Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si rahisi kihivyo, kama TISS wanashindwa shauri kuhusu Tozo, usitegemee wakaweza kitu kama hicho.
Chuki iliyopo kati ya Tz na wananchi wake ikitokea Vita watu wanaweza muunga mkono adui
Lakini tukubaliane tu kwamba Kwa nchi kama urusi ni uzembe mkubwa sana kufanyiwa mashambulizi kama haya

N.B ; haya ni mashambulizi kwa mujibu wa maoni ya bukyanagandi
 
Lakini tukubaliane tu kwamba Kwa nchi kama urusi ni uzembe mkubwa sana kufanyiwa mashambulizi kama haya

N.B ; haya ni mashambulizi kwa mujibu wa maoni ya bukyanagandi
Si uzembe, wamezidiwa mbinu.
 
[emoji298]️Associated Press: US purchases 150,000 tons of Ukrainian grain for Middle East, Africa.

The shipment was announced by the World Food Program chief to the AP, adding that its volume was over six times more than the previous shipment from Odesa organized by the WFP.
 
T14 Armata

Naona Crimea inanyunyuziwa mfululizo...

Leo tena HQ ya BlackSea Fleet imepigwa na drone
Russia Airborne Division walifeli kuanzia Hostomel, wakati wao ni elite troops. Sasa nayo Black Sea Fleet inateswa kwenye vita hivi. Hiyo ni picha kwamba jeshi lina matatizo mengi mno kuanzia ubora wa mafunzo, quality ya silaha, maintenance na vitu vingi. Uzuri pale juu kuna mzee Shoigu hana shida na mtu. Ni wale viongozi wanaopendwa na kila mtu na hana wafuasi wa kumfuata.

Shoigu ni mtu muhimu Urusi ila hata Putin afe leo hakuna wakumuunga mkono awe mrithi. Na inaaminika hana mpango wowote kisiasa hivyo sio tishio kwa Putin na hana makali ya kushawishi makamanda kufanya lolote. Kawa waziri tangu miaka ya 90s, ni miaka 10 sasa akiwa wa ulinzi.
Ni tofauti na predecessor wake Anatoly Serdyukov aliyeteuliwa baada ya failures na aibu ya jeshi la Urusi kwenye vita ya Georgia. Serdyukov alifanya mageuzi makubwa haraka ila akachukiwa na walaji baada ya kuwakatia mirija. Hakukaa muda mrefu akaondolewa na Putin.
 
Kalainikaaa....

Mzozo wa Ukraine: Urusi kuwaruhusu wachunguzi wa UN kuchunguzza kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia - Putin
 
Kalainikaaa....

Mzozo wa Ukraine: Urusi kuwaruhusu wachunguzi wa UN kuchunguzza kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia - Putin
Ni jambo zuri na la busara. Zisitokee ajari za kulazimisha kwenye maeneo hatarishi
 
Kama leo umetazama ile video ya air defence systems mjini Sevastopol zinafanya engagement ya Ukrainian drone ambayo ilikuwa na speed ndogo sana utazidi kushangaa uwezo wa hiyo mifumo. Poor kabisa
 
Kama leo umetazama ile video ya air defence systems mjini Sevastopol zinafanya engagement ya Ukrainian drone ambayo ilikuwa na speed ndogo sana utazidi kushangaa uwezo wa hiyo mifumo. Poor kabisa
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kama leo umetazama ile video ya air defence systems mjini Sevastopol zinafanya engagement ya Ukrainian drone ambayo ilikuwa na speed ndogo sana utazidi kushangaa uwezo wa hiyo mifumo. Poor kabisa
Natamani vita ya US na Urusi
 
Makomandoo wa Russia wameziteka Helicopter tatu za Ukraine walizopewa msaada nakuondoka nazo ziende maabara zikafanyiwe utafiti...
Hii Oparation Russia anaitumia vizuri kusoma Screpa za US na NATO....Jeshi la Russia linataka US ampe Ukraine F 35 waiteke nzima nzima iende maabara Kubinka Air Base.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Mil-2 ni helicopters za kizee sana. Na Urusi kama sikosei ashaacha kuzitumia muda tu
 
Kama leo umetazama ile video ya air defence systems mjini Sevastopol zinafanya engagement ya Ukrainian drone ambayo ilikuwa na speed ndogo sana utazidi kushangaa uwezo wa hiyo mifumo. Poor kabisa
Hamuwezi Kukosa sababu.

Walipofanikiwa kupiga mlisema na kuuliza effective ya hiyo mifumo.

Wakitumia mifumo mnatafuta pet reasons ili kudownplay efficient yake.
 
Mzee wa tactical simuoni na wengine wengi...vipi jamani pro Russia mbona tunasimangwa sana....Putin do something
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…