LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.
We tulia mbona warusi wa mpalange, mchambawima, makunduchi, mwembetogwa, mwembekiuno nao ikifika hicho kipindi watakuwa wanalalama na kulialia hapa jukwaani muda shahidi mzuri na uzuri tutawakumbusha maana internet huwa haisahau😅😂🤣
 
Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.
Nyamizi mbona wakata tamaa mapema hivyo na kukubali uhalisia wa mambo kuwa kichapo chatembezwa na majeshi ya Russia Ukraine?
 
Lavrov on the talks between Russia and Ukraine:

The meeting of the delegations will take place today.

- A solution to the crisis around Ukraine will be found, Russia's conditions are minimal.

— There is no doubt that the Ukrainian delegation at the talks receives signals from Washington.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
ukraine nae kaanza kuvunja mipaka ya urusi na kuanza kuingia moscow kwa kasi na nguvu,pia yaelezwa urusi anazidi kuomba msamaha wa chinichin huku akilia kwa maumivu wanayoyapata kwani wamepoteza wanajeshi wengi.
Source? Au umeota tu na kuandika?
 
Borodyanka village, Buchansky district, Kiev region. Video: State Emergency Service of Ukraine.
 
Negotiations with the Ukrainian delegation may begin at 15:00 Moscow time. They will be held in the Brest region - the head of the delegation of the Russian Federation Vladimir Medinsky.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Mchina kajenga uchumi wake kwa jasho machozi na damu hayuko tayar kuona ukiporomoka kizembezembe mchana atasema yupo na putin ila usiku ukifika anatafakari kwa kina hivi akikumbatia huyo urusi na akaachana na western countries anapata nini cha maana sana. Mchina wa sasa ni bepari tu naye anaangali kesho ya wananchi wake nchi ina watu kama mchanga wa bahari halaf aharibu kwa western wataishije ndiyo maana hata kura za jana kaabstain sasa si angemuunga urusi kivitendo kwa kuwa against chezea tumbo njaa noma. Kwa kifupi mchina yupo pote pote kwa urusi yupo mchana (maana anataka gesi na mafuta ya kubwa jinga russia) ikifika usiku anamng'ong'a kubwa jinga russia anakaa na western mpaka asubuhi na jioni maana ndipo soko la maana la bidhaa zake lilipo na hayupo tayari kulipoteza hilo.Katika nchi zinazotrade na china kumi za kwanza urusi hayupo. Kwa kifupi boss hanuniwi.
Umenena haswa
 
Back
Top Bottom