Ila unamwaza ya kitoto sana yaani mkuuSio Helicopters tu Russia anashikilia silaha nyingi sana mpak HIMARS. Pia jeshi la Ukraine baadhi sio waaminifu wamekua wanauza silaha kwa Warussi sababu ya kucheleweshewa malipo na morale haipo.
Kuhusu Crimea kuna matukio Russia anafanya hujuma kuonekana yanalipuliwa ili aendelee na moto wa operation maaana anapata faida kubwa sana pale. Uchimbaji wa madini unaendelea pale kwa maeneo anayoshikilia, vita anaendesha kupitia Ukraine wamekuja kushtuka juzi tu.
Tulia dawa ikuingie mimi sio kama nyie mnao tuletea video gamesLete source acha kuleta habari za kitoto za kutunga yani mtu na akilizako unaandika ujinga hauna source peleka Facebook kule[emoji38][emoji38]
Lete source acha kuleta habari za kitoto za kutunga yani mtu na akilizako unaandika ujinga hauna source peleka Facebook kule[emoji38][emoji38]
Umechambua vizuri sana Mungu akubariki. Alete articles zake na yeye.Ujerumani inawauzia Israel aina fulani ya diesel electric submarines zenye AIP system zile Dolphin class. Hizo subs hazikaribiwi na poor subs za Russia zile Kilo class. Hiyo Israel ndio mwalimu wa Russia kwenye drones. Israel huyo ndio bingwa wa kuharibu na kukwepa air defence system za Urusi. Maeneo yote ambayo silaha za Mrusi na zinakutana na za Muisraeli silaha za Urusi zifiche tu. Tumeziona vizuri Nagorno Karabhak. Sasa Israel haijawahi nunua silaha mbovu au kwa mtu mjinga asiyejua.
Ujerumani imetoa Gepard anti aircraft gun system kwa Ukraine. Hizo Gepard ilishaacha kuzitumia ikisema ni za zamani wala sio hadhi yake. Cha ajabu bado zinalitishia jeshi la Russia na Ukraine iliziomba.
Ujerumani imetoa Pz2000 ambayo ni the best howitzer waliyopokea Ukraine. Ogopa sana Ukraine wakipokea silaha kwa msaada kisha wakachangishana harambee kununua idadi nyingine ya silaha hiyo. Pz2000 ni bora kuliko French Caesar, Swedish Archer na yoyote aliyo nayo Marekani.
Imetoa silaha nyingi ndogo kama DM22 directional anti tank mines zenye uwezo wa kushangaza. Panzerfaust 3 ATGM ambazo ni nyepesi kuliko Javelin. Kuna mines nyingine, na silaha nyingi.
Rheinmetall kampuni ya Ujerumani ndio ilijenga Mulino, kituo kipya cha mafunzo ya jeshi cha Urusi. Hakuna yeyote pale Russia angejenga kituo kama hicho, Urusi walikuwa na vituo vya kizee ambavyo havina hata simulation capabilities.
Bado Rheinmetall inatengeneza silaha za uwezo mkubwa kama Leopard MBT.
Kulinganisha jeshi la Ukraine dhidi ya Ujerumani ni mchana na usiku. Ujerumani haiwezi tumia silaha yeyote made in Ukraine, ni silaha duni sana kwao. Vilevile haiwezi tumia silaha nyingi ambazo ziko deployed na Ukraine. Ukraine ina Su-27 na Mig-29 ambazo ni 3rd gen jets za miaka ya 70 uko wakati Ujerumani ina 4th gen Eurofighter Typhoon ambazo ndege ya kwanza imetengenezwa 2003.
Ukraine haina navy wakati Germany ina wargships na subs. East Germany ilikuwa na silaha ambazo ilizigawa kwa former Soviet block members miaka ya 80 na 90 uko. Mfano BMP-1 ilizipa modifications kubwa ikazipeleka Sweden kisha Czech Republic.View attachment 2330591 Vita hii Ukraine ikaziomba na Wajerumani wakatoa ruhusa hizo junks ziende Ukraine. Wao hawawezi tumia kazi mbovu vile katafute IFV na APC wanazotumia na wanazodevelop.
