Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tulia buda,demu mtamu anamegwa mosmos,😁😁 demu wako alafu unakurupuka haraka, ya nisijni?
sijakuelewa...... ina maana demu kwa upande wako ni yupi ambaye unamla taratiibuuuuu ili utaam usikuishiee
 
Jamani kuniiiiii kuniiiiii moto usipungue nguvu lete Kuni tuchocheee motoooo....
 
lee van cliff x Google chrome taarifa yenu hii 😊😊😊

Duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tutaendelea kuwauwa kila siku kama kuku
 
Kisheria haikubaliki

Wamekubali under duress wakiwa hawana akili timamu

Unamuambia mtu apige akubali huku mizinga ya Urusi na makombora yanaluelekea usoni

Huo uamuzi ni batili kisheria hata kama wananchi wote watapiga kura za ndio tuko tayari kujiunga na Russia

Mrusi hopeless kabisa ana propaganda za kitoto za kizamani kwenye dunia ya sasa
 
Hivi USA na EU silaha yao ni sanctions tu
Usipokubaliana nao unapigwa vikwazo

Siyo fair kabisaa
kaka kama hujui ni hivi - Dunia hii tunayoishi inatawaliwa na watu wa Magharibi kwa kushirikiana na US. Yaani US ndiyo kiongozi wa hilo kundi.

Kwa hiyo Putin atachoka mwenyewe tu, wale watu ni mafia saana.

Mshaurini aachane na hii vitaa, wanachofanya ni killing softly technic... Leo hii tunaongea hapa hakuna nchi yoyote ya Africa inaweza hata kupewa mafuta ya zawadi toka Urusi achana na hata ya kununua... itakuwa na yenyewe imeingia kwenye VIta.

M7 analijua hilo...juzi katoka mita mia dadadeq.
 
⚑️Russian President Vladimir Putin will not attend UN General Assembly in September and has no plans to speak at the event – Kremlin

FM Sergey Lavrov will head the Russian delegation, Kremlin spox Dmitry Peskov said.
Frankly under the current circumstances, I don't see why Lavrov should attend the UN session.After all what is the UN, it is just a US rubber stamp and a tool for the NWO depopulation and domination agenda.It is simply an anti-human organization.

Mimi ningependa hawa watu wawe isolated, shunned,avoided and scorned,they are so distasteful!!
 
lee van cliff x Google chrome taarifa yenu hii 😊😊😊


Duh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndugu zetu Pro USA Huwa wanaamini kabisa kuwa USA ndio mbinguni,
Na Rais wa USA ndio Mungu.
Kuwabadilisha kwa Imani hiyo IPO kazi.

Hiyo habari ilitrend sana kipindi hicho na iliwatisha sana wamarekani.ukweli ndio huo.

Kitu kingine kidogo kilichowaumiza sana ni Ile ndege Yao waliokua wakijivunia sana kuwa haionekani kwenye rada ilikuja kuangushwa na Jeshi la Serbia baada ya kuonekana.
Waserbia kwa kuwadhihaki wakawaomba samahani kuwa, "mtusamehe sana kwani hatukujua kua haionekani".

Inasemekana kombora lililotumika kuiangusha ni kombora lililotengenezwa Enzi za USSR na Urusi ilishaacha kulitumia.
Serbia walilimodifai na likaangusha ndege ya Marekani isiyoonekana.
Vipi makombora mapya ya Urusi yatakuaje?
Kama la zamani TU limeangusha ndege ya kisasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…