Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Udogo wa Ukraine ukoje?
Na ikiwa anasaidiwa na mataifa zaid ya 20 siraha na wanajeshi bado mdogo? Ki Ramani ulaya Ukraine ni kubwa sana kijeshi tayar anamsaada kutoka usa na nchi nyingine zaid ya 20

NATO wako pale
 
Sasa tukomboe vijiji havina watu kwa sasa tuna deal na maghala ya silaha kwanza hizo ndio zinawatia jeuri kukomboa kijiji na kupiga ghala lenye silaha nyingi kipi bora ndio ujue Ukraine wanatumia akili.
Miaka 8 NATO wamepiga Kambi Uikrane wakipiga zoezi la kufa mtu na utaalamu wa kivita.
Leo hii kinachotokea huko aibu tupu.
Ndo NATO uwezo wake ndo huo miji inatekwa ya Uikrane hawarudishi hata mtaa.
Umejiuliza US na NATO kwa nn hiyo Operation hawaingii?
 
The movement of enemy equipment on kakhovka HPP Bridge is practically impossible.
Haya sasa draja hilo limepigwa kitu kizito hakuna kuvusha hata rungu tutaelewana tu tazama video chini hapo.

Kwa facts hizi, pro-Russia lazima wakukome,
 
Snake island hata paka hakuna kule.ni kisiwa kidogo sana na hakuna makazi ya watu,wala hakuchangii chochote kile kwenye uchumi.

Point ni kwamba ground force ndo kila kitu kwenye uwanja wa kivita,uwezi kuchukua eneo kwa sababu ya kurusha makombola maana adui anajificha sehemu yoyote ile.unaweza ukajua silaha zipo kambini kumbe zimefichwa sehemu.tena kwa nchi kubwa kama URUSI unakuta wana ficha kwenye maandaki.



Wewe port nini tupe basi strategy anayotumia super power ambayo alifulumushwa kyiv na snake island na sasa washaanza kukimbia Crimea.
 
Hawa wanajifanya hawaoni kinachoendelea frontline wao kutwa ni kuleta articles za kuokoteza hazina evidence
Sasa hivi wameamua wakomae na kuitaja Taliban. Imagine hata wewe ungekuwa shabiki wa superpower uchwara, kwa hii performance si lazima ujifariji kwa kuwataja wale wawahi mbinguni. Eti "mbona nanyi mlipigwa na Taliban..." hapo washakubali performance mbovu
 
Hata Russia inahost wataalamu wa kijeshi kutoka China, India, Iran, Belarus, Kazakhstan, Venezuela na nchi nyingi tu. Huwa wanafundishana upuuzi gani mbona performance ya jeshi lake inazidiwa hata na Azerbaijan walivyopigana na Armenia professionally mwaka juzi
 
Sisi tunajua mmekimbia AFGHANISTAN wala hakuna kisingizio kuwa mmekaa sijui miaka 20.ulivyokaa iyo miaka 20 mlikuwa mmestarehe wala hamkuwa mnakufa.mmepoteza wanajeshi wenu pamoja na silaha.mmekimbia kwa aibu kubwa sana
 
Angekuwa na jeshi bovu basi vita ingekuwa ipo URUSI na sii UKRAINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…