Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Punguza mahaba,Kuna mda hua unaongea facts but sorry hiki unachosema Ni pumba. Hilo taifa la wayahudi feki ni sisimizi kwa urusi,nimeanza kufuatilia mgogoro vita vya Syria tokea 2011 mpaka mrusi alipoingia katika vita hivyo.
 
The mutual trade turnover between Russia and China has reached almost $93 billion over the past seven months. By the end of the year, the indicator is expected to grow to a historical maximum of $170 billion
 
Hatamie nakumbuka hiki ndio kilichotokea nikashangaa why jamaa anapindisha Ukweli.
 
Swali lako ni jepesi zile ni silaha haijalishi zina ubora au hazina, ikiwa silaha za Urusi ni bora why Urusi inalalamika Ukraine ikipewa Western weapons. Na ikiwa silaha za Urusi ni bora why Uturuki huwa inazipiga kila ikikutana nazo kuanzia Libya, Syria, Armenia na sasa Ukraine? Na ikiwa ni bora mbona hazijawahi kuisaidia Syria kulinda anga lake? Sasa maana ya Syria kuwa na air defence system kutoka Urusi ni nini.

Hiyo incident naijua vizuri ilivyotokea. Tunarudi palepale, kumbe unakubali kuwa Israel ilichelewa kuwaonya Urusi kwamba inafanya attack? Sasa ubishi uko wapi nikisema Israel ni either ukubaliane nayo kwenye maslahi yake hasa kwa majirani au uache upambane. Israel can't compromise it's existence, kubali usiingilie maslahi yetu hapo Syria ama tumia silaha zako kutuzuia. Israel haipati greenlight kwa yeyote kushambulia pale Syria wala Gaza, inatoa taarifa tu sio kuomba ruhusa. Au unasema kwamba Iran huwa inapumbazwa na Russia mshirika wake
 
M
Punguza mahaba,Kuna mda hua unaongea facts but sorry hiki unachosema Ni pumba. Hilo taifa la wayahudi feki ni sisimizi kwa urusi,nimeanza kufuatilia mgogoro vita vya Syria tokea 2011 mpaka mrusi alipoingia katika vita hivyo.
Mgogoro wa Syria hauna uhusiano na Israel kama Iran asingeingia. Siku Iran anaondoka Syria na akaacha kupitisha silaha kwenda kwa Hezbollah ndio siku Israel itaacha kuhangaika na Syria
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] duhhh Israel uyu uyu anayeomba kibali kwa Russia akitaka kupitisha ndege zake syria mmesahau ilikuwa kila mwezi netanyau anaenda moscow
Netanyahu kashastaafu na alikuwa anaenda Moscow mara nyingine kwenye Jewish events maana Urusi ina Wayahudi wengi tu. Sio kila ziara alikuwa anaenda kupiga porojo na Russia, na hizo ziara unazosema za kila mwezi sijui ni hizi 12 months of the year au unatumia kalenda yako mwenyewe.

Again, Israel haitaji ruhusa ya yeyote kuhusu Syria. Sio Israel tu, hata Turkey hakuhitaji ruhusa ya Russia kuhusu Syria. Ulazima ulipotokea aliwatandika na silaha zao za Urusi hizihizi Pantsir alizipiga. Video ninazo, picha ninazo. Sio hapo tu, Turkey hakutaka ruhusa ya Russia kwenda Libya kupigania serikali halali dhidi ya vikosi vya Khalifa Haftar aliyesaidiwa na Wagner Group ya Urusi ambayo inafanya recruitment kubwa kupeleka wapiganaji Ukraine. Ukouko Turkey alipiga Russian supplied weapons na akawarudisha nyuma kina Haftar waliokuwa wanaugombea mji mkuu Tripoli.

Russia ni nani mpaka aombwe ruhusa
 
Punguza mahaba,Kuna mda hua unaongea facts but sorry hiki unachosema Ni pumba. Hilo taifa la wayahudi feki ni sisimizi kwa urusi,nimeanza kufuatilia mgogoro vita vya Syria tokea 2011 mpaka mrusi alipoingia katika vita hivyo.
Waisrael ni wazuri lakini huwezi kuifananisha na Urusi.
Kwenye hiyo vita ya ukraine Russia anatumia zana za kizamani kabisa ana fezi out old stocks.Halafu tukumbuke kwa urusi hii sio vita kamili jamani ni special operation.Ni vile tunapata habari za upande mmoja Isreal wanapigwa sana tu na Hezbollah na ndio maana huwa wanajibu kwa kasi sana mashambulio kwa wapelestina.ni marufuku kuripoti madhara ya kivita ndani ya israel kama mnakumbuka kuna mwandishi wa al jazeera alipigwa risasi majuzi kwa sababu ya kuripoti vita ndani ya israel.Tusiwe na mahaba kupitiliza.
 
Your browser is not able to display this video.

🇩🇪✊✊✊At a rally in Magdeburg, the crowd chants "Nord Stream! Nord Stream!"

It is not even winter yet and the Translatlantic Greens like Berbock will be waiting for many problems soon with their disastrous energy policies who will de-industralise Germany
 
A protective zone around the Zaporozhye NPP has been created, the threat comes only from the Kiev authorities, Rogov, a member of the main council of the administration of the Zaporozhye region, commented on the IAEA report
 
Erdogan: Putin made it clear: "If you do this, then I will do it." And Putin uses all the means and weapons at his disposal. The most important of them is natural gas.

I think Europe will spend this winter with serious problems. We don't have such a problem.
 
Your browser is not able to display this video.

🆕🔥🔥🔥We must be more dangerous ”: Putin urged the Foreign Ministry not to cling to the principle of reciprocity when the West refuses to issue visas to Russians.
According to the President, Rostourism should collaborate with the Ministry of Foreign Affairs on an e-visa project for foreigners🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…