Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwez huu mtalikimbia jukwaa ,mrud Facebook
Kinachofurahisha Hawa jamaa hawakati tamaa aisee,nadhani hata wakiletewa habari kwamba kheson yote imekombolewa bado wataendelea kuleta article,kuonyesha jeshi la urusi lipo maeneo hayo..,Hawa jamaa ni kama kupe, vigang'anizi kweli kweli [emoji2]
 

Pro- NATO, Myukrein mwenzenu huyo hebu msikilizeni

#YURI Ukrainian counteroffensive in Kherson oblast. The enemy sustained β€œcolossal” losses in personnel (hundreds of men both today in the fighting, and yesterday in preventive missile strikes), gaining some 2-3 km and taking one locality, while forced to retreat to the initial lines elsewhere. The tactical intention of the Ukrainian army that apparently was to make the northern facade of the Allied Front in Kherson crumble in one day, have failed, with enormous cost in KIA and MIA.

Elsewhere:
assault actions resumed in Ugledar. The enemy appently gave up on attempts to recapture the lost 1st line of defence in Zolochev fortified area.
 
Procesed
 
Sawa niambie kwenye counter offensive ukraine kakomboa kijiji gani au hata mita 200 kama zipo niambie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].


Kuna mtu itakuwa katuuza sio bure kwa nini counter ofensive ishtukiwe na WARUSI
Unaleta habari haina source kama umetoka kulaa nenda kwenye media kubwa usikie baba yenu anavyofanyiziwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…