Kuhusu morali ya kupigana na mwamko, hilo kajifunze kwanini Nazi Germany ilipozimavia Poland, France na USSR kwanini Britain na US zilikuja kuwasaidia. Huwezi linganisha Ujerumani na Ukraine. Huijui Ujerumani kwa kuwa haipigi kelele kama Russia. Unaamini kwenye kelele kuliko ukimya
Tulia dawa ikuingie mimi sio kama nyie mnao tuletea video gamesLete source acha kuleta habari za kitoto za kutunga yani mtu na akilizako unaandika ujinga hauna source peleka Facebook kule[emoji38][emoji38]
Lete source acha kuleta habari za kitoto za kutunga yani mtu na akilizako unaandika ujinga hauna source peleka Facebook kule[emoji38][emoji38]
Ujerumani Hao ndo walioipa Ukraine Irish air defense system na bado zimefeli pia ujerumani imetuma artillery za kisasa kwa Ukraine lakini wapi. Leo hii ujerumani tuipiganishe hata na serbia ujerumani haitoboi kwa strategy weapons hawana yaani kama wantegea tomahawk za USA basi wamefeli tomahawk zilipukutishwa nyingi na Syria. Hizo submarine za Israel alizo nunua kwa ujerumani zilishwai kukutana na mtiti wa underwater drone za hamas mpaka Israel ikazippeleka Cyprus. Urusi Ana underwater misseli yenyewe uwezo wa kunguzauka dunia hata mwaka mzima kisha ika hit target
Sasa hivi nikileta habari naweka source zaidi ya ya 3 bora nisipost lakini nipate habari iliyoripotiwa na chombo zaidi ya kimoja sasa wewe unaandika Ukraine amerudishwa nyuma huko kherson unamaliza huo ujinga kapost facebook.Tulia dawa ikuingie mimi sio kama nyie mnao tuletea video games
Ukiitoa USA hakuna inchi inayoweza kuipiga Ukraine katika muungano wa nato walichemka Afghanistan katika ground battle. Unadhani ujerumani kwa sasa inamsuri hata wa kuipiga serbia? Nato ni USA wengine hamna kitu
Ndo
Mbona Sasa kambi na magala yanalipuliwa sana. Air defence zimeshindwa kabisa kujuia kulipuliwa kwa hizo kambi
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Wala hakuna sehemu waliosema kama uwingi wamajeshi ndio ubora wa jeshi ama vipiNani hao waliosema Ukraine inaweza piga nchi zote za NATO kasoro US na Turkey.
Germany ipigwe na Ukraine?
UK ipigwe na Ukraine?
Italy ipigwe na Ukraine?
France je, Canada nayo?
Yani Ukraine hii hii ambayo imepokea mafunzo kutoka Ulaya na Marekani, inapewa silaha na hata Bulgaria ndio ipigane na giants wa NATO. Uwingi wa wanajeshi sio kitu, Russia mbona ina wanajeshi wengi ila poor trained na silaha mbovu. China mbona ina wanajeshi wengi ila Taiwan kisiwa kidogo hakiiogopi.
Sasa kumbe mmehamisha magoli leo hii Ukraine ingekuwa kwenye coalition ni the third best military in NATO? Failures za Russia haziifanyi Ukraine iwe bora. Ukraine ina jeshi la kawaida, hata determination waliyonayo Ukraine ni ya kawaida. Russia ingeivamia Poland ambayo ndio ilifanyiwa massacre ya watu zaidi ya 200,000 kwenye WW2 au ingevamiwa Finland ambayo ilipambana na USSR kwenye Winter war ndio ungejua Russia ina jeshi bovu mno.
