Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya maelezo yatakuwa machungu sana kwa pro-Russia [emoji12]
 
Ngoma inaingia uwanjani Sasa, mbona mwaka huu mtatema cheche

[emoji635][emoji298]The Ministry of Defense of the Russian Federation signed a contract for the supply of the latest S-500 air defense system to the troops
Unaelewa maana ya BLASTS REPORTED IN TWO RUSIAN CONTROLLED BASES. Waambie wenzio wakutafsirie maana huelewi kitu
 
Ko ata Tanzania alipopigana na Uganda Russia alipigana na Uganda, au Libya alipogana na Tanzania, akili zenu ni Zero

Af sikujua hyo War, kumbe Soviet Union mwenyewe alipigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie jamaa kila vita mnapigwa
Ko ata vita ya Afghanistan ilichukua miaka 20[emoji23][emoji23][emoji23]
Vita au vikundi vya watu wanaopinga uwepo wa Marekan pale

Kwa kukusaidia tu ni kuwa Marekan alishinda tangu miaka hyo, ila Taliban na vikundi vyake wakawa wanaoppose, ni kama ujerumani Alivyoishika Tanzania na Mkwawa na Wahehe wakawa wanaleta resistance

Na ili uone ukubwa wa Jeshi la Marekani ni walikaa pale kibabe, ndo maana walivyotangaza tu kuondoka nchi ikachukuliwa ndani ya wiki, huo ndo ubabe na usuper power wenyewe sasa
 
Mzigo mpya unapakiwa huko America tayari kulewa Ukraine hii ni leo.
The USA is loading a plane with ammunition for Ukraine.
Tabu iko palepale kipigo cha mbwa koko kinakuja mtaomba poo

 
Mkuu pumzika
Huwezi elewa. Ukraine ni muhimu kwa Russia, wale ni majirani na wanashare values nyingi zaidi ya uhusiano uliopo kati ya Russia na Brazil. Tafuta trade between Russia vs Ukraine na Russia vs Brazil kabla ya mgogoro wa 2014 uone. Tafuta mikataba ya kutengeneza silaha iliyokuwepo baina yao ikiwemo ya gas turbine engines kutoka Ukraine. Tafuta mikataba ya gesi inayotoka Urusi kwenda Ulaya kupitia Ukraine.

Russia ina mikataba mingi na Ukraine kuliko huyo Brazil wanayepiga nae picha. Kama wangeweka vikosi Brazil wala usingeona Russia analalamika hivi.
 
[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji123][emoji123]
 
Haya nimeleta video ya kingereza maana ya kwanza mmetoka patupu angalieni mzigo unaopakiwa nawaeleza kuanzia wiki ijayo kipigo kitakuwa kikali zaidi.

 
Mzigo mpya unapakiwa huko America tayari kulewa Ukraine hii ni leo.
The USA is loading a plane with ammunition for Ukraine.
Tabu iko palepale kipigo cha mbwa koko kinakuja mtaomba poo

Masikini dikiteta Putin..,aliyataka mwenyewe lakini,Wacha ahadabishwe hakuna namna [emoji848]
 
Hii si ya Leo [emoji23][emoji23][emoji23]I see mwaka huu mtatema moto.
Haya boss tazama nahii ni DW wamereport angalia video zote zimekuwa uploaded lini basi tuambie hiki kipigo cha mbwa koko kimetokea eneo gani

 
Hawa jamaa wanadai eti Ukraine ina misaada. Since day one Russia wametokea Belarus, huo sio msaada? Makombora mengi tu yalirushwa kutokea Belarus, treni zilipeleka silaha, airbases zinaruka na kutua ndege za Urusi. Msafara wa machumachuma ulipitia Belarus ili ufike Kyiv mapema, kile kikosi cha VDV makomandoo kilichoteketezwa pale Hostomel airport kilitokea Belarus.

Bado wana msaada wa waasi wa Donetsk na Luhansk. Na sasa wanachukua drones za Iran soon tutaziona. China kawaacha wenyewe hata kama kapewa vitisho, am convinced aliamua mwenyewe kutoshiriki yasiyomhusu.

Hata majirani waliotakiwa kumsaidia Russia ni hao hao anaoishi nao kwa mashaka. Mbona majirani wa Ukraine wametoa misaada
 
Mrusi Anapigana na Mataifa zaidi ya 40 Huku kawekewa Vikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…