Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwenye Military planning... Kuna short & Long term Military planning. Vilevile Kuna resources calculations depend on circumstances.

Tunapokuwa vitani, contingencies models zinakuwa nyingi Sana.

Sasa, kuna uwezekano kabisa, huku kuajiri Hawa Askari ni by contingent. Ni Kama vile NATO walivyo increase number of solders in Eastern flank.
 
Tazama live wanajeshi wa Russia wanakimbia kujificha eneo moja mabomu ya mabox yakawazika humohumo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Taliban wanahitaji Mafuta Russia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The Taliban is in talks with Moscow about trading Russian crude oil products for Afghan produce.

Iran and India have also discussed barter deals with heavily sanctioned Russia.

It’s unclear if the Kremlin has entered into any such deals, but Russia has experience in barter trade.

Continue Reading


News Source: The Taliban wants to import oil from Russia in exchange for minerals and medicinal herbs. It's not the first to discuss a barter system with the energy giant.
 
Ngoja nikueleze kitu Leo na uende ukafanye homework yako.

1. US: Uchaguzi wa Marekani, Trump alishinda kwa kura nyingi Sana za Wananchi, lakini Biden alishinda kura nyingi za "Electro College" ... Then Biden akawa Rais.

Hapa inaonyesha, maoni au kura za Wananchi wengi hazikuzingatiwa, ila za wachache.

Je, hii ndio demokrasia.

2. UK, Spain, Denmark, etc Wana wafalme/malkia ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Na wapo pale wanakula Kodi za Wananchi na wanaendesha nchi na ndio wakuu wa nchi.

Je, hiyo ndio demokrasia?

3. Julian Ansange. Ambaye wanaenda kumuua kwa sababu tu ya kueleza ubaya na udhalimu wa Serikali ya US.

Je, hii ndio demokrasia?

Ushauri:

Uwe unapenda kutumia akili yako kuwaza na ku analyse Mambo.
 
Kama waliokuwa wamemzunguka wamepona basi na yeye atakuwa kapona!Bomu la mchongo Hilo,watwambie linaitwaje Ili Tz Ili cancel kabisa ikitokea tukahitaji silaha🤣🤣🤣
 
Ndugu yangu usijitoe ufahamu kwenye hili. Kwenye nchi za kidikteta uovu na mateso kwa raia wake ni mara mia ya zaidi uliyoyataja hapo juu. Hizi nchi Zina mifumo inayoongoza nchi. Sio mtu mmoja kama alivyokua mwendazake au kagame. Boris Johnson ametupwa nje baada tu ya kuchagua mtu ambae sio sahihi huku akijua ni mtu Hana madili mazuri..

Malkia ni cheo tu hakina mamlaka makubwa kihivyo. Putin akisema watu walale mchana watalala. Lakni kule ni kugumu.. wote tulishuhudia trump anakataliwa na jaji kwa kutengua amri yake ya kuzuia raia wa nchi za kiislamu kuingia USA. Lakni taifa kama Russia haiwezekan
 

Tunawambia watu humu ndani Russia anachukua maeneo muhimu tu. Kwa kiburi walichoonyesha Ukraine wiki mbili zilizopita Russia ana disconnect au watalipia umeme wao kwa Ruble
 

Mwanaume kapita [emoji23]
 

Russia: ‘No mercy’ for Dugina killers​

Russia’s Foreign Minister Sergei Lavrov vows “no mercy” for the killers of Daria Dugina, the daughter of an ultranationalist intellectual, as hundreds gather for her funeral following her death in a car bomb blast over the weekend.
Moscow says Ukrainian intelligence is behind the attack, a claim dismissed by Kyiv.
Alexander Dugin, a vocal supporter of the Kremlin’s military campaign who has claimed to be close to Russian President Vladimir Putin, may have been the intended target of the attack that killed his 29-year-old daughter.
 
Hivi ni Nini maana ya udikteta? Tuanzie hapo Kwanza...naona Wengi wetu hatujui maana halisi ya neno au concept ya dictatorship....ukishajua maana ya udikteta ndipo Sasa uje kwenye demokrasia...Wengi wanadhani demokrasia imejikita kwenye uchaguzi tu...democracy is more than elections...je, huko USA, UK na wapiga kelele wengine Kuna demokrasia ya kweli....
Kuhusu Malkia wa Uingereza eti ni cheo tu!!!?? Is this true??? Ninavyofahamu Mimi na wengine Wengi Malkia wa Uingereza ni Head of State ...na huu ni mjadala mwingine kuhusu maana na majukumu ya Head of State...
Binafsi huwa nafadhaika Sana kuona Wengi tunajiingiza kwenye mijadala huku tukiwa hatuna uelewa wa kutosha kuhusu masuala mbalimbali globally...
Na ndio maana baadhi ya vijana humu wanaamua kuchukua video za YouTube na kuzileta humu huku nyingi zikiwa fake...
Kazi kwelikweli...Wengi tunadhani liberal democracy ndio muarobaini wa matatizo yetu....That is very wrong....politics za Uingereza, Marekani na kwingineko ni za 'ubabe' na haziwezi kuwa kioo Cha nchi zetu kwa Kila kitu...We have to take into consideration of our values and culture...
 
Labda hapa nafanya majadiliano na mtoto mdogo ndio maana unakuwa na majibu ya kitoto.

1. Okay, demokrasia Ni Nini. Labda tuanzia hapo kwanza. Je, Kitendo cha Wananchi kuchagua kuaongozi wao wanaomtaka halafu wanaambiwa "hapana" Kuna watu wachache ndio watawamulia. Je, hiyo ndio demokrasia? Jibu kwanza hili.

2. Pili, BoJo ameondolea hapo kwenye u PM kwa sababu kuu mbili (a) Cost of living imekuwa high Sana (b) Uhusiano wake wa karibu na Jasusi wa FSB - Alexander Lebedev. BoJo amekuwa anaonana na Alexander Lebedev alone bila muwakilishi yeyote wa Government. Na kamati ya bunge limeshamuhoji juu ya hili na amekosa majibu. Take your time kujifunza.

3. Sasa Kama hujui, Malkia ndiye kiongozi mkuu wa nchi ya UK, New Zealand, Canada, Australia and many more others. Na anamaamuzi juu ya hizo nchi. Nakushauri Nenda kajifunze kuhusu mamlaka ya Malkia wa UK.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu kamanda ni hatari kwa kweli.itakuwa anataka nafasi ya mkuu wa majeshi
Russia anachukua hatua za haraka angezubaa jamaa walijipanga counter offences za hatari lazma aende kasi awavuruge hasa Myklaov na Odessa maana ndio source ya mashambulizi Kherson na Cremia . Ni do or Die lazma amiliki Myklaov na Oddessa kisha awasukume juu zaidi huku akichagiza warusi wa Moldova . Mwisho wa siku Ukraine atabaki na Kieve
 
unajichosha tu kiongozi debe tu haliachi kuvuma hao ni kama makopo tupu wanawaza mambo ya kitoto sana tumewapoteza watu wenye akili za kudadavua ulimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…