Ndugu ...wewe binafsi unaamini kuwa Russia hakujua kuwa vita vitachukua muda mrefu?! Wewe unaamini kuwa Russia hakujua kuwa West na NATO watajiingiza katika Vita hivi na kuvifanya viwe proxy war?! Wewe unadhani kuwa Russia hakujiandaa kwa options mbalimbali?!?! Yaani wewe Mtanzania uko huku kwetu TZ hats mipangilio ya hela ya Kula ya Kila siku inatushinda eti ndiyo tunajifanya kujua Mambo mazito ya planning, strategies, intelligence na military operations.....Tuliwaambia Putin atajuta kujiingiza kwenye mambo haya ya Vita !! haya miezi 6 sasa kitu kimenasa dadadeq. Kuendesha vita miezi 6 gharama zake si za kitoto... atalainika tu.
NATO kasema vita hii itachukua muda mrefu kwa hiyo Ulaya na nchi nyingine zijiandae kuishi nayo... yaani kama vile COVID -19
Unaleta taarifa za WikipediaKwa mujibu wa taarifa Yako Ukraine saiv Haina ndege hata mmoja View attachment 2320642
Kama ndivyo,Sisi Mombasa Republic,tunadai Uhuru wetu toka kikuyuland,mkataba wa muungano wa miaka 100 imeisha.Maeneo ya Pwani zote hizo nizafahamika watu wa dini gani huko....
Unadai Katiba gani wakati hujui hata kusoma na kuandika? My foot!🤣🤣🤣Mkiona inawauma,nyie chomoeni tu[emoji1787][emoji1787]
""Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"" Jugement Day "" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama tunavyodai katiba,tutaendelea kuidai hii ""jugement Day ""[emoji1787][emoji1787]
Maana tumechoka mikwala mbuzi [emoji1787][emoji1787]
Huyo jamaa aliyeolewa anaitwa Mwangi🤣🤣Wa Pwani huko kwenye dini yenu ndio wengi, ...yaani Pwani kwa kila watano lazima mmoja amefumuliwa.
Ikiwauma ni ruksa kuichomoa tu.., lakini Mimi nitaendelea kukumbusha;Unadai Katiba gani wakati hujui hata kusoma na kuandika? My foot![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uturuki si wa kula naye dili, mwarabu haeleweki huyo !!❗️ An agreement on the purchase of Russian gas by Turkey in rubles has been reached; the nature of the schedule and prices will soon become clear - Turkish Energy Ministry
Nani amesema Ataturk ni waarabu?Uturuki si wa kula naye dili, mwarabu haeleweki huyo !!
Waturuki siyo waarab.Uturuki si wa kula naye dili, mwarabu haeleweki huyo !!
Dah umewagonga ngumi jiweKwani mashoga kwa nato ni tusi mkuu si ndio kitu wanapigania kienee sehemu zote. Hata mashirika mlioajiriwa si yanasapoti movement ya mashoga? Sasa iweje mtu kumuita pro nato shoga iwe tusi