mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 519
- 664
Toa basi ushahidi aloshikiwa bundukiUnamshikia mtu wa kherson mtutu ukiwa unamlenga kichwani halafu unamuuliza uko tayari kujiunga na Russia. Unategemea akujibu nini.Si atakuambia ndiyo
Russia wana mambo ya kitoto halafu wanaenda kutangaza kuwa asilimia kubwa ya watu wa kherson wanapenda kujiunga na Russia!!!
Na Ukraine
Wao wenyewe wamekana lkn sasa unaaminije hio habari MKUU !!!??Na Ukraine
Sihitaji wewe uniamini mimi, nenda kwenye media zenu za west kama BBC, Reuters, Washington post kasome hiyo habari. Maana hivyo vyanzo ni wapenzi wa Ukraine, kama wao wana kana, unatarajia nini?Kwa hiyo unataka tuamini hicho chanzo chako Cha habari hivyo vyanzo vingine vya habari tuviweke kapuni sio??
Alafu unaposema Mimi nimeileta hiyo habari humu nakushangaa..,Mimi sijaileta hiyo habari, nimesoma kama wewe ulivyoisoma,aliyeleta habari hiyo ni member anayejiita MTZ 255dar.., tafuta thread IPO humu..,na kakuwekea kabisa kiungo Cha hiyo habari,
Sasa tukuamini wewe au MTZ 255dar?
Macho madogo alipiga biti weee akadharauriwa akaishia haribu risasi na makombora ya gharamaUle mkwala wa "" jugement day "" naona ushapeperushwa na upepo ngoja tusubir mkwara mwingine [emoji41][emoji41]
Hawa wacomomunist wana mikwala mbuzi aisee [emoji1787]Macho madogo alipiga biti weee akadharauriwa akaishia haribu risasi na makombora ya gharama
Hii ni ishu kubwa Sana.commercial break...
"Ukraine is not a tenant": Russia controls its trillions of dollars of minerals - WP Ukraine's richest mineral deposits worth at least $12.4 trillion are now in the hands of Russia, writes The Washington Post. We are talking about 63% of all coal deposits, 11% of its oil, 20% of gas, 42% of metals and 33% of rare earth elements. Since February, the Russians have seized deposits of titanium, zirconium, lithium, strontium, uranium and gold. And that's not counting agricultural land. “Ukraine has found 117 of the 120 most widely used metals and minerals,” the American newspaper writes. “If the Kremlin succeeds in annexing the captured territory — and US officials believe it will try to do so in the coming months — then Kyiv will forever lose access to almost two-thirds of their fields." However, the fate of the Ukrainians is of little concern to the newspaper: it worries about Europe. It will now be harder for the continent to seek alternatives to imports from Russia and China. “Ukraine will not only lose most of its territory and resources, but will also be constantly vulnerable to a new onslaught of Russia,” WP quotes the opinion of Jacob Kierkegaard, a research fellow at the Peterson Institute for International Economics in Washington. “No private company in their right mind will invest in the rest part of Ukraine if it turns into a frozen conflict." Ahead of Ukraine is the worst, analysts emphasize - "turning into the Baltic States, unable to support its industrial economy."
Jugement Day [emoji777]️""" jugement Day""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kind of boneheads that we spend our time arguing with in here 🤣🤣Jugement Day [emoji777]️
Judgement Day [emoji736]️
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wana uwezo wa kuipigaSema wama uwezo kupina sio kuipiga mkuu
Westgate mall mliua wakenya wengi wasio na hatia,acheni huo ujinga.
Ila ukweli Marekani mlalamishi sana,Marekani yapiga mayowe na kuishitakia Uturuki kuwa uswahiba mkubwa wa Urusi na Iran ni hatari kwa ustawi wa taifa la Marekani. Yadai Urusi imerusha angani satellite ya Irani yenye uwezo mkubwa wa kufanya upelelezi kwa maslahi ya Iran
Mwambieni Biden kwani hafahamu kuwa Iran na Russia zipo kwenye umoja wa BRICS?! Atulie tu dawa iingie vizuri, mbona yeye yupo NATO (muungano wa nchi 30 dhaifu) lakini Iran/Urusi hazijamlalamikia?
View attachment 2319889View attachment 2319891
Andunje katika ubora wako..,hizo Alama za funga na fungua semi unaelewa maana yake??Kind of boneheads that we spend our time arguing with in here [emoji1787][emoji1787]
Unaelewa maana ya Alama za funga na fungua semi zilizowekwa hapo? Tuanzie hapo kwanza,Jugement Day [emoji777]️
Judgement Day [emoji736]️
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app