Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Kwahyo hyo parade ni uongo na haipo
We unaamini ule msafara wa kilometer 56 kwenda Kiev uliyeyuka ghafla au unaaminije
Afisa msemaji wa Russia katika ubora wake haahahaa mwaka huu mtapata tabu sanaAustria, Belgium, Bulgaria, Croatia, Republic of Cyprus, Czech Republic, Denmark, Estonia, Finland, France, Germany, Greece, Hungary, Ireland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Malta, Netherlands, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain and Sweden!
Hao ni EU Kwa ujumla,mpaka Sasa wametoa Euro bil 2.2, kati ya Euro bil 9!
Humo humo Bado Kuna mataifa ambayo Yako NATO,nayo yametoa silaha na fedha!
Jumlisha US ambaye ndiye kinara!
Details zaidi,tafuta mwenyewe!
Na ni bahati tu Russia hii kaifanya kama operation,anapunguza casualties ndio maana kaenda taratibu!
Angefanya kama afanyavyo US,anamwagilia mabomu na Kisha majeshi ya ardhi ni kwenda kufanya usafi basi kusingekuwa na kitu Ukraine!
Putin mstaarabu sa
Sio kweli ukumbuke Yale majimbo yalikuwa yanakaliwa na watu wente asili ya urusi.thinkUrussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
Muhimu tushinde tu hayo yakutawala sio kazi yetuUrussi hata akishinda vita ila bado hata weza kuitawala ukraine yatakua ya marekani kwa taliban
Ingekuwa inapigana Directly Urusi isingekuwa nchi sahvNikwambie kitu mkuu,habari za kusema msafara wa kwenda Kiev ulifikia 56Km habari hizo zinaletwa na western media, walijua wapi kwamba msafara ulikuwa unaelekea Kiev tu, kwa nini mnaamini sana media za wenzetu hawa-yaani mnasahau kwamba hivi sasa actually Urusi inapigana indirectly na mataifa zaidi ya 26 ikiwemo Merikani yenyewe - na yeye ndiye kinara anaye chochoea vita hii - yenye lengo
Sio kweli ukumbuke Yale majimbo yalikuwa yanakaliwa na watu wente asili ya urusi.think
mkuu kwa dunia hii asili haisaidii chochote hata ikiwa hivo marekani lazima awatengenezee migogoro ya wao kwa wao itakua kama tigray full vuruguSio kweli ukumbuke Yale majimbo yalikuwa yanakaliwa na watu wente asili ya urusi.think
UKRAINE yenye amani na usalama na jeshi imara nimwiba wa kooni kwa RUSSIAmkuu kwa dunia hii asili haisaidii chochote hata ikiwa hivo marekani lazima awatengenezee migogoro ya wao kwa wao itakua kama tigray full vurugu
naona umefurahi kweli sasa unapata faida gani watu wanavokufaNa bado manina zenu
- There have been 473 verified attacks on healthcare facilities in Ukraine since Russia invaded six months ago, which have killed nearly 100 people, according to the World Health Organization.
Wanajeshi wa Ukraine wengine wanajificha kwenye maeneo ya huduma za kijamii. Kwa hiyo hapo tuliowaua tumewaua na wanajeshi wa adui (Ukraine)naona umefurahi kweli sasa unapata faida gani watu wanavokufa