Mbona hilo limefanyiwa press briefings muda, nyie Pro-Marekani? Unaambiwa hiyo blast ni baadhi ya nyara zilizokuwa zimetekwa Ukraine, zilikuwa zikiteketezwa na Warusi wenyewe.
Ndizo habari tulizozipokea hivi punde kutoka vyanzo vya ndani ndani kabisa huku Moscow.
Mbona bado kingali wima na intact, wewe SECRET AGENT wa Blinken?
[emoji373] mkuu umempiga spana mkuu wa Geopolitics [emoji16][emoji16] kutoka NATO.At first nilifikiri ulichapia bahati mbaya but now ni karibu ten times wakirudia kile kile.
Sasa nikuibie siri mjuba, usione watu wapo kimya ukajua hiyo taarifa imewakera. Wanakupuuza cuz washakuona we ni hamnazo.
Unafikiri kazi ya kukusahihisha ujue kuandika vizuri, Ujue kwamba hakuna kitu kinaitwa "Jugement" in english bali ni "Judgement" unless uko unazungumza french tena ambapo ingekupasa useme "Le jour du jugement" waona ni ndogo? Uelimike huko ndio wakuelekeze ya Crimean Peninsula ni leo?
Kazi kubwa sana hiyo, na wengine wakifikiria watumie lugha gani kukuelimisha wanakosa. Lugha zote zinaonekana kukupiga tobo. Kama hapa, hii "Yahani" ni mdudu gani mdau? Mmh?
Sasa nani wa kujichosha kwako hapa, jibu ni NO. We endelea kubwatuka tu upepo ukikata tufahamishe.
Urusi alipiga mikwala mbuzi kwamba iwapo Crimea ingeshambuliwa, basi itakuja Ile ""jugement day """ Sasa ndio tunasubiri hiyo siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TOKA JANA NIKIENDA HUKU NASIKIA CRIMEA NIKIGEUKA HUKU NASIKIA CRIMEA NASHINDWA ELEWA NI KWAMBA UKRANE AMEKOMBOA MAENEO YAKE YOTE NA SASA ANAENDA ITEKA MOSCOW KWA MSAADA WA HIMARS AU NI KIPI KINAENDELEA MANA SIELEWI
Live. Wanna Nia ya kumchomoa mfaransa pale ki ushawishi hasa kijeshi.K
Kuna mwamba anashangilia ati Mali inakombolewa duh....warusi hawana muda wa kukomboa Afrika wakati na wao wako bize kutafuta superiority
Najua basiAfisa kipenyo ndio nini?
Umeona hii? Ndio mtapata mzuka wa kujilipua lipua mabomu Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani
Inakombolewa dhidi ya ukoloni wa UFARANSA na MAGHARIBI kwaujumla kama inavyotakiwa kukombolewa kongo na kwengineMali inakombolewa kivipi mkuu?kisa urusi kupeleka vyuma vyake pale? Halafu inakombolewa dhidi ya nan? Ahsante
Hilo shambulio limefanywa nanani!!!??Russia humu si ndio hutupigia kelele wana best air defence system. Kila shambulizi likifanyika wanapigwa, sijawahi sikia shambulizi limefanywa na wakafanya interception ya makombora yote. Wao ni kupigwa tu, na uzuri Marekani imesema haioni shida mashambulizi kufanyika ndani ya Crimea Hiyo Kerch bridge tuipe mudaView attachment 2319818
Mkuu usijisahaulishe, kwani ni mara ya kwanza Crimea kushambuliwa??Hivi wewe kp kipanya44 habari za kuwa Ukraine ndo imehusika kwenye mlipuko wa crimea jana unazitoa wapi? Au ndio Telegram channel zenu za Pro-Nato ndo zinavyo waambia hivyo.
Maana media za pro nato zote zinasema tofauti, Hata msaidizi wa Raisi wa Ukraine kasema Ukraine hausiki na shambulio hilo.
Tena viongozi wa ngazi za juu wa Ukraine including Raisi wenyewe Zelensky wali zikimbia ofisi zao na kwenda kwenye bunkers wakiofia Rusia watadhani ni wao wamefanya shambulizi na hivyo kulipiza kisasi.
Soma hizi habari za media za west utaelewa...
Ukraine war: Blasts rock Russian airbase in annexed Crimea
Black smoke is seen rising from the territory, which Russia annexed from Ukraine in 2014.www.bbc.com Blasts rock Russian military airbase in annexed Crimea
One killed and eight injured in Russian-annexed territory, with Ukraine saying partisans may have been responsible.www.aljazeera.com Ukraine hints blasts at Russian base in Crimea were an act of sabotage
The social networks were abuzz with speculation that it was an attack by Ukrainian-fired long-range missiles, but the Kremlin denies this.www.euronews.com Five injured as blasts rock Russian air base in annexed Crimea
Blasts rocked a Russian air base near seaside resorts in the annexed Crimean peninsula on Thursday, injuring five people according to local authorities in what Moscow attributed to detonations in ammunition stories.www.reuters.com
Mimi najitahidi kabla ya kuleta habari humu, naifanyia uchambuzi Source mbalimbali kwa undani.
Nilikuwa nakungoja tu mkuuRussian Aerospace Forces shot down three Ukrainian planes in the sky over the Nikolaev region - Ministry of Defense of the Russian Federation