Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Tafuta taarifa acha kusubiri kulishwa kama kinda la bundiTungu Russia muanze kutungua hizo HIMARs zingekuwa zimeisha maana zipo 12 tu.
Yaani nyinyi mnchinja watu huko kilifi,mpeketoni,Garissa eti mbapigania dini? Wajinga Sana.
Russia kila siku anasema hata wakati anavamia Ukraine analisema atakaye ivamia Mvumo wa radi uta mkuta mbana U.S anatumia silaha na hakuna anacho na atakacho ifanya.Mbona Poland wapo karibu na hakuna kitu anacho fanyaUshahamia Finland na Poland. Toka Russia aseme Operation itakwenda mpaka Poland unaona sahv wanakipururuu??
Ukraine ndo nchi ya 2 kwa ukubwa Ulaya. Tumia ubongo huo kuleta hoja zenye tija kama huna hoja.
Na hapa ni niniJukumu letu Warussi ni kuwaua Ukraine & NATO na kuangamiza machumachuma yenye mfano wa silaha zote Magharibi na Marekani, Jukumu la kutangaza mauaji tuliyofanya na maangamizi watafanya Western media zote CNN BBC na Pro Ukraine wa Mkomaindo [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2320694
Kumbe Mombasa hakuna waislam!? Alafu,ubaguzi wa Ukabila umewapelekea kuhamia kwa Udini. Ndio maana mna laana za njaaUzuri mataifa kama China walikataa huo uzombi, mbaki nao huko huko Rais Xi Jinping ataka dini ya Kiislamu ikubaliane na mfumo wa China
Watu wameona ni kupoteza mda kumjibu tahira.Wenzako wote nikiwauliza hili swali wanaishia mitini
Wakati we unawaza Crimea sisi tunakusanya taarifa za Kijasusi Alaska ndani ya Marekani Russia ni dude kubwa sana kuliko unavyolichukulia ila ubongo ndio mdogo [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Na hapa ni niniView attachment 2320736View attachment 2320737
Ndugu mliambia kipigo bado hakijaanza. J3 mlionjeshwa hypesonic ballistic missile isiyozuilika. Tulieni ndio kwanza gemu linataka kuanzaNope Russia wasijizingizie Kutumia mifumo oldskuli hadi S400 zipo Ukraine still hazileti utofauti kwenye uwanja wa vitaView attachment 2320598
RUSSIA kamatia hapo hapocommercial break...
"Ukraine is not a tenant": Russia controls its trillions of dollars of minerals - WP Ukraine's richest mineral deposits worth at least $12.4 trillion are now in the hands of Russia, writes The Washington Post. We are talking about 63% of all coal deposits, 11% of its oil, 20% of gas, 42% of metals and 33% of rare earth elements. Since February, the Russians have seized deposits of titanium, zirconium, lithium, strontium, uranium and gold. And that's not counting agricultural land. “Ukraine has found 117 of the 120 most widely used metals and minerals,” the American newspaper writes. “If the Kremlin succeeds in annexing the captured territory — and US officials believe it will try to do so in the coming months — then Kyiv will forever lose access to almost two-thirds of their fields." However, the fate of the Ukrainians is of little concern to the newspaper: it worries about Europe. It will now be harder for the continent to seek alternatives to imports from Russia and China. “Ukraine will not only lose most of its territory and resources, but will also be constantly vulnerable to a new onslaught of Russia,” WP quotes the opinion of Jacob Kierkegaard, a research fellow at the Peterson Institute for International Economics in Washington. “No private company in their right mind will invest in the rest part of Ukraine if it turns into a frozen conflict." Ahead of Ukraine is the worst, analysts emphasize - "turning into the Baltic States, unable to support its industrial economy."
RUSSIA kamatia hapo hapoUkraine Inaumia kwenye hii vita aise,tuache utani.
Habari njema hiiiTim Rainbow [emoji304] someni habari hii
[emoji682][emoji91][emoji91][emoji91]Washington Post reports natural resources in Russian-occupied Ukrainian territories is worth an estimated 12 trillion dollars[emoji91][emoji91][emoji91]
@T14 Armata[emoji41][emoji41][emoji41]
View attachment 2320470
[emoji631] US Javelins have proved ineffective in Ukraine.
