Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Daaah,how can u stand this low?Kweli tunatofautiana namna ya kufikiri!Aibu nimeona Mimi Kwa comment hii!
Bome-e wewe ni mtu mkubwa sana humu jukwaani,namaanisha wewe ni heavyweight,
Unapoteza nguvu zako sana kubishana ama hata kuwaeleimisha Hawa,Hawa ni mbuzi.
Kwa mfano,badala ya kuandika huoni,anaandika "uoni",

Badala ya kuandika North Korea,anaandika "north Korea"

Kuna makosa mengine watu wengi tuanafanya,hata Mimi hufanya.
Lkn makosa mengine yanatia mashaka juu ya uwezo wa mtu.

Wapiganaji wa Syria bado wako "uko".
 
Kumekuwa na majigambo mengi ya ki hip-hop na kufubaza huu uzi . Badala ya hoja tunaona tu neno mbwa koko kipigo cha mbwa koko ** Putin mjinga sana mara kadikteta kafupi nk

Ndugu zangu tuje na hoja za frontline . Kama hatuna hoja TUSUBIRI analysis za siku .Kama Upande wako hautoi analysis tumieni za Shoigu hamna tatizo
 
Wewe ndo unajiona una akili sio??
Kwani umeambiwa hapa tuko darasani tunaandika "" imla""

Inaonekana wewe ni mwalimu wa SoMo la kiswahili ..,vip hukupata nafasi kwenye hili zoezi la sensa[emoji41][emoji41]
 
Kule Syria wapo wanajeshi wa NATO ambao walikuwa wanawasapoti waasi waliotaka kuipindua serikali urusi akaenda akawasambaratisha.udhibitisho ni uwepo wa vikosi vya NATO syria.wanataka nini Syria?tumieni akili.
Wewe ndo unajiona una akili sio??
Kwani umeambiwa hapa tuko darasani tunaandika "" imla""

Inaonekana wewe ni mwalimu wa SoMo la kiswahili ..,vip hukupata nafasi kwenye hili zoezi la sensa[emoji41][emoji41]
Hapana simaanishi kuwa wewe huna akili,namaanisha siku ukiwa kijana hakika hutaandika kwa mtindo hua,
Maana Sasa hivi uvulana unakusumbua.
Ikiwa wewe ni me lkn.
 
Hapana simaanishi kuwa wewe huna akili,namaanisha siku ukiwa kijana hakika hutaandika kwa mtindo hua,
Maana Sasa hivi uvulana unakusumbua.
Ikiwa wewe ni me lkn.
"" hutaandika kwa mtindo hua""umeshajishtaki tayari
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tazama kifaru kilivyopigwa na Javelin mojawapo ya silaha iliyomkimbiza mrusi Kyiv kifaru kimewaka moto operator kashuka ngoma ikalipuka wanatia huruma sana.

Yani we jamaa ni mtupu sana kichwani. Hizi video unazoleta hapa ndio nini sasa? Vifaru kupigwa na kuharibiwa kwenye maeneo ya vita kuna kitu gani cha ajabu hapo? Wanajeshi kufa vitani unashangaa nini hapo? We unafikiri wameenda kufabya mapenzi kule!! Utakuwa sio mzima kichwani wewe.
Russia npaka sasa washapoteza wanajeshi zaidi ya 10000+ ni wengi, lakini wamefia vitani. Je malengo ambayo russia wamejiwekea yanatimia? Taarifa zinaonyesha ukraine tayari imemegwa robo. Wanajeshi wao wanauliwa zaidi ya 100 kila siku. Mikoa, wilaya, vijiji, vinachukuliwa hilo huoni? Umebaki kukomaa na vifaru vilivyoharibiwa. Yale ni machuma tu.
 
Ni kweli malengo ya Russia yanatimia kikamilifu maana ameweza kukamilisha operation maalum ya kuondoa utawala wa wanazimamboleo ndani ya saa 72 [emoji12][emoji12]
 
Laiki Ukraine angekua anatumiwa silaha za Masafa marefu angeua ameishashinda hii vita mda mrefu Sana make
 
""ikiwa wewe ni me lkn""

haya si maneno ya Facebook?
Kabla ya kukosoa wenzio kuhusu uhandishi hakikisha unajichunguza kwanza
Kama ulivyoandika hapa Tena "uhandishi" badala ya uandishi.

