Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Chanzo hiki hapa sema jingineMnaokoteza picha za mwezi wa 2 baada ya kuona mnazidiwa kete[emoji12]
Watu wanapiga maghala ya siraha,Kambi za jeshi.., huyu andunje anachojua ni kupiga makazi ya watuHaya tazama video ya Russia kapiga makazi ya Raia amewaua sita hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Ukraine aliyekuwepo eneo hilo.Kama kuna mwenye ushahidi mwanajeshi wa Ukraine aliyekufa kwenye hilo shambulio alete
UrrraaaaaSasa ili tujue kuwa Wakirene wanawatembezea moto Warusi.
Tuambie ni maeneo gani waliyofanikiwa kuyarudisha?
Tuambie eneo gani wamezima offensive za kirusi.
Tunapozungumza watu wameingia outskirts za Nikolaev ili kuizuia kupigwa Kherison.
Kule Adviika, Seversk hazipumui bila kusahau Pelsky imeshaanguka.
Kodema muda wowote.
Kwa nini wanarusha makombola kwenda Crimea?
Hii ni decoy ya kuhamisha focus ya watu kuacha kuzungumzia total collapse of eastern fortified area la Ukraine.
Ila Urusi ataendelea kuwatwanga na hizo small achievement zenu hazito kuwa na maana kwenye historia.
Uraaa Uraaaa
Lakini tukubaliane kuwa super pawer wa mchongo anapokea kichapo kikali wakati huuCrimea imeishaenda,usihangaike na tu video video humu,60% ya ardhi yenye rotuba, madini na bandari zimeishaenda na zingine zipo mbioni kwenda Urusi,sasa ww endelea kupost tu video humu.
Tutaendelea kuwaua kama kuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa umepiga makazi ukauwa raia 6 hao ndio unapiga kelele ninachotamani kuona ni kuwa mmepiga kambi mkaharibu vifaa vinavyoletwa na USA ikiwemo Himars.
Sisi Jana tumechinja warusi zaidi ya miamoja waliokuwa wamejificha kwenye majengo,na ushaidi wa video tumewawekea[emoji12][emoji12][emoji12]Tutaendelea kuwaua kama kuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taja eneo 1 mlilo likomboa toka Russia Army hadi sasa? Je mna songa mbele au mna rudishwa nyuma?Kwenye hii vita sehem zinachukuliwa na Russia na nyingine zinachukuliwa na Ukraine, hii vita ndo iko hvyo
Leo wanamega kesho wanarudisha wiki ijayo wanachukua tena, kuna video nilileta humu, sa nyie mnaleta habari moja za upande moja, tatizo hamna akili
We hujiulizi
Urusi alitangaza kuichukua Kherson yote, leo unasema kuna kijiji kimechukuliwa, maana yake ni nini, si kilikuwa chini ya Ukraine na walikikomboa kabla
Tumieni akili sio mpompo tu kuropoka
Video inasikitisha sana,jamaa wameuwawa kama Mende[emoji848]Haya ingine hii kumbe lile shambulio la juzi tarehe 16 wale Wagner mercenaries walikufa 680 na kiongozi wao tazama video hapo chini.Jamani hiki ni kipigo zaidi ya cha mbwa koko
Haya ingine hii kumbe lile shambulio la juzi tarehe 16 wale Wagner mercenaries walikufa 680 na kiongozi wao tazama video hapo chini.Jamani hiki ni kipigo zaidi ya cha mbwa koko
Video zako hazina tofauti za Ma DJ wa Tz watafsiri Movie.Haya ingine hii kumbe lile shambulio la juzi tarehe 16 wale Wagner mercenaries walikufa 680 na kiongozi wao tazama video hapo chini.Jamani hiki ni kipigo zaidi ya cha mbwa koko
Hiyo ilikuwa base yao na kiongozi wao aliwatembelea baada ya kutuma picha mtandaoni ikawa kosa Ukraine wakalitambua eneo chuma kikarushwa hakujatoka hata mfupa.680?? Embu kuwa serious bhana Jeshi gani wanakaa kwa pamoja hivo?? Huoni ni propaganda hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana tunawaambia kipigo kimewachanganya akili warusi,Sasa hivi wako kama kuku aliyekatwa kichwa,hawajui nini wafanye,nini wasifanye, kiufupi wameshakata tamaa680?? Embu kuwa serious bhana Jeshi gani wanakaa kwa pamoja hivo?? Huoni ni propaganda hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajichosha Sana habari za you tube wote tunazijua ni za akina LufufuHaya ingine hii kumbe lile shambulio la juzi tarehe 16 wale Wagner mercenaries walikufa 680 na kiongozi wao tazama video hapo chini.Jamani hiki ni kipigo zaidi ya cha mbwa koko
Nakuletea ya BBC sasa au unataka ya chombo gani?Video zako hazina tofauti za Ma DJ wa Tz watafsiri Movie.
Soma hapo chini"UKRAINE HITS RUSSIA WAGNER MERCENARY HQ IN EAST" yaaani wamepigwa kwenye makao yao makuu680?? Embu kuwa serious bhana Jeshi gani wanakaa kwa pamoja hivo?? Huoni ni propaganda hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tulieni dawa iwaingieUnajichosha Sana habari za you tube wote tunazijua ni za akina Lufufu
Jamaa mtoto sana anatuletea video za akina Lufufu zilizo tafsiriwaVideo zako hazina tofauti za Ma DJ wa Tz watafsiri Movie.
Usije dhania humu eti wote ni watoto. Na video zako fake za Youtube. Video Original za vitani na Fake zina julikana. Hizi ulizo kazana nazo ni za Ma DJ wa Propaganda wa NATO. Ebu aoneshe akiwa Ground akifanya coverage ya Vita.Nakuletea ya BBC sasa au unataka ya chombo gani?