In total, Washington supplied more than 7,000 Javelin complexes to Ukraine. ATGM stocks in the United States themselves are on the verge of depletion. The cost of one complex with six missiles is $600,000.
Internal Raytheon documents indicate that the effectiveness of the Javelin "differs from the declared one". Thus, out of 11 test launches, only three hit a stationary target (see first graph).
According to public records, the range of the missile can be up to 5km. But internal documents say it is half as long (see second graph below)
View attachment 2320492
A Raytheon questionnaire completed by the past US military in Iraq and Afghanistan states that a third of the attempts to fire the Javelin "were accompanied by problems".
It is noted that even in the US Army "there is no understanding of the distance of fire contact." Simply put, American soldiers don't fully understand how far a Javelin is guaranteed to hit a target.
Kitu kingine asichojua kuwa Ukraine ndio ilikuwa na jeshi kubwa ulaya nzima; nimemshaangaa sana eti Finland na PolandUshahamia Finland na Poland. Toka Russia aseme Operation itakwenda mpaka Poland unaona sahv wanakipururuu??
Ukraine ndo nchi ya 2 kwa ukubwa Ulaya. Tumia ubongo huo kuleta hoja zenye tija kama huna hoja.
RUSSIA TAIFA TEULÊMkuu, ni jambo la kawaida sana kama beberu moja akimwonea beberu mwingine. Hii ni tabia ya kimsingi kati ya mabeberu. Ukipenda kujielimisha, usome Lenin, sijui kama kijitabu chake kuhusu ubeberu kinapatikana kwa Kiswahili, kwa Kiingereza soma hapa.
Kwa hiyo beberu Urusi alichukua kila nafasi kuharibu mipango ya mabeberu wenzake. Hapo msingi wa yale unayoamini kuwa "msaada wa Urusi" kwa Afrika.
Pale Urusi ilipofaulu ilileta dazmu na ukatili kama huko Ethiopia wakati wa Derg.
Hii lugha yako ya "taifa teule" inalingana vizuri sana na ubeberu. Ukifuatilia historia ya Ubeberu wa Uingereza, ilijiaminisha kuwa taifa teule kabisa! (The holy civilizing Mission.. ). Ukifuatilia lugha ya mabeberu wa Marekani (kama wafuasi wa Trump) ni hiyohiyo: "God's own country".
Ni hali ya maumivu ya vichwani tu . . .
Kumbe Mombasa hakuna waislam!? Alafu,ubaguzi wa Ukabila umewapelekea kuhamia kwa Udini. Ndio maana mna laana za njaa
Kiti kingine asichojua kuwa Ukraine ndio ilikuwa na jeshi kubwa ulaya nzima. Nimeshangaa kusikia Finland na PolandUshahamia Finland na Poland. Toka Russia aseme Operation itakwenda mpaka Poland unaona sahv wanakipururuu??
Ukraine ndo nchi ya 2 kwa ukubwa Ulaya. Tumia ubongo huo kuleta hoja zenye tija kama huna hoja.
Ukimaliza kuchukizwa ukalale MKUUMimi nachukizwa zaidi na uvamizi haramu wa Dikteta Putin kwa nchi ya kidemokrasia na kistaarabu iliyokuwa inatengeneza future yake nzuri kwa kusikiliza matakwa ya raia wake walio wengi. Siko interested sana na hizo tambo au Russia wanachokipata huko Ukraine kupitia mauaji, unyang'anyi, vurugu na uporaji wanaofanya.
Jambo lingine, Kama rasilimali lukuki walizo nazo Russia sasa kwenye nchi yao kubwa kuliko zote wameshindwa kuzitumia ipasavyo hadi linchi lao linapitwa kiuchumi kwa mbali sana na vi nchi vidogo kama U.K, Ufaransa, Japan na Italia vyenye rasilimali kidogo sana unafikiri Putini hata akiichukua Ukraine yote na dunia ikakubaliana naye kuna kitu kitabadilika kwenye uchumi wa Russia??
""Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wameona ni kupoteza mda kumjibu tahira.