Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tumejipa kazi ya kuwaletea ushaidi jinsi super pawer wa mchongo anahenyeshwa..,na nyie kwa kutafuta faraja mnaishia kusema video game...,mwenzangu vunjo naona kabadili mbinu..,anawaletea habari za kichapo anachopokea Russia kwa kutumia vyanzo vya habari vya uhakika lakini bado mmajikaza kujipa faraja
Urusi ana Hali mbaya mpaka Leo hii kaagiza wafungwa waingie front line [emoji2][emoji2]
 
⭕️هدف مخفی بایدن در کمک به اوکراین

🔰وبگاه «امریکن کانسروتیو» نوشته هدف بایدن از ارسال سلاح به اوکراین، کمک به صنایع نظامی آمریکا در بحبوحه تورم است نه کمک به کی‌یف.

⭕️Biden's secret goal in helping Ukraine

🔰 The "American Conservative" website writes that Biden's goal in sending weapons to Ukraine is to help the US military industry in the midst of inflation, not to help Kiev.

🆔بروکر جهانی ZTE-Forex
 
Ni
Maafisa wa Jeshi letu hao kina KP Kipanya, Vunjo, HIRMAS na wenzao. Unafikiri Mwanajeshi kuanzia asubuhi hadi jioni kuna kazi gani anayoifanya zaidi ni kwenda kambini wakishahesabiana wanakaa chini ya miti, wengine canteen na wachache ofisini. NDIO MAANA UNAKUTA HAWA NI KU POST UONGO WA UKRAINE KUANZIA ASUBUHI HADI JIONI.

Lecturer, Dr au Banker nk hawezi pata muda huo.

Jamaa wanakula maisha sana, na ungizingatia nchi yetu ni tulivu naturally na hatuna conflict na majirani zetu
 
 


Kama habari hii ni kweli,narudia Tena kama habari hii nikweli,basi Hawa ma KGB wa zamani ambao kwa Sasa ni FSB,ama ma GRU ama najasusi wengine wa Urusi ni watu hatari sana hapa duniani.
Hawa jamaa kama Wana uwezo wa kuwala vichwa majasusi wenzao wa Urusi walioasi au wasaliti huyu msichana m Ukraine ni nani hata awe na uwezo wa kuwakwepa Hawa ma kGB ambao ndio majasusi wanaoogopwa sana hapa duniani?

Hawa majasusi waliweza kuwa nyamazisha magaidi wa kiarabu walioteka Ma diplomatic wa kirusi,
Hawa walimla kichwa yule yule jasusi wa KGB aliekimbilia UK kwa mionzi TU.nimesahau jina lake aliliwa kichwa na Lugovoi kama sijakose.
 
Hii lugha umeleta kufikisha ujumbe au?

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Yaani hao jamaa ni wanajeshi wetu?!?!?! No No No....haiwezekani ....jeshi letu Lina watu waadilifu na wenye nidhamu...haiwezekani mtu unasambaza video na habari za uongo mitandaoni na ujiite mwanajeshi..wa TZ ..hata uelewa wao kwa kuangalia comments zao ni wa kiwango Cha chini mno....
 
Alexander Litvenko kama kumbukumbu ziko sawa au jina kama si hili anaekumbuka aweke vizuri.
 
Kweli kabisa..,ulivyojidhihirisha uelewa wako kwenye hii coment,
 
Majasusi ya Russia ni walivyotangaza walizuga kua huyo muuaji amekimbilia Estonia ilikuficha ajue kua yupo salama kumbe wajomba wanajua mpaka anapolala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Habari njema hii acha nikamwagilie moyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua s-300 anazo ngapi MRUSI?
Ukraine anachofanya ni kukata supply ya silaha kuingia nchini kwake huwezi komboa mji wakati adaui anavifaa vya kutosha atazifi kushambulia umeona jana mrusi anampokonya Syria s300 zile za kule ukrain zimepigwa zimeisha.
 
Akili kubwa kama hii sijui inapata wapi akili yakuzozana na watu wenye mihemko
Ila acha tuone mtakapofikia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kwanza hiyo kauli ya military contingents and infrastructures' Putin anaitoa kuzionya nchi ambazo zimeshapeleka maombi ya kujiunga na NATO na zinazusubiria maombi yao kukubaliwa, Hii inahausiana vipi na Ukraine nchi ambayo haijawahi kupeleka maombi ya kujiunga na wala haijawahi kuwa hata NATO partner kama Japan, Australia au Korea??

2.Terrritorial disputes ni upuuzi na propaganda tu za Putin, narudia tena Russia haina madai yoyote Rasmi kuhusu mipaka au maeneo ya Ukraine, imekuwa na madai rasmi na nchi nyingine majirani zake kama China na Japan ila kwa Ukraine hawana malalamiko yoyote rasmi yanayohusiana na mipaka kwamba kuna maeneo yao wanahitaji warudishiwe.

3.Madai ya Russia Speaking people ni zaidi ya utopolo, hembu fikiria leo hii Uingereza ivamie Cameroon kuwasaidia English(Anglophone) speaking people wanaolalamika kukandamizwa na kubaguliwa na French speaking(Francophone) wanaotawala Cameroon, Leo Kenya ije ivamie Tanzania kwa sababu kuna matatizo ya watu wanaouzungumza Kimasai Ngorongoro au Loliondo, Rwanda iivamie Congo kwa sababu kuna watu wanazungumza Kitusi huko wanalalamika kunyanyaswa. Kama hii itakuwa ndio njia ya kutatua mambo unafikiri hapa duniani patakalika tena??
(Bado sijazungumzia hakuna watu wanaozungumza Kirusi waliokuwa wananyaswa Ukraine, ni porojo tupu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…