political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Nilishawaambia pro nato kitambo tu kuwa apo kremlin kuna watu wanaroho mbaya sana kwenye mambo ya vita yani wanamuona putin anawadekeza ukraineKwa taarifa Yako Kuna wabunge huko Russia wanaiona Putin slake,wanataka atumie silaha za Rufaa.
Kuna libunge limoja lilimtaka Putin apige Kambi za NATO ulaya.
Spika wa Bunge nae akatoa tamko kua Urusi iongeze mashambulizi.
Mkuu umefanya ni screenshot comment yako [emoji23][emoji23][emoji23] tukutane kwa mkapaUlaya hawawezi kureplace gesi ya urusi kwa namna yeyote ile. Wataongea tu lkn mwishowe watarudi kununua.
Geopolitics is more chess than checkers.
EUROPE ECONOMY
Europe's plans to replace Russian gas are deemed 'wildly optimistic' — and could hammer its economy
Hii ni kutoka cnbc
Kataa gesi ya urusi ukanunue ya senegal kwa bei maradufu ya ile ya urusi alafu urusi auze ya kwake china kwa bei ya kutupa. Alaf wewe na china mtumie gesi kuzalisha bidhaa alafu tukutane sokoni [emoji1787]
Kumbe Nykolev tumeshaingia . URAAAH. I love ODDESSATerritories of the former Ukrainian SSR controlled by Russia, as a percentage.
Donetsk region - 60.29%
Kharkov - 33.15%
Zaporozhye - 72.49%
Kherson - 94.3%
Nikolayev - 4.83%
Kumbe Nykolev tumeshaingia . URAAAH. I love ODDESSA
Hapo vip[emoji41]Tazama drone operators walivyofast kuzirusha kutambua enemy yuko wapi na kumlipua zina saidia sana kuliko kwenda kichwa kichwa
Super pawer anapokea kichapo endeleeni kujifariji [emoji13][emoji13]Ukrane ndio haruhusu drone za mrusi angani anazitungua kabla ya madhara yoyoteView attachment 2347062
Tukiwaambia huyu ni super pawer wa mchongo wanatuona wakorofiWataalam wa vita wanasema hamjafanikiwa lolote mnasemaje Pro Russia View attachment 2347063
Go Ukraine....,go[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji817]Tazama video frontline ya Ukraine inazidi kusonga mbele wakigawa kichapo heavy
Super pawer wa mchongo atajua hajui [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tazama silaha zilizoachwa na warusi baada ya kukimbia maeneo waliyokuwa wanashikilia huko Kherson
Ni mwendo wa kipigo tu [emoji91][emoji91][emoji91]Maeneo yanakombolewa wanajeshi wa Ukraine wanazidi kusonga mbele anayebisha Himars hazijabadili upepo wa hii vita basi atakuwa na ugomjwa wa akili
Super pawer wa mchongo anahenyeshwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]Video ya pili source tofauti ikionesha silaha walizoacha warusi.Ukitaka kuamini kichapo ni kilali kwenye jukwaa Pro Russia wanapost GAS kuanzia asubuhi mpaka jioni jeshi lao hali advance chochote ndani ya Ukraine so hawana cha kupost[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamebakiwa na silaha ya gesi tu[emoji13][emoji13][emoji13]Lile swali la mpaka sasa mmekomboa vijiji vingapi siku hizi mbona haliuliziwi tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2347067
Walete walete comred [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255]Hii operation ni balaa tazama tunavyowalipua kama kuku ila drone zimabadilisha uhalisia wa vita maana tungekuwa tunalishwa articles za kubumba lakini drone inarecord kila kitu kipo live[emoji1787][emoji1787][emoji1787]