Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Alisikika Mndengereko mmoja baada kula Ugali NjegereKwa hulka aliyonayo urusi,kama angekuwa na makombora ya masafa marefu, tungeshuudia msululu wa mashambulizi huko Kiev,, lakini kwa Hali ilivyo,jamaa kabaki empty,
Lawama zimuendee Zelensky [emoji22]View attachment 2345571
According to Ukrainian sources, Major of the Armed Forces of Ukraine, Gennady Sova was killed in Kherson.
[emoji38] kiongoz mwnyw SasaWarusi wameambiwa wakimbie huo mji vinginevyo wote watatangulizwa mbele ya haki.., ukiona kiongozi anasimama na kutoa kauli hii,ujue ameshafanya maandalizi ya kutosha
Aseme nn Sasa wkt imebAckfire [emoji38]Nimetoka kumsikiliza waziri wa ulinzi wa UKRAINE (Aljazeera )anasema kuwa faida ya counter offensive itaonekan baada ya miezi kwa sababu itaenda mdog mdogo kwa kulinda wanajeshi wake na wakazi.
Nimecheka sana kusikia ivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1166]
Wameanza kumpigia magoti zelensiky [emoji91][emoji91][emoji91]Sisi hatutaki pambano liendelee tujue ukweli nani kachapika msilete ujinga kabisa tuliomba negotiations February mkagoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2346002
Leo rais zelensiky anaonekana mtu wa maana wakati mwanzoni walimwambia aweke silaha chini na kujisalimisha [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Super power anaomba poo huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kukaa mezani mpaka kieleweke kudadekiView attachment 2345997View attachment 2345998