Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kherson nzima SASA hivi tunaelekea Odessa.mlisema warusi wamekimbia Kherson, Kherson ipi hiyo?Maeneo yenyewe Sasa,utasikia wanatangaza Kijiji flani..,mara wameteka makazi..wakati wenzao wanalipua maghala ya silaha, wanalipua radar.., wanalipua air base..nk,nk,huyu akiteka Kijiji tu ni kelele nyingi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
Warusi wa Bongo mnaosema hela haipigani vita - haya sasa !! malizeni vita.
Germany pledges 500m euros more in military aid to Ukraine
Germany will supply Ukraine with a further 500 million euros ($500m) in military aid, most of it earmarked for delivery next year, a government spokesman has said.
The equipment will include three IRIS-T anti-aircraft systems, “around a dozen armed recovery vehicles, 20 rocket-launchers mounted on pick-ups … precision munition and anti-drone equipment,” the spokesman told AFP news agency.
View attachment 2333299
Hizo warning zinatolewa baada ya kudedishwa Kwa huyo Binti wa mshirika wa Putin,Hamjaona warnings zimeshaanza kutolewa na watu wa West kuwa Kyiv hali inaweza kubadilika!US wamewaambia Raia wao waondoke!
Zele amezuiwa mikusanyiko na kutaka watu wabaki ndani!Wanajua what awaits them!
Hebu weka kumbukumbu sawa kwanza.., hiyo Odessa ni muda gani tangu imeanza kushambuliwa na urusiKherson nzima SASA hivi tunaelekea Odessa.mlisema warusi wamekimbia Kherson, Kherson ipi hiyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]Yaani Putin ni kama MANDONGA, mkwara kibao leo mwezi wa 6 kitu kimenasa dadadeq na badoo CRIMEA hawalali drones kama inzi kwenye pilau.
Putin ni wa kusubiri winter kweli ???Ngoja winter ianze ndio mtamjua mrusi vizuri
We akili Yako Ina walakini,hili tulirudie mara ngapi?Osama aliua wamarekani zaidi ya 2000 Kwa siku Moja!Unashangaa Nini Kwa mtu kutoka Ukraine kwenda Urusi na kumuua mwananchi wa kawaida anayeishi maisha ya kawaida?Aisee kwenye hili Wala hata siwezi kupoteza muda kukujibu Tena!Hizo warning zinatolewa baada ya kudedishwa Kwa huyo Binti wa mshirika wa Putin,
Alafu urusi bila aibu eti anamlalamikia Ukraine kuwa ndiye muhusika wa hilo tukio
Ina maana hapa urusi wanakiri hadharani kuwa intelligence ya Ukraine imewazidi ujanja[emoji2][emoji2]
Ukweli ni kwamba kipigo kimewachanganya Hawa jamaa [emoji1787][emoji1787]
Jamaa wamedhamilia kumchosha mrusi kweli kweli [emoji848]Ngoja winter ianze ndio mtamjua mrusi vizuri
Tukubaliane tu inlijensia ya urusi imeziwa na Ukraine,acha kuhamisha magori [emoji2][emoji2][emoji1787]We akili Yako Ina walakini,hili tulirudie mara ngapi?Osama aliua wamarekani zaidi ya 2000 Kwa siku Moja!Unashangaa Nini Kwa mtu kutoka Ukraine kwenda Urusi na kumuua mwananchi wa kawaida anayeishi maisha ya kawaida?Aisee kwenye hili Wala hata siwezi kupoteza muda kukujibu Tena!
Kwenye Hilo Wala sipotezi muda na wewe!Tukubaliane tu inlijensia ya urusi imeziwa na Ukraine,acha kuhamisha magori [emoji2][emoji2][emoji1787]
Waukrein wanashinda hii vita 😂😂😂Simple...mwambie babako amalize vita !! tatizo lipo wapi wakati yeye ni supa pawa !!
Warusi wenzako wanasema ati anavuta vuta asionekane rooo mbaya !! 😀 😀
Sasa hivi matumaini pekee waliyobaki nayo Ili kukamilisha hii wanayoita special epereshen ni msimu wa winter [emoji2][emoji2]Putin ni wa kusubiri winter kweli ???
Misaada mingine ni geresha na ku symphyize uongo tu, watu wanaliwa vichwa 100 mpaka 200 kila siku hiyo nxt year mitambo itatumiwa na ma ghost au? Kwa nin wasipeleke leo na waingie vitan ili wamwokoe mwenzao chapWarusi wa Bongo mnaosema hela haipigani vita - haya sasa !! malizeni vita.
Germany pledges 500m euros more in military aid to Ukraine
Germany will supply Ukraine with a further 500 million euros ($500m) in military aid, most of it earmarked for delivery next year, a government spokesman has said.
The equipment will include three IRIS-T anti-aircraft systems, “around a dozen armed recovery vehicles, 20 rocket-launchers mounted on pick-ups … precision munition and anti-drone equipment,” the spokesman told AFP news agency.
View attachment 2333299
Kweli kabisa mkuu,Haina haja kupoteza mda kumtetea super pawer aliyeziwa mbinu na ukraine,Kwenye Hilo Wala sipotezi muda na wewe!
Tulieni dawa iwaingie vyema pro-Russia [emoji1787][emoji12].., si mlisema hii ni special epereshenMisaada mingine ni geresha na ku symphyize uongo tu, watu wanaliwa vichwa 100 mpaka 200 kila siku hiyo nxt year mitambo itatumiwa na ma ghost au? Kwa nin wasipeleke leo na waingie vitan ili wamwokoe mwenzao chap
Nilishasema Wala siwezi kupoteza muda na wewe kwenye Hilo!Kweli kabisa mkuu,Haina haja kupoteza mda kumtetea super pawer aliyeziwa mbinu na ukraine,
Yahani jasusi wa ukraine anaingia kwenye mipaka ya Russia Tena karibu na Moscow na kufanya mauaji [emoji2][emoji2]
Hii ni aibu kubwa kwa super pawer wa mchongo
kama geresha kwa nini Putin asimalize vita sheikh? Ukraine ni wa kupigana na Mrusi kwa miezi 6 kweli ? Warusi wenzako wa Dar wanasema anavuta vuta muda ili asionekane ni Madonga aka mtu kazi... je ya kweli hayo ?Misaada mingine ni geresha na ku symphyize uongo tu, watu wanaliwa vichwa 100 mpaka 200 kila siku hiyo nxt year mitambo itatumiwa na ma ghost au? Kwa nin wasipeleke leo na waingie vitan ili wamwokoe mwenzao chap
Wala usipoteze mda mkuu ma'ana kumtetea super pawer wa mchongo ni kazi kubwa mno[emoji2][emoji2]Nilishasema Wala siwezi kupoteza muda na wewe kwenye Hilo!