Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chungulia matokeo ya utafiti kuhusu uimara wa jeshil a ukrein
⚡🇷🇺🇺🇦The Hill: Head of the Center for American Intelligence and Global Affairs Huminsky said that, according to analysts, the main problem for the command of the Armed Forces of Ukraine is the depressed state of Ukrainian soldiers who see no prospects of victory and do not trust either President Zelensky or their commanders.

Deutsche Welle adds fuel to the fire by reporting that only 25 percent of Ukrainian soldiers are ready to actually fight for Ukraine.

Another quarter of the Ukrainian army, realizing certain doom, is ready to do anything to escape from the battlefield.

Another 25% of military personnel, mobilized mainly in the eastern regions of the country, even sympathize with Russia and, if necessary, are ready to go over to the side of the enemy.

The rest of the Ukrainian army is absolutely passive and ready to surrender to the enemy, just to survive.
 
Hiyo carrier imekuwa commissioned siku chache hapo nyuma. Ni jambo la kawaida kwenye navy meli kubwa kusumbua zikiwa mpya, hata Urusi walivyokarabati Vikramaditya aircraft carrier iliyotengenezwa Ukraine enzi za USSR na kuiuza India iliharibika kabla haijafika India. HMS Prince of Wales imetia nanga hapo jirani na nakuhakikishia itarudi kazini kabla hata Admiral Kuznetsov ya Russia haijaanza kukarabatiwa, wakati iko dry dock tangu 2017 UK wanayo pia HMS Queen Elizabeth na ndio leading ship ya Royal Navy
 
Mkuu,Kaa ukijua kuwa kwenye hii thread,wewe ni kama kondoo uliyezungukwa na kundi la mbwa mwitu, hivyo utavunjiwa heshima Hadi utakoma, wakati unatumia muda wako,na uweredi wako kuleta facts

Mwenzio hata akiandika utumbo anashangiliwa wewe hujiulizi tu? ..,nakushauri kama una kazi nyingine endelea nazo tu..,au kama una msuli wa kuvumilia matusi fedheha na porojo zisizokuwa na uhalisia hapo unaweza kuendelea..,hapa yamebaki majadiliano ya ushabiki tu na mahaba Niue, hivyo hata ukileta ukweli wako utaonekana mwehu tu as long as wanakujua wewe ni timu NATO

Hii thread waachie wahuni tu[emoji41][emoji41]
 
Ukraine imeanza counter offensive kherson
Baada ya kuteketeza maghala mengi, sasa boots on the ground kuwaondoa wavamizi
 
Ha ha haa mwamba umejua kufafanua.
Umetisha .
Kitu kinachoipa heshima JF imesheheni wajuzi wa mambo mbalimbali.utapata Kila kitu humu.
 
Ya URUSSI ilikua ya muda lkn ila hio ya UK ni Newest

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama picha za Satellite imegundulika wanavusha silaha kwa pantoon baada ya daraja kuvunjwa juzi sasa siku chache zijazo tutashambulia hizo pantoon hawatamini.

[emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255]
 
Kwa jinsi nilivyofatilia hili tukio la kigaidi la binti Darya nimeona kama urusi iliacha hili tukio litokee Kwa mkakati maalumu Kwa sababu

Kwa uwezo wa intelligence ya Russia ilivyo basi alijua kila kitu Kwa sababu, Russia ana jua kila kitu kinachoendelea, lini Ukraine wanapata silaha, zinatolewa na nchi gani, zinapitia wapi, zinafikia wapi na nini NATO wanatarajia kufanya juu yake

Hapa ndipo ninapohisi kuwa aliacha litokee????

