Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Massive Protest Against NATO, EU & Soaring Energy Prices Hits Prague

Some 70,000 protesters gathered in Prague, Czech Republic, demanding the country take a neutral military stance, while urging the government resign over soaring energy prices and inflation.
 
❗️President Putin Sets Goals For Russia’s Technological Independence

During the meeting of the National Development Council the president tasked the body with curbing Russia’s reliance on foreign software.

He also proposed setting up a minimum broadband speed for internet providers to meet, at 10 gigabit per second, as well as working out an incentive initiative for math, science and computer teachers at Russian schools.
 
Kiufupi hii ni Ukraine arms Expo 2022 na ndo silaha nyingi zapelekwa hapo kwa majaribio na nchi nyingi hata Israeli viwanda vyao vyapeleka silaha hapo.

Ndo maana ukisikia leo kumetangazwa kwamba msaada wa silaha kiasi fulani si kwamba msaada au mzigo ule ndio upo njiani la, bali ndo vile viwanda vyapokea order na uzalishaji waanza.

Kwa mfano juzi Biden aliposema watatoa tena msaada wa vifaa vya mabilioni ni kwamba mzigo utafika Ukraine miezi miwili hadio mitatu kwani utengenezaji wake ndo waingizwa sasa kwenye production line.

Ila nchi nyingi za NATO kwa sasa zote zashughulika kuondoa silaha amabzo zilikuwa zimekaa tu kwenye maghala na hiyo si wao tu hata Russia wenyewe bado hawajatumia silaha zao mpya bali watumia silaha zote za zamani na hilo wamelisema wazi.
 
Israel haipeleki silaha Ukraine. Israel na Russia wana makubaliano yasiyo rasmi ya kutoingiliana kwenye maslahi yao. Pale Syria mashambulizi ya Israel yanapita kwa kufumbiwa macho na Russia, yangekuwa yanazuiliwa basi ingekuwa ugomvi mwingine ambapo sioni ni silaha gani ya Russia ingezuia mashambulizi ya IDF Airforce kufanya airstrikes.
 
THIS IS ONE OF THE BIGGEST. INSANITY WAR EVER HAPPENED IN THE 21ST CENTURY SO FAR..
Sikumbuki ilikua ni Karne ya 20 au ya 21 pale Marekani, uingereza na washirika wake walipoivamia Iraq kwa madai inamiliki silaha za maangamizi.WMD.

Umoja wa mataifa ulikataa Iraq isivamiwe lkn USA na UK na wapambe wao walivamia.
Ajabu Dunia nzima haikuona kitisho Cha WMD lkn USA ambae yoko mbali kwa kwa ma milioni ya kilometer ambae hata Iraq wangejaribu kurusha kwa vifaa vyao WMD zisingemfikia.

USA na NATO walipeleka silaha za aina zote Afghanistan kwenda kuwasaka watu wawili TU,Osama bin laden na Al qaida yake pamoja na Mullah Omar na Taleban yake.
Lkn Leo Taleban bado IPO.poa sikumbuki hii ilikua ni Karne ya ngapi,lkn USA wameiacha Taleban Karne hii ya 21.
 
Hizi ni silaha zilotengenezwa na viwanda vya Israeli ambazo zilinunuliwa na nchi zingine za NATO na kuhifadhiwa kwenye maghala yao.

Hivyo si kwamba Israeli wenyewe wanapeleka silaha.

Hata hivyo FYI Israeli kupitia watengenezaji wake wa silaha waitwao Rafael Air Advanced System wana viwanda ambavyo vipo katika nchi mbalimbali za Ulaya.

Pale Ujerumani pana kiwanda cha waisraeli kilichopo sehemu iitwayo Burbach.
 
Kuna sehemu nadhani hujanielewa nimesema nini, Mimi nimeandika kuwa kuna watu wanasema kuwa sababu ya kuchelewa kuiteka Ukraine yote ni sababu Russia ina jeshi dhaifu Ila wanaomsema hivi asilimia kubwa ni pro NATO

Pia walisema kuwa Russia kashindwa kuchukua Kyiv ni pro NATO

Ukiangalia na ukisoma Kwa umakini utajua andiko langu lililenga kupinga watu wenye mtazamo huo, mkuu rudia tena kusoma
 
Yeah, nimeona Al Jazeera Pia.

1. Nordsteam 1 pipeline will be halt until sanctions lifted.

2. OPEC Members wamekubaliana kupunguza oil output, wata review tena October.

3. Gas price imepanda 400 times Y - to - Y
Putin's having them by the balls
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Licence production na kufungua production plant inafanyika kwa faida ya kampuni, sio kwa faida ya mteja. Mfano India ikitoa tenda ya silaha inapenda sana kuweka kigezo cha Make in India, jeshi halipendelei ila serikali ndiyo inataka hivyo unakuta bidders wanatoa offer ya kufungua plant na kushirikiana na makampuni ya India kama TATA kutengeneza baadhi ya components. Na pia kuna technology transfer.
Kampuni isiyofanya hivyo hakuna anayeilazimisha ila itakosa tenda mwishowe inaamua yenyewe.

Rafael Defence System au hata IAI, Elbit Systems, etc wanalazimika wafungue plants kwingine kupunguza production cost na attracting bids. Wanazo silaha wanatengeneza kwa ajili ya wateja wa nje tu na hatuwezi sema eti Israel ndio imezipeleka zikianza kutumika. Kama zipo tusaidiane uzitaje.

Hata BAE Systems ya UK imepewa tenda na US Marines kutengeneza amphibious vehicles. Ikiamua kutengenezea plant za Marekani ni sawa
 
Safi kabisa uchambuzi mzuri πŸ‘
 
Kwa kama umesahau subiri tukukumbushe

1) marekani soko lake la bidhaa Kwa asilimia kubwa ni ulaya, sasa kutokana vikwazo pamoja na kukosa nishati viwanda vya ulaya vinaenda kufungwa, kinachofata ni raia kukosa kazi na umasikini, uchumi wa ulaya utaanguka maana yake nchi za ulaya hazitaweza kununua bidhaa za marekani, kutokana na umasikini
Sasa kufatia bidhaa za marekani kukosa soko litasababisha viwanda kufungwa au kupunguza uzalishaji kutokana na bidhaa wanazozalisha hazina wanunuzi, hii itasababisha kupunguza wafanyakazi, wafanyakazi wakianza kupunguzwa ndiyo mwanzo wa raia wa marekani kupunguza matumizi ambapo ndipo uchumi wa marekani ulipo

Kwa hiyo hii itapelekea demand ya dolla kupungua, kitendo kitakachosababisha dolla kuanza kushuka thamani wakati pesa yuan na rubo zikichukua nafasi kutokana na ndiyo sehemu ambayo nchi nyingi duniani wanategemea kupata bidhaa kutoka Asia

Ila haya yote yanaweza yasitokee kama ulaya itatii matakwa ya urusi na kumalizika Kwa Vita ya Ukraine,
Au waanzishe Vita na urusi na washinde Ila kinyume na hapo ulaya inaenda kuwa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…