thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
We tulia mbona warusi wa mpalange, mchambawima, makunduchi, mwembetogwa, mwembekiuno nao ikifika hicho kipindi watakuwa wanalalama na kulialia hapa jukwaani muda shahidi mzuri na uzuri tutawakumbusha maana internet huwa haisahau😅😂🤣Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.
Nyamizi mbona wakata tamaa mapema hivyo na kukubali uhalisia wa mambo kuwa kichapo chatembezwa na majeshi ya Russia Ukraine?Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.
Source? Au umeota tu na kuandika?ukraine nae kaanza kuvunja mipaka ya urusi na kuanza kuingia moscow kwa kasi na nguvu,pia yaelezwa urusi anazidi kuomba msamaha wa chinichin huku akilia kwa maumivu wanayoyapata kwani wamepoteza wanajeshi wengi.
ANAMNING'INIOSource? Au umeota tu na kuandika?
wapo kwenye water break ila game bado 1- 5(one bin hamsaNgapi ngapi mpaka sasa nipeni matokeo
Mwaka 99 wanajua Russia ilichowafanyaChechen wakiwasaidia Ukrainian na kuwapa njia nzuri.
Putin noma sana
Yeah huko wanaongozwa na sharia tu
Umenena haswaMchina kajenga uchumi wake kwa jasho machozi na damu hayuko tayar kuona ukiporomoka kizembezembe mchana atasema yupo na putin ila usiku ukifika anatafakari kwa kina hivi akikumbatia huyo urusi na akaachana na western countries anapata nini cha maana sana. Mchina wa sasa ni bepari tu naye anaangali kesho ya wananchi wake nchi ina watu kama mchanga wa bahari halaf aharibu kwa western wataishije ndiyo maana hata kura za jana kaabstain sasa si angemuunga urusi kivitendo kwa kuwa against chezea tumbo njaa noma. Kwa kifupi mchina yupo pote pote kwa urusi yupo mchana (maana anataka gesi na mafuta ya kubwa jinga russia) ikifika usiku anamng'ong'a kubwa jinga russia anakaa na western mpaka asubuhi na jioni maana ndipo soko la maana la bidhaa zake lilipo na hayupo tayari kulipoteza hilo.Katika nchi zinazotrade na china kumi za kwanza urusi hayupo. Kwa kifupi boss hanuniwi.
Naona mijini ya Russia inavyoendelea kuwa magofu jinsi Ukraine wanavyopiga makombola na wakimbizi wengi wa KiRussian wanaoneka [emoji31][emoji31]