alileta dharau sana pale Putin alipokua alifanya juhudi kuisihi USA isiruhusu Ukraine kujiunga na NATO.
Urusi uvumilivu uliishinda.
USA iliionya sana Urusi isivamie Ukraine kwamba itakutana na consequences ambazo itajuta.
Urusi haikujali ikavamia Ukraine.
Marekani na ubabe wake wote Huwa kwa Urusi haifanyi kitu.
Urusi baada ya kuona Assad huenda akaondolewa na USA na wapanmbe wake Urusi ikaingiza majeshi,Assad bado yupo,kwa kifupi Urusi ndio imemuweka Assad kibabe.huku ikizifukuza USA,France na UK.
Urusi imemuweka madarakani kibabe Niko Maduro.
Mwaka 2019 kama sikosei ndegevita moja ya Urusi ilipaa juu ya meli inayosemwa ni ya kisasa sana na iliyo ora zaidi ya Marekani na inayotegemewa zaidi na NATO.
Ndege hiyo ya Urusi iliizunguka melivita hiyo ya USA mara kadhaa na kuondoka.
Kilichotokea meli yote ilizimika Kila kitu,mfano wa mtu azimavyo TV Kwa remoti control.
Meli hiyo ilikuja kukokotwa Hadi kwenye kambi ya meli za USA iliyoko ujerumani.
Mabaharia wa meli hiyo walipofika waliandika barua za kuacha kazi kwa hofu waliokua nayo .
Ushahidi wa matukio yote niliyoandika upo
Yote haya na mengineyo yanafanyika USA akiona.
Urusi ndio mbabe wa Dunia.
USA kazi kuonea vigagaa TU.
Unataka misaada? Duh!Waache hujinga, hawatupi msaada mwingine wowote badala yake wanatuletea mzozo wao
Mkuu umeleta mengi na habari za nyakati tofauti.Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.

Miaka ya sitini USA ilikua inaisumbua Cuba kwa sababu ya ukomunist.

Hizi takwimu unazitoa site gani?Naamini Russia alijipanga zaidi na hii operation kuliko tunavyofikiria, alijipanga kijeshi na kiuchumi pia. Baada ya kuanza operation nchi za magharibi zilikimbilia vikwazo zikiamini kumuwekea Russia vikwazo kutamuadabisha na ataondoa jeshi ukraine. Nini kimetokea?
Vikwazo havikufanya kazi waliyoitarajia, nchi nyingi za ulaya kwa sasa hali za za uchumi ni tofauti na kabla hawajaweka vikwazo.
Angalia hata thamani ta hela ya Urusi mwezi march alafu angalia na august hii naamini Putin anacheza kete zake kwa akili sana.
Tuliaminishwa na western media kwamba uchumi wa Russia ni wa "kuunga unga" hivyo hawataweza kustahimili vita kwa mda mrefu ila kwa sasa tumeshuhudia tofauti.
Tukumbuke Russia ni mojawapo ya nchi zenye taasisi imara sana ya kijasusi haiwezi kufanya mambo kwa kukurupuka kama tunavyoaminishwa na media
View attachment 2316202View attachment 2316203
Nilichojifunza kwenye huu mzozo team Russia wana roho pana, hata zipite habari ngapi za kuwakera hutakosa comments zao wakijibu mashambulizi. Tofauti na team Ukraine/NATO/USA Hawa jamaa bana wana roho ndogo sana siku wakichakazwa hata kidogo tu hawaonekani kabisa hapa 🤣🤣🤣Hawa apa nimewafumaView attachment 2316511
ikumbukwe ata kwa internet Russia alikuwa ashaajipanga na akoji disconnect na internet in trial period.Naamini Russia alijipanga zaidi na hii operation kuliko tunavyofikiria, alijipanga kijeshi na kiuchumi pia. Baada ya kuanza operation nchi za magharibi zilikimbilia vikwazo zikiamini kumuwekea Russia vikwazo kutamuadabisha na ataondoa jeshi ukraine. Nini kimetokea?
Vikwazo havikufanya kazi waliyoitarajia, nchi nyingi za ulaya kwa sasa hali za za uchumi ni tofauti na kabla hawajaweka vikwazo.
Angalia hata thamani ta hela ya Urusi mwezi march alafu angalia na august hii naamini Putin anacheza kete zake kwa akili sana.
Tuliaminishwa na western media kwamba uchumi wa Russia ni wa "kuunga unga" hivyo hawataweza kustahimili vita kwa mda mrefu ila kwa sasa tumeshuhudia tofauti.
Tukumbuke Russia ni mojawapo ya nchi zenye taasisi imara sana ya kijasusi haiwezi kufanya mambo kwa kukurupuka kama tunavyoaminishwa na media
View attachment 2316202View attachment 2316203
Kabla hujafanya negotiation lazima ujiulize haya maswali kwanzaUnataka misaada? Duh!
Hawa pro-Russia wako radhi kuupindua ukweli Ili waendelee kufurahia nafsin mwao,Nilichojifunza kwenye huu mzozo team Russia wana roho pana, hata zipite habari ngapi za kuwakera hutakosa comments zao wakijibu mashambulizi. Tofauti na team Ukraine/NATO/USA Hawa jamaa bana wana roho ndogo sana siku wakichakazwa hata kidogo tu hawaonekani kabisa hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu labda nikusaidie tena kwa kulinganisha sehemu ulizotaja (ingawa ninaamini ungeweza mwenyewe):Ngoja nikuache kwanza
Taiwan ina uhuru gani au inatofauti gani na danganyika na zenj
Nyie vijana bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Someone should tell them to stop complaining and act decisively.The mobs of the 2nd battalion of the 56th brigade of the Armed Forces of Ukraine complain that they were thrown onto Peski without training and appropriate equipment, where the front fell down near the Hohlovermacht
Katika medani za vita, hawa wanapitia situation inaitwa TACTICAL DEPRESSION. Ni hali ya kawaida sana, wala si jambo geni. Sema tu wao wamelikuza na kulipa umaarufu kupita kiasi.Nilichojifunza kwenye huu mzozo team Russia wana roho pana, hata zipite habari ngapi za kuwakera hutakosa comments zao wakijibu mashambulizi. Tofauti na team Ukraine/NATO/USA Hawa jamaa bana wana roho ndogo sana siku wakichakazwa hata kidogo tu hawaonekani kabisa hapa 🤣🤣🤣
Hii wiki nimekuwa na majukumu mengi wakuuMkuu T14 Armata nina kimemo chako hapa