Kama umeanza kusoma vita mwaka huu nakukumbusha Russia mwaka 1995 ilikuwa na performance mbaya sana kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Chechen. Ikawa na rekodi mbaya kwenye second Chechen war, ikawa na rekodi mbaya kupindukia kwenye vita ya Georgia mwaka 2008 na baada ya hapo ikafanya military reforms. Kwa sasa hizi ndio reforms zimefanyika ila performance sio nzuri.
Ukraine hii mwaka 2014 ilivamiwa pale Crimea wanajeshi wakaondoka bila kurusha hata risasi. Miaka saba baadae imevamiwa na adui yuleyule ambaye anapigana nayo kwa kujificha. Ndani ya NATO humo ni utoto kulinganisha nchi nilizokutajia dhidi ya nchi iliyokimbia eneo lake miaka saba iliyopita
Vita ni maeneo Go RussiaBaada ya majeshi ya UKRAINE kutolewa kwenye mkoa wa KHERSON,majeshi ya URUSI yanazidi kusonga mbele na kuingia kwenye mkoa wa MYKOLAYIV na kuchukua kijiji cha BLAHODATNEView attachment 2330656
Acha Wapanue humu midomo na Nchi inazidi kutekwa. Tukimaliza Strategic and Targeted Areas tuna hamia kyiv. Tumnyonge huyo Zelenskyy, kibaraka wa America..Baada ya majeshi ya UKRAINE kutolewa kwenye mkoa wa KHERSON,majeshi ya URUSI yanazidi kusonga mbele na kuingia kwenye mkoa wa MYKOLAYIV na kuchukua kijiji cha BLAHODATNEView attachment 2330656
@T14 Armata SMO inaenda vyema MKUUBaada ya majeshi ya UKRAINE kutolewa kwenye mkoa wa KHERSON,majeshi ya URUSI yanazidi kusonga mbele na kuingia kwenye mkoa wa MYKOLAYIV na kuchukua kijiji cha BLAHODATNEView attachment 2330656
Hivyo vifaa unavyotaji ni kwa ajili ya nchi kama Iraq,Libya na Afghanistan,lkn sio kwa Urusi.Ingepigana na Nato ungeona f22, f35, eurofighter typhoon, ungeina carrier strike group, ungeona Abrams tanks, ungeona THAAD, Patroit airdefence system, ungeona A10 warhog, ungeona wanajeshi wa Nato uko, ungeona baba la vita B 52 na b2
Ungeona vitu kibao sijavitaja vimetulia magjalani uko
Tatizo la mabaladhuri Huwa mnajiona mna akili sana.Hili ndo taifa la kesho, Vijana weupe Kabisa Kichwani, Kuunganisha Dots zero, Hoja Zero.
Ukraine makelele mengi kumbe wanachezea kipigo cha mbwa mwiziBaada ya majeshi ya UKRAINE kutolewa kwenye mkoa wa KHERSON,majeshi ya URUSI yanazidi kusonga mbele na kuingia kwenye mkoa wa MYKOLAYIV na kuchukua kijiji cha BLAHODATNEView attachment 2330656
Joe Biden ni Zombie la NWO mkuu,so he is not the one controlling America,the NWO does.Hii ina maana gani,ina maana kwamba agenda za NWO ndizo zinazo-tekelezwa in the US,na hii iko wazi.But do not forget that this has wider repurcussions for the World,because once America falls,it falls with the rest of the World. The wider agenda is to get hold of America,and once that is done,the next is the rest of the World.Ofcourse this does not mean that the NWO is doing nothing in the rest of the World at the moment,far from that,they are infact doing alot to weaken governments and the World citizenry everywhere worldwide,ready for easy World conquest.This is exactly/preciously what have been saying all along - lakini ni watu wachache walio nielewa - repeat Biden ni mtu hatari sana Duniani na jeuri kweli kweli - atatumaliza nawaambieni. Tuombe sana Mungu atunusuru hali ni tete watu hawajui tu, tuta aminije mtu ambaye anasalimiana na hewa, miscalculation ya kutuletea/sababisha WW3 ni more pronounced kutoka kwa individual kama huyu ambaye hatabiriki kama Tsunami tidal waves.