Mkuu upo toilet angalia usije ukatumbukiza simu hio usisahau hapo sio sebleniLeo mmezidi, kila mmoja wenu kila baada ya lisaa mnashindana tu kujipangia idadi ya wanajeshi mliyowaua kwa siku hii moja leo! Huyu akitaja 500; yule 1000. Yule akitaja 1000 huyu 1200. Inatosha, acheni utoto bwana!!!!
Umepanik bro[emoji41][emoji41][emoji41]Hao wachache
Wameuawa wanajeshi 16000
Ndege vita SU 25 40 zimelipuliwa
Himars 5 zimelipuliwa
TB 2 30 zimedunguliwa
Vifaru 2000 vimeharibiwa
Mateka wako zaidi ya laki 1
Majeruhi ni Nusu milioni
Ukraine imerudishwa hadi Kyiv
Zelensky kakimbia
Nasikia kumbe hata Urusi haijateka mkoa wala mji mmoja wa Ukraine. Urusi wanatupiga propagandaKuna propaganda nyingi sana. Pande zote (Ukraine &Russia) waongo. Usiamini chochote unachoona mtandaoni! Mimi nli-block Youtube channel zote za vita hivi.
Wewe ulisikia wapi? Wale wanajeshi wa Ukraine waliojisalmisha Mariupol unaona kama ulikuwa mchezo?Nasikia kumbe hata Urusi haijateka mkoa wala mji hata mmoja wa Ukraine. Urusi wanatupiga propaganda
Doh!Propaganda hizo Kherson ikishachukuliwandio mtakaa sawa
Umefika Mpaka huko mshua?Nasikia kumbe hata Urusi haijateka mkoa wala mji mmoja wa Ukraine. Urusi wanatupiga propaganda
EU project.Tazama hii eneo liliokombolewa na kipigo kinaendelea
Propaganda kama hizi ndio nasema. Miji kama Mariupol ilitekwa lakini lazima Ukraine itajaribu kuficha ukweli kwa kukana. Lazima pande zote zitadanganya ili kuficha loses. Lazima ufanye utafiti wa ndani sana na ukiwa makini ndipo upate ukweli.Umefika Mpaka huko mshua?
Eee Mkuu, si tumekubaliana kuwa kila kitu ni propaganda?Umefika Mpaka huko mshua?
Mi sina undugu na wewe.
Sawa mkuuEee Mkuu, si tumekubaliana kuwa kila kitu ni propaganda?
Machenza Fc v Mbengo FcShida ni kwamba hii vita watu wameifanya ka mechi ya simba na yanga..
PropagandaTatizo lilianza na Pro Russia unapotoa nyuzi zenye fact wao wanakuja na hoja zakishoga....sasa imebaki tuende nao Sawa sababu ndio level ya akili wanayo