Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Huko kote usemapo Russia ilkua mbovu baada ya Vita imemega maeneo na kuyaweka chini ya ushawishi wake.Nani hao waliosema Ukraine inaweza piga nchi zote za NATO kasoro US na Turkey.
Germany ipigwe na Ukraine?
UK ipigwe na Ukraine?
Italy ipigwe na Ukraine?
France je, Canada nayo?
Yani Ukraine hii hii ambayo imepokea mafunzo kutoka Ulaya na Marekani, inapewa silaha na hata Bulgaria ndio ipigane na giants wa NATO. Uwingi wa wanajeshi sio kitu, Russia mbona ina wanajeshi wengi ila poor trained na silaha mbovu. China mbona ina wanajeshi wengi ila Taiwan kisiwa kidogo hakiiogopi.
Sasa kumbe mmehamisha magoli leo hii Ukraine ingekuwa kwenye coalition ni the third best military in NATO? Failures za Russia haziifanyi Ukraine iwe bora. Ukraine ina jeshi la kawaida, hata determination waliyonayo Ukraine ni ya kawaida. Russia ingeivamia Poland ambayo ndio ilifanyiwa massacre ya watu zaidi ya 200,000 kwenye WW2 au ingevamiwa Finland ambayo ilipambana na USSR kwenye Winter war ndio ungejua Russia ina jeshi bovu mno.
Kama umeanza kusoma vita mwaka huu nakukumbusha Russia mwaka 1995 ilikuwa na performance mbaya sana kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Chechen. Ikawa na rekodi mbaya kwenye second Chechen war, ikawa na rekodi mbaya kupindukia kwenye vita ya Georgia mwaka 2008 na baada ya hapo ikafanya military reforms. Kwa sasa hizi ndio reforms zimefanyika ila performance sio nzuri.
Ukraine hii mwaka 2014 ilivamiwa pale Crimea wanajeshi wakaondoka bila kurusha hata risasi. Miaka saba baadae imevamiwa na adui yuleyule ambaye anapigana nayo kwa kujificha. Ndani ya NATO humo ni utoto kulinganisha nchi nilizokutajia dhidi ya nchi iliyokimbia eneo lake miaka saba iliyopita
Duh huyu kalishwa matangopori na DW BBC na CNN na kaelewa vyema.Ujerumani inawauzia Israel aina fulani ya diesel electric submarines zenye AIP system zile Dolphin class. Hizo subs hazikaribiwi na poor subs za Russia zile Kilo class. Hiyo Israel ndio mwalimu wa Russia kwenye drones. Israel huyo ndio bingwa wa kuharibu na kukwepa air defence system za Urusi. Maeneo yote ambayo silaha za Mrusi na zinakutana na za Muisraeli silaha za Urusi zifiche tu. Tumeziona vizuri Nagorno Karabhak. Sasa Israel haijawahi nunua silaha mbovu au kwa mtu mjinga asiyejua.
Ujerumani imetoa Gepard anti aircraft gun system kwa Ukraine. Hizo Gepard ilishaacha kuzitumia ikisema ni za zamani wala sio hadhi yake. Cha ajabu bado zinalitishia jeshi la Russia na Ukraine iliziomba.
Ujerumani imetoa Pz2000 ambayo ni the best howitzer waliyopokea Ukraine. Ogopa sana Ukraine wakipokea silaha kwa msaada kisha wakachangishana harambee kununua idadi nyingine ya silaha hiyo. Pz2000 ni bora kuliko French Caesar, Swedish Archer na yoyote aliyo nayo Marekani.
Imetoa silaha nyingi ndogo kama DM22 directional anti tank mines zenye uwezo wa kushangaza. Panzerfaust 3 ATGM ambazo ni nyepesi kuliko Javelin. Kuna mines nyingine, na silaha nyingi.
Rheinmetall kampuni ya Ujerumani ndio ilijenga Mulino, kituo kipya cha mafunzo ya jeshi cha Urusi. Hakuna yeyote pale Russia angejenga kituo kama hicho, Urusi walikuwa na vituo vya kizee ambavyo havina hata simulation capabilities.
Bado Rheinmetall inatengeneza silaha za uwezo mkubwa kama Leopard MBT.
Kulinganisha jeshi la Ukraine dhidi ya Ujerumani ni mchana na usiku. Ujerumani haiwezi tumia silaha yeyote made in Ukraine, ni silaha duni sana kwao. Vilevile haiwezi tumia silaha nyingi ambazo ziko deployed na Ukraine. Ukraine ina Su-27 na Mig-29 ambazo ni 3rd gen jets za miaka ya 70 uko wakati Ujerumani ina 4th gen Eurofighter Typhoon ambazo ndege ya kwanza imetengenezwa 2003.
Ukraine haina navy wakati Germany ina wargships na subs. East Germany ilikuwa na silaha ambazo ilizigawa kwa former Soviet block members miaka ya 80 na 90 uko. Mfano BMP-1 ilizipa modifications kubwa ikazipeleka Sweden kisha Czech Republic.View attachment 2330591 Vita hii Ukraine ikaziomba na Wajerumani wakatoa ruhusa hizo junks ziende Ukraine. Wao hawawezi tumia kazi mbovu vile katafute IFV na APC wanazotumia na wanazodevelop.
