Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona Pro West mnabwata tu asee

Mpewa maji ya kunywa sasa mnapata nguvu ya kuongea....

Hakika mnaenda kuingia kwenye mtego wa manigga Putin na inakula kwenu.

Wanangu wa MOSCOW endeleni kula bata kwanza...

Wacha nisake hii Rand kwanza.
 
Wap source kwamba Urusi imeacha depot zilipuliwe MAKUSUDI? ,lete picha za
Putin akitoa machozi.
 
Gonga kweye username id kisha utaona neno ignore kwa chini hakika hutauona ujinga wa mtu uliyemuignore
Super pawer wenu wa mchongo anapewa kichapo Mpaka mnatafuta pa kukimbilia Panakosa.., urusi lazima achakazwe Ili asirudie Tena upumbavu

Hili like funzo kwake dikiteta shetani wa urusi

Niogezee kwenye hiyo ignore list[emoji106][emoji106]
 
Kichapo Cha mbwa Koko kwa dikiteta Putin na mafashist wenzake kinachoendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Naona Pro West mnabwata tu asee

Mpewa maji ya kunywa sasa mnapata nguvu ya kuongea....

Hakika mnaenda kuingia kwenye mtego wa manigga Putin na inakula kwenu.

Wanangu wa MOSCOW endeleni kula bata kwanza...

Wacha nisake hii Rand kwanza.
Dikiteta Putin anapewa za uso mpaka mmeanza kupoteana [emoji12][emoji12]
 
Tazama ndege ya kisasa ya kivita ya Russia ilivyotunguliwa jana Su-30SM huko Kharkiv ina thamani ya dola milioni 50.Ni mwendo wa kipigo.Nimeweka source mbili


Una kichwa kigumu kuskia. Duuhh.

Tumekwambia Video za Youtube za Channel za watu binafsi wa Promo hatutaki humu. Tuna hitaji reliable source. Duuhh. Mkuu hatukatai uki tungua ndege. Ila vyanzo vya habar zako isiwe Youtube channel za watu.

Au huna realiable source zingine kiongizi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gonga kweye username id kisha utaona neno ignore kwa chini hakika hutauona ujinga wa mtu uliyemuignore
Mbona mlikuwa mnaleta habari zenu tulikuwa tunasoma bila kuwa ignore leo hii zetu hamtaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
NILIKUA NIKIINGIA KWENYE HUU UZI NAPATA DARASA LA UHAKIKA NIKIRUDI KITAA NAKUSANYA WAZEE NAANZA WAELEZEA VITU NIMETOA HUKU WENYEWE WANANIO BONGE LA KICHWA LAKINI SAIV UZI UMEJAA MIPASHO MPAKA UNAJIULIZA HAWA PRO NATO VICHWA VYAO VIMEWEKWA NINI AU NI MAKALIO YALIOOTA NYWELE
 

Well said, wana JF wengi hawajui kwamba video clips nyingi zinazo kuwa uploaded kwenye Utube channels za watu binafsi hazina ukweli wowote niza kutengeneza kwa kutumia CGI programs - kwa mtu ambae hajui vizuri taaluma hii, video zinaonekana ni real kabisa ie uwezi kuzitilia shaka hata kidogo - wapo watu mahususi wanalipwa na Serikali za magharibi na Serikali ya Zelensky kutengeneza na kusambaza video na habari za uongo/usanii kwenye mitandao, wako organized kweli kweli - masaa yote unaonyeshwa jinsi Warusi na zana zao za kivita zinavyo teketezwa na jeshi la Ukraine na jinsi inavyo karibia kushindwa vita, lakini hawatuonyeshi jinsi majeshi ya Ukraine na zana zao zinavyo teketezwa na jeshi la Urusi - katika hilo MSM za magharibi zipo kimya kabisa.
 
Huwa mnaulizwa ,Kuna chombo Cha habari hambacho hakipo YouTube??

Sidhani kama mmeshawai kujibu hili swali[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…