Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya tazama video Rusia wameondosha ndege za vita huko Crimea wanahofia panaweza kukucha vibaya kipigo cha mbwa koko wanajua Himars inapiga kuanzia usiku

 
Majeshi ya urusi yamesha teka nusu ya jiji la bakhamut kama mji huu utaangukia mikononi mwa urusi basi itakuwa pigo kubwa kwa Ukraine
Imeisha hiyo Russia anakwenda kisayansi . Ukraine wanapiga kutafuta busti ya morale hawana map wala objectives

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Haya tazama video Rusia wameondosha ndege za vita huko Crimea wanahofia panaweza kukucha vibaya kipigo cha mbwa koko wanajua Himars inapiga kuanzia usiku

Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mchawi lugha [emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi wako uliyo kwenda shule, once again thanks a lot.

Kwa bahati mbaya ni wana JF wachache watakuelewe vizuri, wengine baki wanatumbukiza arguments za kitoto toto yaani mada nzima unakuwa turned upside down and inside out - inakosa maana kabisa - binafsi na members wenzangu tulitegemea Jamiiforums liwe jukwaa la kuelimishana, kubadiridhana mawazo kwa ustaarabu bila ya kukashifu watu.

Just imagine, kuna baadhi ya members wanafikia mpaka thatua ya kutukana/kashifu watu, kisa? Una maoni tofauti na ya kwao hivyo wanakuchukulia kama adui vile. Tabia hii ovu inasikitisha sana kusema kweli!! Yaani JF linageuzwa kuwa jukwaa la mipasho ya taarabu - hapa naona kuna tatizo si bure, mimi nawaomba wasimamizi wa JF wajaribu ku-rectify mambo fasta 4 the better, wenye tabia ya kuwatukana watu wawe rebuked instantly. My opinion.
 
Kwa hali ilivyo US anapambana Ili aendelee kuitawala dunia , ni wazi watatoa raslimali zao zote alimradi Wana watu wakupigana hiyo vita. Russia nae ataongeza nguvu na atasaidiwa kwa NAMNA moja ama nyingine na washirika wake. Hayo mazoezi ya Russia ni zaidi ya mazoezi . Kama mbwai na IWE mbwai.

Sisi tunaofuatilia tusijeshangaa miezi michache tu TUPO mstari wa mbele wa mapigano . Si vita ya kushabikia bali tuendelee kufuatilia Africa itahusika directly. Ni vita ya kusambaa

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 

Mkuu, hali siyo nzuri kusema kweli, lililopo ni kumuomba Mungu atunusuru dhidi ya genge hatarishi la Anglo-Saxon breed, hawana utu hawa, akili zao zote zimezama katika kutaka kuitwala Dunia nzima - suala la Ukraine na pengine Taiwan hizo ni geresha/maigizo tu ya kutafuta kisingizio cha kuanzisha WW3 walengwa wakuu wakiwa ni Urusi na China ambao wanawachukulia kama ni kikwazo kikubwa kinacho wakwamisha kufikia malengo yao ya kuitawala Dunia kiuchumi na kijeshi wako dead serious wanataka Urusi na Uchina ziwe destroyed completly by making sure they will never to rise again kuwa tishio kwa Amerika na Uingereza hao ndio vinara wa ujinga huu, nchi za Ulaya ni bendera fuata upepo tu hawana kauli mbele ya Merikani - twende kushoto sawa mkuu, twende kulia sawa bwana wanapelekeshwa tu na Merikani kama robots/zezeta - inashangaza sana.
 
Lala wewe mpiga buluji ingekuwa vita ni kuzuia vifaa na Askari wasife basi naisi zisingepigwa chukueni ata eneo moja mlilonyang'anywa mlirudishe kwenye himaya yenu ndyo tutajua kuwa Rusia hii vita imemshinda unakuja kuisema snake island isiyo na faida yoyote kisiwa kisichoweza ata kuzalisha chumvii kuloose vifaaa ni kawaida sana kwenye uwanja WA vita kikubwa ni umepata nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…