Kujitolea hata wa nchi nyengine wapo lakni sio serikali kuidhinisha jeshi kwendaa kupigana. Kujifariji uwanja uko wazi jifarijini.Masaa kadhaa yaliyopita Marekani imethibitisha kuuawa kwa mwanajeshi wa kimarekani aliyekuwa akipigana vita Ukraine dhidi ya Urusi....Warusi wamemla kichwa
View attachment 2336618
Na hapa kuna habari lukuki zikiripoti kuliwa vichwa raia wa Marekani, Canada, Sweden n.k. Au hawa ni raia wa Tanzania?!
View attachment 2336627
Pro-NATO taratiiibu wameanza kulikimbia jukwaa kesho watakuwa wanaomboleza 😂😂😂Nime Confirm. RT. 560 wameliwa vichwa.
WARUSI more technicalWarusi Waliwajaza upepo kuwa wame retreat maeneo..wao kajaa kichwa kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakajazwa!! Safi sanaaaaaaa.
Niliskia humu kuwa UK Kherson wana songa mbele[emoji1787][emoji1787]
Endelea kuwapiga sindano za moto comred, naona wanajaribu kujifariji humu lakini kichapo Kiko pale pale,[emoji91][emoji91]Endeleeni kupiga public toilets [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2338966
Muda huu timu NAFO tunaendelea kupokea habari njema kutoka Kherson. Wazee wa denazification mkae kwa kutulia na Waziri wa Ulinzi wenu yule civil engineer wa kiraia
Kwa hicho kipigo wanajeshi wengi wa Ukraine, watajisalimisha na kuomba uraia Urusi.Mmefika wapi mbona siwaoni au mnaongelea Kherson gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nakushauri Kabla ya kuleta habari tafuta hata mtu anayejua kiingereza akutafsrie hiyo habari ina UJUMBE ganiKICHAPO KINAENDELEA. JESHI LA PUTIN LAZIDI KUANGAMIZA [emoji95][emoji95][emoji95]
Homes wiped out in strikes on Ukraine’s Mykolaiv, mayor says two killed
Russian shelling hit residential areas of the southern Ukrainian city of Mykolaiv, killing two people and destroying homes, city officials and witnesses have said.
A Reuters correspondent at the scene said the strike hit a family home directly next to a school, killing one woman. Both houses on the property were left in ruins, with large craters gouged out of the ground in front.
Mayor Oleksandr Senkevych said on Telegram at least two people had been killed and residential homes and educational institutions had been hit. The local governor, Vitaliy Kim, said on Telegram that 24 people had also been injured.
The owner of the home, Olexandr Shulga, told Reuters he grew up in the home and had lived there his entire life. His wife died at the scene, Shulga said.
Subirin ,leo ndio counteroffensive imeanza ya kuyakomboa maeneo aliyoshikilia Russia ,humu mtapakimbia mwez huu,maana madaraja yote tumeshayalipua,na tumewadhoofisha ,mpaka mnasaka makruta 137,000/=Mmefika wapi mbona siwaoni au mnaongelea Kherson gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah anatia aibu mkuunakushauri Kabla ya kuleta habari tafuta hata mtu anayejua kiingereza akutafsrie hiyo habari ina UJUMBE gani
Wewe ni pro-Russia ulitakiwa ulete habari inayohusu mafanikio yaliyofanywa na jeshi la urusi
Badala yake unaleta habari inayohusu " madudu" yanayofanywa na jeshi la urusi, huoni kwamba unawahaibisha pro Russia wenzio?
Hii ni ajabu sana, habari inayohusu jeshi la urusi kushambulia shule za uma, na makazi ya watu,na kuua raia wasio na hatia ndo anatuletea tusome..,hii habari ingeletwa na pro-ukraine kidogo ningemuelewaDah anatia aibu mkuu
Mmekuja na hizi article zenu ili kufunika kinachoendelea front line huko kheson.,sawa tumewaelewa[emoji2][emoji635] Briefing by Colonel General Alexander Fomin, Russian Deputy Defence Minister, for foreign military attachés accredited in Moscow, on Vostok 2022 strategic command post exercise
[emoji3503]In accordance with the Training Plan for the Armed Forces of the Russian Federation for 2022, Vostok 2022 Strategic Command Post Exercise is being conducted from September 1 to 7 headed by the Chief of General Staff of the Armed Forces of the Russian Federation.
[emoji3503]The exercise will take place on the territory of the Eastern Military District and will be the final stage of training of the Armed Forces of the Russian Federation this year.
[emoji3503]Vostok 2022 will be conducted in two phases over seven days.
[emoji3503]The objectives of strategic command post exercise are to improve the skills of commanders and headquarters in commanding inter-service and coalition troop (force) groups when repelling aggression in the eastern direction and in the far eastern maritime zone, to increase the compatibility and level of interaction in addressing joint tasks of coalition troop groups in preserving peace, protecting interests and ensuring military security in the eastern region.
[emoji3503]Strategic command post exercise will also check the level of preparedness of the military command bodies in organising the planning of operations in coastal areas and the comprehensive support and management of groups of troops (forces) during the conduct of hostilities.
[emoji3503]Within the coalition groupings of troops, joint actions will be practised by the operational command bodies, military contingents and observers from the Collective Security Treaty Organisation, the Shanghai Cooperation Organisation and other partner states, including Algeria, Armenia, Azerbaijan, Belarus, India, Kazakhstan, Kyrgyzstan, China, Laos, Mongolia, Nicaragua, Syria and Tajikistan.
@mod_russia_en