Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yap kwenye huu uzi nilianza kuisikia kwako, Na Mwamba Google chrome juzi kati hapa nae pia akairudia. Ndio nikamwambia kua mchambuzi wetu flani wa hapa JF ametoka kuisifia huu mfumo wa US wa Aegis kua dunia nzima haina mpinzani.

Hatare sasa karudi Kama utani vile nikamjaribu kajaa mule mule, sasa kaenda mbali hadi anakana Washington Post hawajasema chochote that's why ikanibidi nimpe hizo links ambazo jana sikutaka kumpea nikatania zimepigwa na Himars niendelee kum'enjoy.

Yote Jamaa etu sijui kawaje, kwingineko ni bright ila isitamkwe US maana ghafla anageuka kua Mk254 on spot πŸ˜‚
 
Mkuu ulijuaje kuwa kuna Rada haikuzima ?
 
let's not feed the trolls
 
Ukraine inaendelea kupukutishwa jamani,


Watakuja wenzake na mimi watauliza kwamba mbona ni vi-small territories tu ambavyo mmefanikiwa tena kwa mbinde kuvichukua? Eti lini Kiev inaanguka?

Mimi nimechoka kuwajibu. Wakiwaulizeni hivyo, basi wanafsihini na kuwaambia kwamba tajiri hapangiwi ratiba. Hii katika medani za vita inaitwa TACTICAL SOVEREIGNTY.
 
Nan kakwambia pilau inaliwa haraka wee jamaa?
 
Niliacha kumjibu baada ya kumuona huu upande ni mweupe.

Shukrani umemjibu vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…