Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

😁😁😁
 
Heshima waliyo nayo Urusi ni kama waliyo nayo Iran, Korea Kaskazini, India na Pakistan.
 
Reactions: Tsh
UKRAINE watakuwa wanavuta bangi kabisa...hivi mtu anakuzidi kila kitu..yuko anakushambulia wewe unasema unaanza counteroffensive....tena unaenda kwa mtu aliyekuwa anakusubiri kwa muda mrefu anakusuburi ujae....
Ndugu haya unayoyaona na kuyasikia ya wa Ukraine ni kutokana na mafunzo kutoka jeshi la NATO na kiranja Mkuu USA.
Jeshi la Ukraine limekua likifundishwa na NATO na USA ndio Mkuu wa NATO.
USA ilizoea kupigana vita nyepesi Watalaban,Al Qaida,Al shababu,Iraq Tena kwa kusaidiwa na hata Libya.
Kila wanachokifanya Ukraine Kina reflection ya Jeshi la USA na NATO.
 
COUNTER- OFFENSIVE (UKRAINE GAIN 0 KM TODAY)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



Mkajipange tena upya

Mbinu zote za Ukraine ndio mbinu za USA na NATO wake.
Kwa sababu USA na NATO ndio wanaomfundisha Ukraine,Tena walimfundisha jinsi ya kupigana na Urusi.
 
Kwenye battlefield theatre, ukifanya offensive or counteroffensive, unakuwa una expose positions zako. Unakuwa una expose formations zako.

Sasa, kilichotokea Jana kwa Ukraine niku expose positions zao. Na inaonekana Russians walikuwa wanasubiri hii opportunity ije kutokea.

Ndio maana Russians walikuwa quick kuwa suppress na ile casualty ikatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…