Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bila Nuclear hana lolote huyu
Kwa mataifa makubwa Hakuna yeyote ajikutae salama bila nuclear . Israel alipogundua waarabu hawataacha kuungana kumshambulia akaamua solution Ni moja nuclear missiles.
Iran ilipoona nuclear Israel Ni kitisho kwake akaamua suluhisho Ni nuclear missile.
Marekani ilipoona imperial Japan Ni kitisho kwake akaamua nuclear kuwa suluhisho la kumaliza Vita . Mifano Ni mingi Sana.
Kwahiyo usijidanganye Kwamba Kuna taifa liko Tayari kuwA bila nuclear likitegemea conventional weapons.
 
Hapo kwenye gesi hapo Putin amewacheckmate!

Kama sasa hivi tu bei imepanda sana huko ulaya sijui itakuwaje ikifika ile winter yenyewe!

Nimekuja kugundua kupitia hii saga ya Ukraine kwamba utajiri wa ardhini/rasilimali ndio utajiri halisi na sio ule wa kwenye makaratasi wa WB na Imf. Kama taifa lina rasilimali za kutosha na lina technolojia ya kutosha kuvuna rasilimali hizo pamoja na nguvu ya kujisimamia mambo yake yenyewe bila kuingiliwa huo ndio utajiri wenyewe.
 
Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Ndo maana katika nchi zetu huwa viongozi waketi na kufanya mambo yao kimyakimya kwa sababu rasilimali hizi ni muhimu sana na zina thamani ya mamilioni ya dola huko duniani.

We jiulize, ile miradi kama LNG umesikia chochote?

Tatizo la hawa wenzetu wao wataka hivi vitu bure bila kulipa chochote na ndo maana wao wamwona mwafika si kitu kwao.

Ukitunisha tu musuli wataanza nawe.

Sasa wao waleta lile azimio kwamba ifikapo 2030 kuwe na magari yatumiayo mawe ya cobalt halafu wasikie kuna nchi bado yauza gesi na ina hazina ya kutosha karne na karne, hilo si ni tatizo tayari?
 
Mkuu mbona Kichwa chako kigumu kuelewa,Hilo linajulikana!Nimekwambia Hilo la members Ili ujue ni wengi pia!
Nikisoma btn lines ni kama umekiri kuwa members hawakuelewi ila wanakuelewa ni wale wasio members🀣🀣🀣!
No hard feelings,siku njema ndugu!
 
Ubalozi wa Russia umeshambuliwa huko kabul wavaa kobazi nao wanamtunishia msuli Russia

Huyo ni mujaheeden mmoja tu na kaua hata waafghan wenzake watu wapatao 8. taarifa zasema watu kati ya 15-20 wamekufa au kujeruhiwa.

Huyo baradhuli alienda nje ya ubalozi ambapo waafghanstan wanotaka viza ya kwenda Russia walikuwa wamepanga mstari ndo akajilipua karibu kabisa na lango la kuingia ubalozi hapo.

Hata hivyo tayari alikuwa amelamba risasi kutoka kwa walinzi wa ubalozi wa Kitaliban kabla ya bomu alokuwa amevaa kulipuka.

Source: RIA
 
The situation in the Nikolaevsko-Krivoy Rog direction
as of 15.00 September 5, 2022 - @rybar

By the seventh day since the beginning of the offensive of the Armed Forces of Ukraine on Kherson, the front line had stabilized. The Armed Forces of Ukraine do not stop trying to transfer reserves and expand the bridgehead for further advancement to Novaya Kakhovka and Kherson, but they still cannot develop success.

From the night, the Armed Forces of Ukraine began to build up a strike force and transfer equipment to the Posad-Pokrovsky section: reinforcements arrived in Krasnoye Znamya (Lyubomirovka), Novogrigorovka and Posad-Pokrovskoye. Units of the 28th and 59th brigades of the Armed Forces of Ukraine reinforced the Yavorivskaya 24th brigade.

Russian units of the 7th Airborne Division and 20th Motorized Rifle Division are firing artillery at the reinforcements of the Armed Forces of Ukraine, preventing them from going on the offensive and suppressing artillery firing positions.

Units of 33 SMEs conducted a successful raid on enemy positions from Ternovy Pod and captured the commander of a company of the 59th ombr of the Armed Forces of Ukraine and a detachment of nationalists from the Right Sector.

On the Snigirevsky sector of the front, everything is relatively calm: the RF Armed Forces periodically suppress the firing positions of the Armed Forces of Ukraine and thwart sorties. The observation post of the Armed Forces of Ukraine in Kiselevka was destroyed from the ATGM.

On the Andreevsky sector of the front, the battles were localized in the narrow "gut" Andreevka - Sukhoi Stavok. Kostroma was taken under the control of the RF Armed Forces, one of the established crossings over the Ingulets was destroyed, the Armed Forces of Ukraine continue to transfer individual pieces of equipment along a narrow corridor.

Aviation of the Russian Aerospace Forces operates without interruption, burning enemy equipment and reinforcements. The Andreevsky section has turned into one large cemetery, where the command continues to send people to be slaughtered.
 

Nilishasema Marekani alikua zamani sahivi hana Jambo, west wameingia kwenye trap kizembe sana
 
Yes,unapokutana na uchambuzi kama huu,unaingiza kitu kipya hata itakuwa Haina usahihi Kwa asilimia zote!Wale ndugu zetu Pro NATO wangekuwa wanakuja na uchambuzi wao juu ya operation hii Kwa namna hii,hakika jukwaa lingefana sana!
Asante Kwa kuchukua muda wako kuandika hili!
MK254 vunjo T14 Armata pitieni hapa mchangamshe ubongo!
 
Safi endelea kuwavutisha pumzi ya moto hao Pro-Putin, ila wakizidiwi au kuishiwa hoja wanakimbilia kutukana.
 
Hapa naona najibizana na kichwa maji..,itoshe tu kusema wazazi wako waliingia hasara kubwa sana
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Safi endelea kuwavutisha pumzi ya moto hao Pro-Putin, ila wakizidiwi au kuishiwa hoja wanakimbilia kutukana.
Kweli aisee.., lakini mtu akileta matusi kwangu naenda nae hivyo hivyo...,sinaga ulka ya kumwachia mungu,

Na uzuri ni kwamba sijawahi kuattack mtu personally kwa lugha chafu kabla hajatagulia kuni-attack
 

Kuna nini jipya, Urusi kwa alivyojichokea, mtaandika hizi insha lakini sote tunashuhudia anavyolizwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa wake mmoja.
 
Kuna nini jipya, Urusi kwa alivyojichokea, mtaandika hizi insha lakini sote tunashuhudia anavyolizwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa wake mmoja.
Urusi alikuwa tegemeo la Hawa jamaa,Sasa sijui akifurushwa huko Ukraine kwa aibu,watamtegemea nani

Itabidi wamkubali US [emoji1258] tu hakuna namna [emoji2][emoji2]
 
Kuna nini jipya, Urusi kwa alivyojichokea, mtaandika hizi insha lakini sote tunashuhudia anavyolizwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa wake mmoja.
🀣🀣,Naona kinyonge sana!Usijali mku,tuendelee kufuatilia SMO na mwisho wake Nini!
Huko Poland kwenye majumba ya Sinema,Kwa nje zimefungwa baiskeli za mota nyingi na watu wanalipwa kupiga pedeli kuzalisha nishati ya kuendesha Sinema!
Fursa hiyo!
Msimu huu hakuna rangi tutaacha ona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…