Kuna kitu kinaendelea Russia sasa hivi ni kuwapatia wa Ukraine passport za urusi ili wawe raia wa urusi, Kwa kuwa raia ni wengi wanaotakiwa kupewa uraia wa kirusi kunapunguza umakini Kwa vyombo vya kirusi kufatilia kila raia anayepewa passport kujihakikishia kuwa ni raia kutoka Ukraine kweli au ni raia kutoka nchi nyingine, pia kuna ingizo la watu wengi wanaoingia urusi kwenda kufanya kazi kwenye maeneo ambayo urusi imeshayateka, kupiti utaratibu huu NATO wanapanga kuwa baada ya Vita au wakati Vita inaendelea basi yaanze mashambulizi ya kigaidi ili kuleta machafuko kwenye maeneo yaliyochukuliwa na Russia pamoja na Russia penyewe pasiwe na Amani na ndiyo maana kuna matukio madogo madogo yaliyotokea Crimea hii yote ni maelekezo ya NATO kupima nini reaction ya Russia, wamekuta hakuna majibu makali Sana, sasa wameanza kuadvance Kwa kufanya ugaidi ndani ya Russia

Nasema huwenda Russia alijua ni kile kitendo cha Alexander dugin kubadili gari dakika za mwishoni ni kama FSB walijua nini kinaenda kutokea sasa wakamuacha mtoto afe Baba abaki maana ni muhimu Kwa taifa la Russia,

Kufanya ugaidi Russia Siyo tatizo Ila kitakachofata baada ya tukio la kigaidi ndiyo jehanamu yenyewe ulipo, Russia inaenda kuangamiza aliyefanya,aliyeratibu na aliyesaidia kufanya ugaidi na kutoa somo Kwa magaidi Wote waliojipenyeza ndani ya Russia na maeneo ambayo Russia ameyakalia pamoja na Wote walio nje ya Russia ambao wanampango WA kwenda au kusaidia matukio ya kigaidi Russia wajifikirie mara mbili kabla ya kufanya tukio hilo, kwamba utafanya tukio la kigaidi na utafanikiwa lakini what next?????

Ndiyo Yale ya Natalya kukimbia kila nchi lakini mwisho wa siku watu wamefanya Yao, kibaya zaidi wakati unakimbia ili kunusuru uhai wako zile nchi zilizokushawishi haziwezi kukulinda si wewe wala jamaa zako

Kiufupi kupitia tukio la kigaidi la Darya dugin urusi inaenda kutoa onyo Kwa vitendo nini kitawafika magaidi pindi watakapofanya ugaidi urusi

ILA WAKUU HUU NI MTIZAMO WANGU TU 🙏🙏🙏
 
"ILA WAKUU HUU NI MTAZAMO WANGU TU"

Bora umemaliza na hiki kibwagizo[emoji106]
 
Yule mama wa juzi aliyemwagia mafuta gari la kigogo wa media mchana kweupe na kulichoma moto naye katumwa na nani?
Yani huyo muuaji wa Dugina ni mjinga kiasi gani aende na binti yake mdogo kwenye mission na kisha aende na passport ya Ukraine kisha aitupe eneo alilokuwa. Haiingii akilini na hakuna agent anafanya hivyo. Uzuri hilo kundi limesema litaendeleza hujuma, tutaona watakuwa wanasingizia nini.

Ni kama shambulizi la kwanza la Crimea walivyosingizia sigara. Likatokea lingine, yakatokea mengine mpaka ikawekwa censorship kwenye taarifa za mashambulizi ya Crimea
 
Majeshi ya Ukraine yamevuka mstari wa vikosi vya Urusi,mkoa wa Kherson,kwenye vinu vya nyuklia🤔
 
Wanaenda machinjioni au sio??Wanawarahisishia kazi Urusi..badala ya kuwafuata huko waliko, wanajileta wenyewe...
 
Muda huu timu NAFO tunaendelea kupokea habari njema kutoka Kherson. Wazee wa denazification mkae kwa kutulia na Waziri wa Ulinzi wenu yule civil engineer wa kiraia
 
Huyo Siyo gaidi, magaidi ni kama lile tukio la kummua dugin,
Hakuna gaidi ambaye anafanya hadharini huku Media zinaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…