hehehe!!! Haiji hata siku moja nikerwe humu, hofu niliyokua nayo ni ile siku ya msafara ulioliwa na wabeba javelin, leo nashangaa kuona Ukraine wanasimika bendera yaani hadi raha.
Hii vita ikiisha hujalazwa hospital mshukuru Mungu. You are always awake this time, Bora Mimi ni mlinzi sijui na wewe ni mlinzi Kama Mimi.
Kaka mkubwa umetoa taarifa za serikali ndio maana hao jamaa wa GSO (suti za kaunda) wamekudaka kama mpira?Kuna TISS na Kuna GSO .. TISS mnaijua wengi lakini HAMJUI.. GSO...!!? SASA GSO Ndio hatari Kwa watumishi wa umma kuliko TISS .. unaijua GSO! nawaambiaga watoto ... Wamacheka
.. sasa nataka wanipe utofauti wa TISS na GSO... HALAFU niongee nao... Mi kazi siwezi kufutwa Wala kufukuzwa labda waniue....
Pole Mkuu.Niliomba kuwa "VERIFIED MEMBER" ... sijajibiwa ... Na kabla ya kijibiwa nimehamishwa.... Ila comment zangu bado zipo nnachoomba ... Ni usiri ... Naomba tena kuhakikishiwa ..usalama wangu... Ndio maana sichamgii sana ... Kimsingi "nimekamatwa".... Ila nimelindwa na SHERIA ndio maana..hamnioni nachangia sana... Nimehamishwa kabisa lakini sijapoteza kazi... Nimetoka Mwanza... Nahamishwa Lindi... Mdomo uliponza kichwa.... Sijutiii...
Aisee,kweli wewe ni bogus!Samahani lakini!halafu huwa siwaelewi nyie watu wa hiyo dini, mbona mnajitoa mhanga kulipua ubalozi wa huyo huyo mnayemuabudu Ubalozi wa Urusi walipuliwa na mpiganaji wa kidini Afghanistan
Kuna nati haziko sawa akilini mwako,ukikua utajitambua!hehehe!!! Haiji hata siku moja nikerwe humu, hofu niliyokua nayo ni ile siku ya msafara ulioliwa na wabeba javelin, leo nashangaa kuona Ukraine wanasimika bendera yaani hadi raha.