kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Wewe mbona unapenda kuwaattack watu personally kwa matusi ya nguoni hapa jukwaani..?, akiamua kujibu hayo matusi patakalika hapa?Aisee,kweli wewe ni bogus!Samahani lakini!
Aisee,kweli wewe ni bogus!Samahani lakini!
Wewe mbona unapenda kuwaattack watu personally kwa matusi ya nguoni hapa jukwaani..?, akiamua kujibu hayo matusi patakalika hapa?
Halafu kutwa kulalamika eti video kutoka front line zinachafua jukwaa..,kati ya haya matusi na hizo video kipi kinakera zaidi
Ukrane ndio haruhusu drone za mrusi angani anazitungua kabla ya madhara yoyoteView attachment 2347062
Lile swali la mpaka sasa mmekomboa vijiji vingapi siku hizi mbona haliuliziwi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2347067
Gas ndo imebaki kuwa silaha Yao kuu, sijui gas inapigana vita[emoji57]Kherson anakufa mtu huko sasa hivi pro Russia wanapost Gas na sanctions hawana habari kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2347192
Mpaka huyu dikiteta aombe poo..,ni nadra sana kuwasikia pro Russia wakiongelea Hali ya front line huko kheson maana imeshakuwa ya moto sana kwao [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hii vita ya sasa hakuna kujificha tunawafwatilia kila angle kwa drones na kuwalipua tazama video chini
Wanaishia kulalamika winter na gas ndio silaha yao Kherson wamezidiwa hakuna mjadala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka huyu dikiteta aombe poo..,ni nadra sana kuwasikia pro Russia wakiongelea Hali ya front line huko kheson maana imeshakuwa ya moto sana kwao [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Umeona tusi hapo?Wewe mbona unapenda kuwaattack watu personally kwa matusi ya nguoni hapa jukwaani..?, akiamua kujibu hayo matusi patakalika hapa?
Halafu kutwa kulalamika eti video kutoka front line zinachafua jukwaa..,kati ya haya matusi na hizo video kipi kinakera zaidi
Imeshindikana kivipi?Ujinga nao mzigo!Nimeshindikana kwa warusi asili na waarabu asili kule Quora sembuse nyie waarabu wa kuiga hapo Bongo.
Usichoke kutuletea updates mkuu,tunafurahi sana kuona haki inazidi kusimana dhidi ya udhalim [emoji120][emoji120]Hii operation ni balaa tazama tunavyowalipua kama kuku ila drone zimabadilisha uhalisia wa vita maana tungekuwa tunalishwa articles za kubumba lakini drone inarecord kila kitu kipo live[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa taarifa Yako Kuna wabunge huko Russia wanamuona Putin ni slake,wanataka atumie silaha za Rufaa.Kama Russia wangekuwa na Bunge lenye sauti hakika, hii vita isingekuwepo.
Putin ametusaidia tuujue ujinga wa mtu mweupe.Europe Sanctions Russia
then buys Russian LNG Gas from China that travels half the world and pay a much higher price.View attachment 2347057
Duuh hadi uranium wanatoa Russia kumbe[emoji845][emoji635][emoji3518]🫰[emoji383]Uranium for Rubles schemes to be announced shortly by the Russian govt, also a full export ban is being considered[emoji845]