Kwani wewe hujui kiuhalisia "me" inasimama badala ya mwanau'me'?

Na "ke" inasimama badala ya mwanam'ke'?

Na lkn ni kifupisho Cha "lakini"?

Mh badala ya 'Mheshimiwa'?


Sasa wewe niambie je ni sahihi kusema:

Uoni badala ya huoni?

Uko badala ya huko?

Basi rafiki,mtani,Pro USA na NATO tuyamalize kiutu uzima,sisi wanaume Huwa hatuna vinyongo.
 
Wameishindwa vietnam
Wameishindwa taliban
Wameishindwa north korea
Wamemshindwa assad
Wamemshindwa maduro
Wamemshindwa urusi mwenyewe

Hawajawahi kushindwa kitu!? Bwahahahaha [emoji1787]

Ukraine wamepoteza 30% ya ardhi mpk sasa na bado SMO haina dalili za kuisha leo wala keaho

Maajabu ya pronato, aliyepoteza 30% ya ardhi yake ndio atakuja kumshinda aliyepata 30% ya ardhi ya mwenzake [emoji848][emoji1787][emoji23][emoji28]
 
Mrusi hawezi kushindana na NATO, NATO ni kubwa mara mia ya Mrusi kijana jielewe.


Russia tells NATO to stay away from Syria
By Gabriela Baczynska


MOSCOW (Reuters) - Russia told NATO and world powers on Tuesday they should not seek ways to intervene in Syria’s civil war or set up buffer zones between rebels and government forces.

Moscow further called for restraint between NATO-member Turkey and Syria, where violence along their shared border has strained relations between the former allies.

Tensions have flared since a mortar round fired from inside Syria struck the territory of Turkey. Ankara has threatened to respond if the strike were repeated.

When asked by Interfax if Moscow worried whether the tense border situation could prompt NATO to intervene to defend Turkey, its easternmost member, Deputy Foreign Minister Gennady Gatilov warned against any such step.

“In our contacts with partners in NATO and in the region, we are calling on them not to seek pretexts for carrying out a military scenario or to introduce initiatives such as humanitarian corridors or buffer zones.”

ADVERTISEMENT


Turkish Prime Minister Tayyip Erdogan, one of Assad’s most caustic critics, recently lashed out at Russia for blocking efforts at the U.N. Security Council to exert pressure on Assad and said Moscow’s stance allowed massacres in Syria to continue.

Turkey has floated the idea of setting up “safe zones” inside Syria to protect civilians from the conflict but that would also have to be approved by the Security Council.

Russia and China have vetoed three Security Council resolutions condemning Syrian President Bashar al-Assad and have blocked attempts to impose further sanctions on his government or intervene more directly in the conflict.

Ankara has repeatedly complained of artillery and gunfire spilling over the border into Turkey, leading to threats of retaliation.

“We believe both Syrian and Turkish authorities should exercise maximum restraint in this situation, taking into account the rising number of radicals among the Syrian opposition who can intentionally provoke conflicts on the border,” Gatilov was quoted as saying.

ADVERTISEMENT


The West accuses Russia of supporting Assad in the bloody 18-month conflict and imposing a stalemate in the Security Council as violence in Syria has spiraled.

Moscow says Syrians themselves should decide their fate and says it will veto any Security Council resolution that could serve as a springboard for military intervention.

Russia accuses the West of overstepping its mandate when it set up a no-fly zone in Libya last year, leading to the fall of Muammar Gaddafi to a popular uprising and insurgency.

Western diplomats in Moscow say Russia seems to believe Assad may still successfully cling to power though they see Russia’s dialogue with some Syrian opposition groups as an attempt to secure its interests there if he were overthrown.

Editing by Thomas Grove and Mark Heinrich

Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…