Kuhusu morali ya kupigana na mwamko, hilo kajifunze kwanini Nazi Germany ilipozimavia Poland, France na USSR kwanini Britain na US zilikuja kuwasaidia. Huwezi linganisha Ujerumani na Ukraine. Huijui Ujerumani kwa kuwa haipigi kelele kama Russia. Unaamini kwenye kelele kuliko ukimya
Baba was Vita B 52? Inachekesha mkuu.. Hilo dege lilidondoshwa Sana Vietnam mpaka likawa useless. We unaileta Hapa Kama silaha ya kipekee sanaIngepigana na Nato ungeona f22, f35, eurofighter typhoon, ungeina carrier strike group, ungeona Abrams tanks, ungeona THAAD, Patroit airdefence system, ungeona A10 warhog, ungeona wanajeshi wa Nato uko, ungeona baba la vita B 52 na b2
Ungeona vitu kibao sijavitaja vimetulia magjalani uko
Mkuu,Mimi nimeisha block baadhi yao hasa Yule anajiita kipanyaKabisa MKUU
Nimekaa juu siku tatu nikajua nitakutana na mambo ya maana nakuja kutana na watu wamaana wanabishana na hao watoto nimeshangaa
Kadri wanavyo wajibu ndio wanawapa airtime zaidi na zaidi
1954
WAZO2010
mwayena
Bugucha
Msulibasi
mohamedidrisa789
Muite
Nawengine ambao sijawatag mnalevo kubwa sana sio wakubishana nahao mabwana watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji845] [emoji631] [emoji1255] Putin wins: Analysis of 6 months of his life in Ukraine and forecast for the next six months from BloombergDuh huyu kalishwa matangopori na DW BBC na CNN na kaelewa vyema.
Anatudanganya Kwamba su 27 na mig 29 Ni thrd generation fighter jets.
Anatuaminisha pia mig 29 Ni ndege mbovu . Wakati hata Ujerumani wenyewe wanaitumia. Dege Hili analolidharau kws madongo ndio Hilo Wamarekani waliamua kununua kutoka Moldova ndege 21 hivi kulichunguza ili wawin future war na wakafanikiwa kule Iraq.
Anatuaminisha Kwamba kila teknolojia ya kijeshi ya Urusi Ni inferior kwa US wakati kila day lengo la kupata japo Su 30 , su 35(2014) na TU 160(1983)
Huyu pia anajaribu kutuaminishs submarine za kirusi Yassen class na kilo class submarine Ni dhaifu wakati Ulaya yote wanaziogopa. Kutwa wanaombea zisikasirike na kuwafuta.
Ina sikitisha sana, wale watu muhimu waliokuwa wana dadavua mambo kitaalamu woote wamepiga kimya,sasa hivi tumebaki walee tuliokuwa tuna piga kelele darasani wenye elimu wamesepa ni mwendo wa matango pori na video clip za mchongo ,mbona tunakoma!Naona watu wanaanza kupunguza umuhimu na huu uzi...sababu ya jinsi uchangiaji wake ulivyo...tumehama kutoka professionalism tumeenda kwenye matusi, hisia binafsi, hasira, uongo, ma-video yasiyokuwa verified...yaan watu wanafanya kila hujuma kuonekana upande wao unashinda...kitu ambacho sio lengo halisi
Huu upumbavu anaongea pro Russia pekee baada ya kutandikwaUkiitoa USA hakuna inchi inayoweza kuipiga Ukraine katika muungano wa nato walichemka Afghanistan katika ground battle. Unadhani ujerumani kwa sasa inamsuri hata wa kuipiga serbia? Nato ni USA wengine hamna kitu
Ndo
Lete source ya habari ya hivyo vijiji sio unaleta picha za kuokota na kuleta humuBaada ya majeshi ya UKRAINE kutolewa kwenye mkoa wa KHERSON,majeshi ya URUSI yanazidi kusonga mbele na kuingia kwenye mkoa wa MYKOLAYIV na kuchukua kijiji cha BLAHODATNEView attachment 2330656
Biden kanunaG[emoji2925][emoji1130][emoji1666][emoji1210]Iran to develop oilfield shared with Saudi Arabia in 3 years
Iran says it will start pumping oil from a key oilfield that straddles the maritime border with Saudi Arabia in the Persian Gulf within the next three years.
Acha Wapanue humu midomo na Nchi inazidi kutekwa. Tukimaliza Strategic and Targeted Areas tuna hamia kyiv. Tumnyonge huyo Zelenskyy, kibaraka wa America..
Lete source ya habari ya hivyo vijiji sio unaleta picha za kuokota na kuleta humu
Hii habari niliizungumziaga tangu majuzi kuna dogo akaniona naleta propagandaBaada ya majeshi ya UKRAINE kutolewa kwenye mkoa wa KHERSON,majeshi ya URUSI yanazidi kusonga mbele na kuingia kwenye mkoa wa MYKOLAYIV na kuchukua kijiji cha BLAHODATNEView attachment 2330656