Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna habari za kuchanganya kutoka Japan zimeibuka asubuhi hii.

Baadhi ya news agency wanasema Serikali ya Japan ime jiuzuru. Wakimaanisha mawaziri wote wamejiuzuru kasoro Waziri Mkuu. Sababu wanasema ni mfumuko wa bei na kuto elewema.

Wengine wanasema Waziri Mkuu wa Japan anabadilisha mawaziri wote kutokana na tuhuma za muda mrefu kuwa wengi wana uhusiano na kanisa linaloitwa Unification Church. Ambalo lina semekana ni cult.

Sijui ukweli ni upi. Tusubiri tuone.

UPDATE: Inasemekana Waziri wa mambo ya nje anabaki kwenye nafasi yake.
 
🤝👏👏👏👏👏👏👏✔️✔️✔️✔️
 
Kitu kizito kimetua Crimea military base !!

Blasts rock Russian military airbase in annexed Crimea​

Russia humu si ndio hutupigia kelele wana best air defence system. Kila shambulizi likifanyika wanapigwa, sijawahi sikia shambulizi limefanywa na wakafanya interception ya makombora yote. Wao ni kupigwa tu, na uzuri Marekani imesema haioni shida mashambulizi kufanyika ndani ya Crimea Hiyo Kerch bridge tuipe muda
 
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🤝🤝🤝🤝
 
Masikini Putin.., mtaka yote kwa pupa hukosa yote..,tangu alipoichukua Crimea haikuwai kushambuliwa..,
Hakika wahenga waliona mbali sana [emoji106][emoji120][emoji120]

Ukraine inapaswa kumshukuru Putin kwa huruma alizonazo anaipeleka SMO bila kuleta maafa kwa raia. Jaribu kufananisha NATO walichofanya Syria/Afghanstan/Iraq/Yugoslavia/Libya then linganisha na Ukraine utaona jinsi Russia wanavyo ipeleka OP yao kisomi kuepusha mauaji ya Raia.

Ukraine yote itachukuliwa itakua Russian Federation
 
Tulia dawa imuingie ewe mlamba viatu wa Putin..,Sasa hivi ni mwendo mdundo mpaka crimea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na ndio lengo
 
Niliona hii habari japo western wameikausha kama vile hakuna kinachoendelea.UKRAINE mdomo mwingi kuliko vitendo
Baada ya himars kushindwa kuikomboa khersan sasa majeshi ya urusi yamesha ingia sehemu za mji WA mykolaiv kama huu mji ukitekwa hii litakuwa pigo takatifu Ukraine kupewa na urusi
 
Silaha za kipindi cha Soviet ndugu ni tatizo !! watu wanamdokoa tu alipo ha ha ha high accuracy
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258]
 
Kitu kizito kimetua Crimea military base !!

Blasts rock Russian military airbase in annexed Crimea​

Mbona hilo limefanyiwa press briefings muda, nyie Pro-Marekani? Unaambiwa hiyo blast ni baadhi ya nyara zilizokuwa zimetekwa Ukraine, zilikuwa zikiteketezwa na Warusi wenyewe.

Ndizo habari tulizozipokea hivi punde kutoka vyanzo vya ndani ndani kabisa huku Moscow.
 
Russia si mtu mzuri kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…