Nimeongea na mtoto wa Mona aliyepo Ukraine amesema Urusi imewachukua na wapo salama kabisa. Kwa sasa wapo kwenye kambi ya jeshi la Urusi na hawabaguliwi.
Habari ya Russia kuipiga Ukraine wala siyo habari,habari ni jinsi Ukraine (under Dog) alivyojitetea kwa siku zote hizi kwenye Battle Field mbele ya the so called Super Power kwenye maswala ya Kivita. Haya malizeni mbwembwe zenu mkahangaike na Vita ya akili mliyopigwa huko,mtabeba hayo madafu yenu hadi migongoni kwenda kununua mkate.Nyamizi mbona wakata tamaa mapema hivyo na kukubali uhalisia wa mambo kuwa kichapo chatembezwa na majeshi ya Russia Ukraine?
Ngome imepigwa mabomu safi sanaThe missile hit the defense headquarters in KharkovView attachment 2136875
Mimi nasubiri amalize hizo mbwembwe zake za kushusha mabomu arudi nyumbani akahangaike na uhalisia wa hali ya uchumi wake,huu uzi utakuwepo hapa hapa na tutawakumbusha Pro Russia kadri muda utakavyokuwa unakwenda,najua ndani ya miezi miwili ijayo,watu tutapishana lugha hapa kwa sana tu kwa hivi vikwazo vilivyopo Russia.
Hiyo inaitwa Electronic jaming system wamezijam afu wakazizamisha rubani hawakua na uwezo wa kuzicontrol ndege zaoRomania romania romania jana walipewa kipigo cha kiini macho pigo lilikuwa hivi:
romania ilirusha ndege ya mg 21 ghafla ndege ikapotea kwe rada huku ikisemekana itawa imeangukia kwenye maji ya blacksea
Ikabidi wato helcopter kwa ajiri ya kutafuta ile ndege mala ghafla ile helcopter nayo ikaanguka na kuuwa mtu mmoja
Romani ikatuma tena helcopter helcopter ya uwokozi mala helcopter ya uwokoz nayo ikaanguka na kuuwa watu wa tano
jumla ndege tatu za romania zimelamba mchanga kumbukeni roman ni mwanachama wa nato na imepaka na ukraine
Upepo unabadilika kwa kasi sana. 90% of Asia inamsapoti Putin, 80% of Africa ipo kwa Putin. Wakenya ndio wanajikomba komba.Hzo ni biti tu russia maisha yataendelea kama kawaida na vikwazo vitalegezwa uzuri sahv mataifa mengi yameanza muunga mkono russia.
Kherson ipo mikononi mwa Russia View attachment 2137283View attachment 2137284
Hata akiungwa mkono na mataifa yote Duniani bila uwepo wa USA na Nchi za Ulaya zenye nguvu kiuchumi ambazo anazitegemea zaidi kibiashara ni kazi bure kwake,hilo analijua vizuri sana Russia,huoni hadi rafiki yake kipenzi amemute kupiga kura kaishia ku abstain kama Tanzania,kwa nini hakupiga kura ya moja kwa moja kupinga pale UN?Hzo ni biti tu russia maisha yataendelea kama kawaida na vikwazo vitalegezwa uzuri sahv mataifa mengi yameanza muunga mkono russia.
Na China kwanini haikuweka wazi msimamo wake kwa Russia?Nchi 17 za Afrika zimeamua kuwa nyutro, hazikupiga kura kuidhinisha Umoja wa Mataifa kuilaani Russia
View attachment 2137335
Upepo unabadilika kwa kasi sana. 90% of Asia inamsapoti Putin, 80% of Africa ipo kwa Putin. Wakenya ndio wanajikomba komba.
Kuna waliozingirwa na wananchi ikabidi wasimame,Wanachofanya russia ni fair kabisa tuseme hapa Tanzania anaingia dar afu anamwambia makalla asurenda kwa ajili ya usalama wa mji na watu wake ukigoma ndo kichapo heavy. Hawa jamaa wanabusara ndomana unaskia wanakufa sana kiukweli wangetumi force tungekua tunasema mengine
Hatuna shaka na mshirika wetu China, huko kukaa kimya ni ishara ya kupinga hoja ya kuilaani Russia iliyokuwa yapigiwa yatafuta uungwaji mkono. Zipo nchi nyingi tu zimefanya hivyo.Na China kwanini haikuweka wazi msimamo wake kwa Russia?
Apinge kwani inamuhusu nini?Hata akiungwa mkono na mataifa yote Duniani bila uwepo wa USA na Nchi za Ulaya zenye nguvu kiuchumi ambazo anazitegemea zaidi kibiashara ni kazi bure kwake,hilo analijua vizuri sana Russia,huoni hadi rafiki yake kipenzi amemute kupiga kura kaishia ku abstain kama Tanzania,kwa nini hakupiga kura ya moja kwa moja kupinga pale UN?
Walikosea sana kuonyesha ubaguzi wa waziwaziUpepo unabadilika kwa kasi sana. 90% of Asia inamsapoti Putin, 80% of Africa ipo kwa Putin. Wakenya ndio wanajikomba komba.