Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Amka bongo lala ile sio vita ya sinema...

Putin angeamaua hata masaa 24 angemaliza ila anafaida nayo hii Vita...

Putin sio Basata mzee wangu
Kweli mkuu,hii vita Ina faida sana kwa Putin maana majenerali zaidi ya 22 wa urusi hambao wamechinjwa mpaka Sasa hawatoshi.., anatamani waendelee kuchinjwa zaidi [emoji12]
 
Huu ndo ukweli Sasa na msikie sasa
 
SASA ndege ni ammunition?

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Super pawer wenu wa mchongo anapewa kichapo Mpaka mnatafuta pa kukimbilia Panakosa.., urusi lazima achakazwe Ili asirudie Tena upumbavu

Hili like funzo kwake dikiteta shetani wa urusi

Niogezee kwenye hiyo ignore list[emoji106][emoji106]
Mnapenda IWE hivyo lakini ripoti ikija kipondo kikali na watu wanazingirwa wanatekwa maeneo yanazidi kutekwa . Mpaka SASA NGOMA inaenda 30% Hayo ma ammunition Russia kayakusanya kibao kwenye maghala ya Ukraine yaliyoachwa kwaiyo hakuna hoja ya maana hapo . Kama tukihesabu maghala ya Ukraine yaliyolipuliwa yenye ammunition plus equipments huwezi kutamba. Kumbuka ndegevita 267 achana na helicopter

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Lete source acha story za kubumba mnateka maeneo tuoneshe source
 
Yani huyu mjinga aelewi kabisa kila tukimwambia.izo video apeleke facebook kwa watoto wenzake
Bro kama mnaweza kuwa'ignore plz fanyeni hivyo. Hawa mnavowapa attention kwa kila ujinga wanao fanya ndivyo mnavozidi kuwakoleza kufanya zaidi na zaidi.

Upande wenu mnaona kama wanajishushia CV ila kwao ni burdani nyie kukereka n kuwajia juu kama hivi. In short kwao ni ushindi na wana enjoy haswa!

Don't argue with fools wadau, wata-washusha kwenye level zao muwe kama wao.

Inabidi kabla ya kum'qoute mtu basi tujiulize maswali machache, like:-

1. Is it worthy a reply?

2. Mtu unayetaka zungumza nae ni mwelewa au nut za kichwa zimelegea?

3. Na kama zimelegea mda wa kuzikaza kwanza ndio uanze kuelimishana nae unao?

4. Ok kama mda unao, je mhusika ana utayari wa kupokea jipya kwenye fikra zake au ana-ng'ang'ana na kile anachokiamini?

Naamini tukitembea hatua 4 hizo hatuwezi sumbuka na hawa watoto, miongoni mwao wapo wenye umri mkubwa ila akili za kitoto.

Siku zote hakuna mchele usio na pumba, ila kunapokua na 90% Pumba, 10% Mchele kwenye gunia la kilo 100. The key and smartest way hapo ni kuchukua unachohitaji to easy your journey.

Kama lengo lako ni mchele hakuna ulazima wa kubeba hizo pumba zote for nothing unless uwe na ajenda nazo.

Watakuita strong wakikuona umebeba mzigo mkubwa na mzito. Ila utakuwa smart zaidi ukibeba kidogo ambacho kimekidhi kila haja uliyo ikusudia.

Ignore button muzitumie wadau maana hapa even us mnatuchosha pia tukiona mnavyo rumbana na hao watoto wasio jielewa.

Uzi unageuka unakuwa unafata flow zao kwa kila "utoto" wanao kuja nao. Tumehama kutoka kupeana taarifa tumehamia kwenye utoto wao 😂😂😂.

Next time watazua lingine hivyo hivyo wanajua wakija hapa mtawafatisha. Sasa toka juzi ni Vunjo, Kp, Watery na nyie source ikiwa ni kelele za YouTube.

Hawa katu hamtoweza kuwabadilisha hata ile their way of thinking ilhali in their eyes wanawachukulia nyie kama wajinga kui'support hiyo operation ya Russia ama kua Pro-East.

I urges you wakaka wakubwa, em fanyeni kuhifadhi nguvu zenu walau kama inawezekana. Hapa ni kama zilivyo fingerprints za binadam na mawazo yetu pia hayafanani na haitokaa yafanane 100% kwa kila kitu. Hao tuwaache na yao na sie tubaki na yetu.

Baaaaasi.
 
Unasema hivyo kwa kuwa unaona kichapo kinavyozidi kuwa kikali.., jifunze kuvumilia msichopenda kusikia,
Huyo unayembishia usidhani kuwa ni mtu wa kijiweni....he is a respected, knowledgeable and an educated person.... sasa wewe unamjibu 'kihuni' tu kwa hoja anazotoa...Youtube ina news nyingine ambazo ni fake na za kutengenezwa kipropaganda...Sasa wewe unabisha tu kwa kuwa unataka ligi ya ubishi...Hii JF kwa hakika Sasa imeanza kupoteza heshima kwa kuwasajili watu wa Aina yako...Yaani asilimia zaidi ya 90 ya comments zako humu JF ni za uzushi mtupu....duh...Halafu hata ID yako ni ya kumchafua tu yule Kipanya au KP wa Clouds...
 
Muweke kwenye ignore list simple mi nimemuhifadhi muda
 
Nyie mlishaweka chanzo?
 
Tunaendendelea kumtembezea kichapo kwa fashsti dikiteta andunje wa urusi.

Wanajeshi wa dikiteta Putin wataendelea kuchakazwa mpaka waombe poo.,

Haya Sasa naomba uni-add kwenye hiyo ignore list [emoji106][emoji106]
 
Unataka nimjibu kisomi mtu anayehamasisha vikosi vya dikiteta Putin vifanye haraka kuipindua serikali Halali ya rais zelensiky??

Huyu mtu kwa maneno yake mwenyewe Huwa anaona vikosi vya Putin vinachelewa sana kuipindua serikali Halali ya zelensiky [emoji848]

Hivi mtu kama huyu unaweza kumpa heshima gani..,
Tutawapeleka kihunihuni kwa kuwa nyie pro-Russia ndo mlianza kuleta mambo ya kihunihuni humu jamiiforum,
 
Wanakua na utoto Hawa vijana,Yani ili mradi tu Waonekane wamewaweza watu wa upande mwingine
Na tumewaweza kweli [emoji41][emoji41][emoji41]

pro-Russia mlitaka kujifanya kama mna hatimiliki ya hii thread

Kila siku kuandika uongo uongo tu jukwaani.,
Sasa tutakwenda nanyi kihunihuni tu hakuna namna
 
WAZO2010 Bukyanagandi mwayena 1954 Msulibasi mohamedidrisa789 Bugucha you are so smart my brothers i appreciate your contribution But Tunawaomba mcomply na haya maelezo, hawa jamaa hawastahili mjadala kama inawezekana muwaache wajadili wenyew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…