lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Wanajeshi 1200 kwa siku moja,inaniuma sana kwa kweli.Putin aliwaambia waweke silaha chini hawakusikia.
Naona hata Yale waliyohamisha kutoka Syria hayajafua dafu[emoji2]Himars moto wa kuotea mbali yale machuma yao defence system yalikuwa yanalinda madaraja nayo yamekwenda na maji ukiona yametegwa utaona za maana kumbe mapipa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh! Pamoja na juhudi zote za urusi kurekebisha Hilo daraja lakini hazikufua dafu[emoji848]Tazama hii live Antonvka bridge limepigwa na Himars hakuna kuvuka inzi tutaoneshana makali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan kwa akili yako rais atoe tamko la kwamba tumeshinda vita ili urusi achukue nchi yote. Una akili kama ya mende aisee. Linapokuja kwenye swala la nchi kuvamiwa huyu comedian ni MBONGE la mwanaume. Nakumbuka mwanzon alipewa offer ya kwenda marekani. Lkn mwanaume akasema nitafia nchini mwangu. Na akakataa kutoka Hadi Leo Russia anahangaika tu.Ninacho kiona mimi Zelensky ana roho ngumu kama ya paka, huyu si ndiye aliwahi kusema kwamba jeshi la Ukraine linapoteza wanajeshi 600-1000 kwa siku na hilo kalisema baada ya US Military top brass kusema hivyo, kabla ya hapo alikuwa hatoi idadi na hasara anazopata wala idadi ya wanajeshi wanao uwawa vitana wala majeruhi, wala innocent raia wa Ukraine wanao uwawa - alikuwa anakaa kimya kabisa hataji hasara za Ukraine anazo zipata katika vita hii.
Yeye masaa yote ni kuvaa T-Shirt na kutunisha misuli mbele ya camera za TV na kudai kwamba mpaka sasa Jeshi la Ukraine limekwisha angamiza wanajeshi wa Urusi 85,000 (elfu themanini na tano), ndege 1000, Vifaru 3,500, Mizinga 1000 nk - analeta usanii tu masaa yote.
Sijui kwa nini Bunge la Ukraine alipigi kura ya kitokuwa na imani na Zelensky ambaye kiukweli leadership quality yake ni almost ZERO - akiachwa hivi hivi mpaka vita ije kuisha hapatakuwepo Ukraine wala raia wake, hii inasikitisha sana sana.
Sina undugu na wewe, usilazimisheTunatumia utambulisho feki,una uhakika gani kuwa mim si ndugu yako???
Usipanik bro
Sent using Jamii Forums mobile app
We boya unaleta picha za mwezi March afu chanzo cha habari et Ukrainnet unategemea kupata habari sahihi we Buda kweliEndeleeni kupiga kelele warusi wenzenu wanakufa huko Kherson View attachment 2340643
Yaan kwa akili yako rais atoe tamko la kwamba tumeshinda vita ili urusi achukue nchi yote. Una akili kama ya mende aisee. Linapokuja kwenye swala la nchi kuvamiwa huyu comedian ni MBONGE la mwanaume. Nakumbuka mwanzon alipewa offer ya kwenda marekani. Lkn mwanaume akasema nitafia nchini mwangu. Na akakataa kutoka Hadi Leo Russia anahangaika tu.
Ukraine inapigania nchi yake haijarishi watu watakufa wangap lakn atapigania nchi yake. Ardhi yake. Na watu wake.
Yaan nyie ndo wale jiran akiwa na nguvu akivamia kwako unampatia mke na watoto wako halafu unakimbia toka kwako kwa sababu aliyekuvamia ni mwenye nguvu. Mwanaume unatakiwa upambane Hadi hatua ya mwisho kupigania familia yako. Ardhi yako na haijalishi itakugarimu maisha pambania himaya yako.
Uzuri ni kwamba Ukraine wakiua Wanaleta kabisa evidence kutoka fieldEndeleeni kupiga kelele warusi wenzenu wanakufa huko Kherson View attachment 2340643
Binadamu wote ni ndugu na walitokana na Adamu na Hawa. Kama una maumivu makali Sana baada ya counteroffensive kufail endelea kuvumilia hali ndivyo ilivyo. Pole Sana mkuu.Sina undugu na wewe, usilazimishe