thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
We tulia mbona warusi wa mpalange, mchambawima, makunduchi, mwembetogwa, mwembekiuno nao ikifika hicho kipindi watakuwa wanalalama na kulialia hapa jukwaani muda shahidi mzuri na uzuri tutawakumbusha maana internet huwa haisahau😅😂🤣Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.