Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BBC hawa hapa Endeleeni kuleta habari za kubumba kudadeki kazi ya kurudisha maeneo imeanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi akina tomaso hatupotezi muda na BBC au DW, Maana kuna kipindi mpaka walionyesha na jiwe la mpaka kuwa jeshi la ukraine limengia Russia kumbe hakuna kitu. Janja nyingi sana Westerners

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Tangu ianze hii mnayoiita "special epereshen" hizi article zimekuwepo kila iitwayo leo,

Lait kama hizi articles zingekuwa na uhalisia, nafikiri kusingekuwepo Tena rais anayeitwa zelensiky,anayeongoza taifa la Ukraine,[emoji848]
Hiyo High precision missile tangu february 24 naiona kwenye report ajabu yanapigq majengo ya watu na stand.
 
Mlete mzungu naona wanaleta marehemu wengine walipo wanaishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tazama hapa jamaa wanashushiwa kipondo na ma pantoon yao
 
Wala usishangae mkuu,pro Russia wanafanya kila njia kujifariji Ili kufunika aibu wanayopata

Wamepiga mahesabu ya kulikimbia jukwaa ikaonekana hii itakuwa aibu juu ya aibu
Sasa kinachofanyika ni kupotosha kadri wawezavyo,
Yan jamaaa wanajifariji wameanza 560 sasa hivi 1200 ,picha za hata kifaru kilicholipuliwa hakuna ,video hakuna wanaimba mapambio tuu humu jukwaani
 
Tupo tunapokea habari njema kwamba idadi ya askari wa Ukraine waliouwawa kwenye counteroffensive imefikia 7000
Hao wachache
Wameuawa wanajeshi 16000
Ndege vita SU 25 40 zimelipuliwa

Himars 5 zimelipuliwa

TB 2 30 zimedunguliwa

Vifaru 2000 vimeharibiwa

Mateka wako zaidi ya laki 1

Majeruhi ni Nusu milioni

Ukraine imerudishwa hadi Kyiv

Zelensky kakimbia
 
Tazama hii eneo liliokombolewa na kipigo kinaendelea

pro-Russia wamekazana na habari za kubumba kuwa wameua asikari 7000 kwenye hii counteroffensive,huku Ukraine ikizidi kusonga mbele na kukomboa vijiji,
 
Hao wachache
Wameuawa wanajeshi 16000
Ndege vita SU 25 40 zimelipuliwa

Himars 5 zimelipuliwa

TB 2 30 zimedunguliwa

Vifaru 2000 vimeharibiwa

Mateka wako zaidi ya laki 1

Majeruhi ni Nusu milioni

Ukraine imerudishwa hadi Kyiv

Zelensky kakimbia
Duh! Hawa jamaa miyeyusho kweli,
 
Hawa watu wanaoitwa wazungu waliwezaje kututawala?
-------------

Turkish media is claiming American companies that have left Russia are now seeking to circumvent the sanctions imposed by offering Turkish companies commission to conduct trade on their behalf with Russian counterparts.
 
Hao wachache
Wameuawa wanajeshi 16000
Ndege vita SU 25 40 zimelipuliwa

Himars 5 zimelipuliwa

TB 2 30 zimedunguliwa

Vifaru 2000 vimeharibiwa

Mateka wako zaidi ya laki 1

Majeruhi ni Nusu milioni

Ukraine imerudishwa hadi Kyiv

Zelensky kakimbia
Sasa hivi waliouwawa wamefikia 20000 mpaka mda huu ,Russia wanaitafuta kyv ,nasikia zelesky kakimbilia poland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…