LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Ni sawa ila russia ana resources nyingi ambazo ni muhimu kwa uchumi wao pia. Ukisema utachukua gas iran ni sawa ila cost itakua kubwa ukilinganisha na ukichukulia russia pia kumbuka dunia kwa sasa inakabiliwa na uhaba wa oil ndomana tunaona sahv kampuni nyingi za magari znakuja na teknolojia ya umeme.

Russia akiacha kuuza mafuta au gas kumbuka ndo nchi ya 2 kwa uzalishaji mafuta unategemea nini? Supply itashuka na demand itaongezeka sasa kwenye uchumi tunasema when dd>ss hapo lazma kuna inflation bei ya oil itapanda sana, nchi kama africa unafikir itakuaje?? Hii ishu italeta madhara sana kwenye uchumi na sio rahs kuicover kama mnavotegemea huku bongo.

Wataalam wa uchumi wamekaa na wameona impact yake ndomana wakasema they need russia kwenye uchumi furaha ya mmarekani auze mafuta yake store ili uchum wake uzid kukua ila watakaoumia ni nchi za ulaya na africa kwa ujumla .
 

Me naona uvivu kuandika we nenda kafatilie Google ndo utajua umuhim wa russia sio ulaya tu worldwide
 
Huo ndiyo unafiki wenyewe sasa,sehemu unayopaswa kuweka wazi msimamo wako unakaa kimya wakati rafiki yako anaonewa wazi wazi.
 
Me naona uvivu kuandika we nenda kafatilie Google ndo utajua umuhim wa russia sio ulaya tu worldwide
Niletee makala za economics zilizoshiba nijisomee mwenyewe,huko google napafahamu vizuri tu,kama unaona uvivu kuandika hapa basi tukubaliane kutokubaliana Mkuu.
 

Bigup hungary
 
Ministry of Defense of the Russian Federation:

- The RF Armed Forces are arranging a silence regime for the evacuation of citizens from Ukraine through humanitarian corridors.

- In Kyiv, Kharkov, Sumy, Odessa, Mariupol and other cities, the Nazis blockade tens of thousands of residents, not releasing them to safe places.

- British representatives are asking the Russian Ministry of Defense to evacuate 10 British citizens from Kyiv and Mariupol who cannot leave the blockaded settlements.
 
Russia imetoa tani 30 (kg 30,000) za msaada wa chakula na maji ya kunywa kwa wakazi wa Ukraine.

Halafu kuna waMarekani wa Uvinza wanadai ati wanajeshi wa Russia wanaopigana vita Ukraine hawana chakula, wana njaa kali!

View attachment 2137248
huko ni kule kwe miji ya mashariki iliopakana na urusi, huku kiev na kharkiv kuna supply issue, juzi waliingia kharkiv ila wakalazimika kutoka sababu ya supply issues Bayraktar TB2 imekua changamoto sana, wa ukraine wakimaliza hizi kunakuwa hamna kingine zaidi ya kuomba poo, hii kitu ililipua treni ya kusupply oil vifaru vikakosa wese jamaa wakaviacha wakasepa, warusi wako busy kulipua towers na sehemu zngne za mawasiliano kucounter hizi kitu
 
Iko hivii, Iran na Ukraine ni mataifa huru yanayopaswa kujiamulia mambo Yao. Lakiñi, sababu zinazoifanya Israel ikatae Iran kumiliki silaha za nuclear zinafanana kabisa na sababu za Urusi kukataa Ukraine kujiunga na NATO.
 
sasa yeye alifikiri ikitokea vita ya 3 silaha za nyuklia hazitatumika na uharibifu hautotokea mbona anaongea kitu ambacho ni wazi kabisa ndivyo itakavyokuwa. russia akomae na kujenga uchumi wake maana unapumulia mipira kwa sasa.
Uliza Ulaya zinatesekana na mafuta na gesi Bei imepanda Mara duvu.
 
Iko hivii, Iran na Ukraine ni mataifa huru yanayopaswa kujiamulia mambo Yao. Lakiñi, sababu zinazoifanya Israel ikatae Iran kumiliki silaha za nuclear zinafanana kabisa na sababu za Urusi kukataa Ukraine kujiunga na NATO.
Kwani Irani hamiliki silaha za nyuklia?mbali na Israel kupiga mkwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…